atm

ATM usage fees are the fees that many banks and interbank networks charge for the use of their automated teller machines (ATMs). In some cases, these fees are assessed solely for non-members of the bank; in other cases, they apply to all users.
Two types of consumer charges exist: the surcharge and the foreign fee. The surcharge fee may be imposed by the ATM owner (the deployer or independent sales organization) and will be charged to the consumer using the machine. The foreign fee or transaction fee is a fee charged by the card issuer (financial institution, stored value provider) to the consumer for conducting a transaction outside of their network of machines in the case of a financial institution.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    ATM za CRDB Bank Kigamboni zinasumbua saana

    Habar wanamajumui, niende moja kwa moja kwenye mada, Mashine za kutolea Hela (ATM) za bento ya CRDB eneo la Kigamboni zinasumhuq saana hasa wakati wa siku za wiki, mfano wa ni ile ilioko kituo cha Mbuyuni karibu na Ilioko Kigamboni Ferry wakati mwingine ziko slow saana ha mara nyingi...
  2. DodomaTZ

    ATM Maalum ya kutolea Huduma za Vipimo vya Maambukizi ya Virusi vya Ukimwi VVU yazinduliwa Mbeya

    ATM maalum ya kutolea huduma za vipimo vya maambukizi ya Virusi vya Ukimwi VVU ijulikanayo kwa jina la “Jipime”, ( HIV Self Testing) imezinduliwa Jijini Mbeya kwa lengo la kuhamasisha wananchi kupima na kutambua afya zao ili kujilinda dhidi ya maambukizi mapya ya virusi hivyo. Huduma hiyo...
  3. Hismastersvoice

    Joto ya jiwe ATM haijatema, Dar es Salaam joto lipo kati ya 33°c na 34°c

    Kiwango cha joto mchana wa leo jijini Dar es Salaam kimefika kati ya 33°c na 34°c, hiki ni kiwango cha juu sana kwa jiji hili, chukua tahadhari usinywe bia mchana huu kuepuka kupoteza maji mwilini.
  4. Powell Gonzalez

    Biashara ya ATM

    Kuuliza si ujinga, walisema wahenga. Nami kwa kuheshimu methali hii naomba kuuliza bila uoga, hivi hizi ATM ni mtu yeyote mwenye mtaji anaweza kufungua ATM ? kama Kuna mtaalam basi afafanue na gharama kwa undani kidogo, kwenu wakuu.
  5. H

    Hivi ukitoa hela kwenye ATM halafu ukaiacha pale kwenye kibox chake inaweza kurudi ndani kama card?!

    Salam.. Sijawahi kujaribu au kama kuna mtu imewahi kumtokea akachelewa kuitoa hela baada ya kutoka, je itadumbukia tena ndani au itakaa hapo hapo itaganda tu inasubiria. Na kama ikirudi mahesabu yatakuwaje kwenye account yatajirudi tena kama awali au balance itapungua. Changamsheni kichwa kidogo.
  6. M

    Wale waliozoea tarehe 22/23 kila mwezi mambo kuwa mazuri naona mwezi huu bado ATM zimenuna, Kulikoni?

    Isije ikawa ni athari ya biashara kariakoo kufungwa! Si mnajua serikali huwa haina ujanja mwingine zaidi ya kodo?
  7. B

    Kulikoni leo huduma za Simbanking na ATM za CRDB hazifanyi kazi tangu asubuhi?

    Kama heading inavyosema Huduma hizo hakuna kabisa, watu wanahangaika wanataka kutoka pesa kwa ajli ya Eidd, wanadhondwa.
  8. Samia atosha tukutane2030

    Niliyoyaona jana kwenye ATM ya NMB Gongolamboto yanatia aibu kwa watumishi

    Nilikuwa napita jioni kuelekea job. Si mnajua night shift zetu walinzi ndugu zangu. Nilikuwa nimempa lift mfanyakazi mwenzangu tukitokea Chanika. Sasa nafika NMB Gongolamboto nikiwa barabarani jamaa akaniambia ona ile foleni, nikacheki kushoto nakuta foleni ya haja. Nikakumbuka kuwa ni tarehe...
  9. Rangooo

    Kwa huduma ya CRDB cardless endapo hujatoa pesa atm, transaction itaexpire kwa mda gani pesa irudi kwenye account?

    Habari ndugu zangu, niliokosea kutoa pesa kwa njia ya crdb cardless kwa kutaka kutoa 137000, kumbe ni lazma uweke katika figures za 10000, je ili pesa irudi itatumia muda gani kufika.
  10. tutafikatu

    Walinzi ndani ya vyumba vya mashine za ATM

    Hivi ni kwa nini haya mabenki Tanzania yanaruhusu walinzi wa vyumba vyenye ATM machine wajilaze ndani ya vyumba hivi vidogo? Ukiingia kunakuwa na hewa nzito na jamaa wanakukodolea macho kwa huruma. Hivi hawawezi wajengea vibanda vidogo pembeni?
  11. Kamanda Asiyechoka

    Kuweka mashine ya kutolea pesa jirani na baa ni kusabaishia matatizo watu

    Mtu anajikuta anatengua bajeti na kwenda kunyogoa mzigo. Hii inasababisha watu kutungua mzigo ambao haukupangwa kutumika siku hiyo. Watu wengine wana mauzi na dharau husababisha kulazimika mtu kwenda kutoa mzigo ili ule masanga kwa hasira.
  12. Rosenchold

    Benki ya Equity kuweni makini, ATM hazitoshi

    Hi! kwa wana Jf wote, I hope mnaendelea vyema kabisa. Kwa wanaopitia mikikimikiki na vigingi tuzidishe duha M/Mungu atusaidie. Tusichoshane niende straight kwenye heading ya hapo juu. Benki ya Equity licha yakiwa na huduma nzuri lakini kuna mambo wanafeli mno. Imagine Mbeya nzima wana sehemu...
  13. Mtafiti77

    Kuna haja mabenki kuweka ATM mpaka vijijini

    Kodi ya mshikamano italeta mapinduzi makubwa katika sekta ya uchumi. Wakati benki ilikuwa ikionekana kama njia isiyo rafiki miongoni mwa Watanzania wengi, sasa inaonekana kuwa tiba mujarab kwenye miamala ya kifedha hasa kutuma na kupokea. Miamala ya kawaida ya kuhamisha fedha (ndani kwa ndani...
  14. Analogia Malenga

    Benki zapewa siku tatu kurejesha vitakasa mikono katika ATMs

    Serikali kupitia Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imesisitiza miongozo yote iliyotolewa kwa umma kujikinga dhidi ya maambukizi ya Virusi vya CORONA (COVID - 19), izingatiwe. Mkurugenzi wa Idara ya Kinga wa Wizara hiyo, Dkt. Leonard Subi amesema Tanzania ni salama hata...
Back
Top Bottom