auawa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Moshi: Mwalimu mbaroni akituhumiwa kusababisha kifo cha mwanafunzi kwa kumpiga mateke

    Utata umeibuka kuhusu kifo cha mwanafunzi wa kidato cha nne wa shule ya sekondari iliyoko Pasua, Manispaa ya Moshi, Walter Ebenezer, anayedaiwa kushambuliwa kwa mateke kwenye mbavu na mwalimu wake kisha kupewa adhabu ya kupiga ‘push up’. Kutokana na kifo hicho, ndugu wa mwanafunzi huyo...
  2. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mfanyabiashara auawa kwa risasi nje ya nyumba yake

    Kamanda wa Polisi wa Thika, Daniel Kinyua, amethibitisha kifo cha mfanyabiashara wa Magali James Mwangi (47) kilichotokea baada ya kupigwa risasi na watu wasiojulika nje ya nyumba yake maeneo ya Kimathi. Wauaji hao waliokuwa karibu sana na sehemu alipo walifyatua risasi mbili ambapo moja...
  3. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Somalia: Mfadhili Mkuu wa Islamic State auawa na Jeshi la Marekani

    Serikali ya #Marekani imesema Wanajeshi wake wamefanikiwa kumuua #BilalalSudani ambaye ni kiongozi wa Kikanda wa ISIS pamoja na viongozi wengine waandamizi 10 katika shambulio la kushtukiza. Waziri wa Ulinzi, #LloydAustin amesema Januari 25, 2023 Rais Joe Biden alitoa agizo kwa Jeshi baada ya...
  4. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Afghanistan: Mbunge wa zamani auawa kwa shambulio la risasi nyumbani kwake

    Mursal Nabizada na mlinzi wake wote wameshambuliwa kwa risasi na kupoteza maisha Jijini Kabul ikiwa ni mwendelezo wa matukio ya mauaji Nchini humo hasa yakiwalenga Wanawake. Nabizada alikuwa Mbunge Mwaka 2019 hadi wakati Utawala wa Taliban ulipokabidhiwa mamlaka Agosti 2021, Wanasiasa wengi...
  5. MK254

    JamiiForums Tanzania Iran: Mwanajeshi auawa na pia polisi 10 wajeruhiwa kwenye maandamano dhidi ya dhuluma za kidini

    Iran bao wanaendelea kuliamsha, wanauawa ila hawakomi, serikali inapambana kumlinga 'mungu' na uislamu Iranian protesters clashed with security forces on Thursday in the town of Karaj, some 40 kilometres west of the capital, Tehran. Hundreds of people blocked the highway that runs through the...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Mwizi auawa akijaribu kuiba Kanisani Mbezi Malamba mawili

    Mtu mmoja ambaye jina lake halikuweza kufahamika Mara Moja anayekadiriwa kuwa na umri wa Miaka 30-40 amefariki Dunia usiku wa kuamkia Leo October 19, baada ya kupokea kipigo kikali kutoka Kwa watu wenye hasira Kali. Tukio Hilo limetokea katika Eneo la Malamba mawili(bwawa la Kwanza)ambapo...
  7. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Kenya: Mlinzi wa mke wa Raila Odinga auawa kwa kupigwa risasi

    Mlinzi huyo aliyefahamika kwa jina la Barrack Jaraha ameuawa leo Ijumaa Oktoba 14, 2022 nyumbani kwake huko Riat, Kaunti Ndogo ya Kisumu saa 11 alfajiri. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Nyanza, Karanja Muiruri amethibitisha kutokea kwa tukio hilo, akisema uchunguzi unaendelea ili kubaini sababu za...
  8. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Hii ndio Afrika: Auawa kwenye jaribio la kuzuia risasi kwa hirizi

    Mvulana wa miaka 12, auawa kwa kupigwa risasi na kaka yake nchini Nigeria, katika jaribio la 'kuzuia risasi' kwa kuvaa hirizi mpya. Kwa mujibu wa polisi katika jimbo la Kwara, ndugu hao waliamini kuwa wamejiimarisha kwa kuvaa hirizi ya ulinzi, ndipo kaka mtu akampiga risasi mdogo wake kwa...
  9. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Somalia: Mwanajeshi auawa katika bomu la kujitoa mhanga

    Wanajeshi wengine 6 wamejeruhiwa katika tukio hilo baada ya mwanajeshi mmoja kujilipua katika kambi ya jeshi Magharibu mwa mji wa Mogadishu. Kundi Al Shabaab lenye uhusiano na Al Qaeda linadaiwa kuhusika katika shambulizi hilo. Muuguzi wa hospitali ya Madina amesema wamepokea mwili mmoja na...
  10. BARD AI

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mtanzania apigwa risasi na kufariki Afrika Kusini

    Familia moja ya Kigogo, Dar es Salaam, inaomboleza kifo cha mtoto wao nchini Afrika Kusini. Ericky Ismael Ngobei, 22, aliuawa kwa kupigwa risasi Alhamisi iliyopita usiku katika eneo la biashara lenye watu wengi baada ya kuzozana na washambuliaji. Ndugu wa marehemu amesema kuwa shambulio hilo...
  11. Mpinzire

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa miaka 15 auawa na Jeshi la Police Mkoani Mwanza

    Kijana Yahaya Aboubakar mwenye umri wa miaka 15 anadaiwa kukamatwa na askari polisi nyumbani kwa bibi yake mtaa wa Juhudi, Kata ya Mabatini wilaya ya Nyamagana Septemba 2, 2022, akiwa mzima, kisha polisi hao waliondoka nae na kumfungia ndani bibi yake Yahaya ambapo baada ya kufanikiwa kutoka...
  12. MK254

    JamiiForums Tanzania Afisa wa ngazi ya juu Urusi, ambaye mndani wa Putin auawa kwa bomu Ukraine

    Huyu alikua anasimamia mji wa Berdyansk mpaka sasa haijaeleweka nani kamfanyizia, aidha itakua wanajeshi wa Urusi au makundi yanayounga mkono Ukraine. Kalipukiwa na bomu lililotegeshewa kwenye gari lake....watakufa sana hawa. Russian colonel and one of Vladimir Putin’s ‘closest allies’ was...
  13. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Ghana: Auawa kwa kushambuliwa na Simba akidaiwa kutaka kuiba watoto wa Simba

    Mamlaka za Ghana zinachunguza kifo cha Mwanaume mmoja kilichotokana na kushambuliwa na Simba katika bustani ya Wanyama Jijini Accra ikidaiwa alikuwa na lengo la kuiba Watoto wa Simba. Uongozi wa bustani hiyo umesema uchunguzi wa awali umeonesha marehemu aliruka ukuta wa futi 10 kisha wa futi 20...
  14. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Auawa na polisi baada ya kuwashambulia kwa mishale iliyohisiwa kuwa na sumu

    Jeshi la polisi limethibitisha kuuawa kwa risasi Nada Songo(45), mkazi wa wilaya ya Chemba, katika harakati za kumkamata baada ya kuwashambulia askari na wananchi kwa mishale iliyodhaniwa kuwa na sumu. Kamanda wa Polisi Mkoani humo, Martin Otieno amesema mtuhumiwa alifariki mara baada ya...
  15. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Mkosoaji Mashuhuri wa Serikali ya Sierra Leone auawa na Polisi

    Mkosoaji mashuhuri wa Serikali ya Rais Julius Maada Bio ameuawa wakati wa uvamizi wa polisi waliokuwa katika msako wa wahusika wa maandamano ya Wiki iliyopita, na kuzua wasiwasi mkubwa kuhusu mauaji ya kiholela na shutuma za kuwalenga watu wa upinzani Kulingana na polisi, Hassan Dumbuya...
  16. Mpwayungu Village

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Afisa wa Tume ya Uchaguzi na Mipaka nchini Kenya auawa

    Daniel Musyoka aliyekuwa afisa wa tume ya uchaguzi nchini Kenya alipotea siku nne zilizopita akiwa katika chumba cha majumuisho ya kura, alisogea pembeni kidogo kuzungumza na mtu ambae hakujulikana kwa sura wala jina, baada ya hapo hakuonekana tena mpaka hapo Jana alipokutwa amekufa porini...
  17. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Nigeria: Kiongozi wa Boko Haram auawa katika shambulizi

    Ripoti ya Jeshi la Nigeria iliyotolewa leo Agosti 8, 2022 imeeleza taarifa ya kuuawa kwa kiongozi wa Kundi la Boko Haram, Alhaji Modu ‘Bem Bem’ baada ya kufanyika kwa mashambulizi ya anga. Mbali na kiongozi huyo pia Wanamgambo 27 wa kundi hilo pia wameuawa katika mashambulizi ya Agosti 3, 2022...
  18. P

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wa Al Qaeda, Ayman al Zawahiri auawa kwa shambulio la drone lililofanywa na Marekani

    Taarifa zilizopatikana mida hii zinasema kuwa Marekani imefanikiwa kumuua Kiongozi wa Al Qaeda, Ayman al Zawahiri katika shambulio lililofanyika huko Afghanistan Al Zawahiri alichaguliwa kuwa kiongozi wa Al Qaeda baada aliyekuwa kiongozi wa Al Qaeda, Osama Bin Laden kuuwawa na majeshi ya...
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Nigeria: Padri aliyetekwa auawa, mwingine afanikiwa kutoroka

    Watekaji wamemuua Padri John Mark Cheitnum katika Jimbo la Kaduna Nchini Nigeria ikiwa ni siku chache tangu iliporipotiwa kuwa ametekwa Julai 15, 2022. Tamko lililotolewa na Kanisa Katoliki la Kafanchan limetangaza msiba huo huku padri mwenzake ambaye walitekwa pamoja, Donatus Cleophas...
  20. M

    JamiiForums Tanzania SI KWELI DR Congo: Muasi Sultan Makenga auawa

    Kumekuwa na uvumi wa muda mrefu kuwa Bri Gen Sultan Makenga kauawa vitani huko DRC. Hatimaye Leo zimevujishwa picha za maiti ya Makenga kwenye mitandao ya kijamii. Itoshe nisema hili ni pigo kubwa sana kwa M23 na kwa Rais Kagame bila kumsahau Lut Gen Kabarebe wa Rwanda. Brig Gen Sultan...
Back
Top Bottom