atakuwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. C

    JamiiForums Tanzania RC Makonda yupo na ataendelea kuwepo sana maana hakuna wa kumtumbua na baada ya uchaguzi mkuu atakuwa Waziri Mkuu au Waziri wa Ulinzi

    Jana nimeshangaa mno kuona watu wakitabiri, wakiomba na wakitamani Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Makonda atumbuliwe na Rais Samia Suluhu Hassan kutokana na kauli yake ambayo hadi sasa sijaona ni wapi kakosea sana sana nimeona kapatia kabisa na alikuwa sahihi. Mkuu wa Mkoa wa Arusha yupo na wala...
  2. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Picha: Atakuwa kabila gani huyu?

  3. G

    JamiiForums Tanzania Tuunde ofisi ya kiongozi mkuu wa taifa (ayatollah wa taifa) ambaye atakuwa ndiye "brake" ya rais

    Sifa zake:- 1. Awe ni rais mstaafu wa JMT mkongwe kuliko wote. 2. Awe amehudumu kiti cha urais kwa mihula 2 (miaka 10). Majukumu yake. 1. Kuridhia maamuzi ya serikali juu ya uuzwaji ama ubinafsishai wa rasilimali za nchi. 2. Kumpa ushauri rais juu ya masuala yote yahusuyo nchi. 3. Kumuwajibisha...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Paschal Casian: Nampa Christina Shusho miaka mitano tu atakuwa amezeeka

    Paschal Casian: Nampa Christina shusho miaka mitano tu atakuwa amezeeka.
  5. U

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Ukiwa na Rais mwizi mnawezaje kuwa salama? Katiba bora ni kuzuia Marais wezi

    Ama kweli: KNOWLEDGE IS POWER. Kama haya ndiyo matusi tunayoambiwa na kina Makonda, basi iko shida mahali bila shaka. Yaani ukweli kwa hawa ndugu zetu, kwao ni matusi. ============= Tukirudi kwenye mada kumhusu huyu mwamba. Kwamba, haina shaka kuwa anaijua historia ya Tanganyika na...
  6. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Yanga tupeni mrejesho mechi ijayo ni ya mchezaji gani? Simba nani atakuwa mgeni Rasmi? Naona mmetangaza viingilio tu

    Imeshakuwa mila na desturi kwa timu hizi za jadi kuwapa presha wachezaji katika mechi za kimataifa ingawaje nayo huleta hamasa kwa timu, kwa timu zote mbili mechi za mwisho za makundi tumeshuhudia mechi ya yanga ilipewa jina la Pacome huku Simba mgeni Rasmi akiwa Enonga Baka na kufanikiwa...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Kila mchezaji wa Young Africans SC atakuwa bilionea kwa Shilingi za Tanzania

    Hii ni fursa adimu na inahitaji juhudi kubwa kutoka kwa wachezaji. Wanapaswa kujituma na kufanya vyema ili kufikia malengo haya makubwa. Tunawatakia kila la heri katika safari yao ya kufikia mafanikio hayo against mamelodi. 🌟🇹🇿 Kufikia mafanikio ya kuwa bilionea ni ndoto kubwa kwa...
  8. ProcrastinatorInChief

    JamiiForums Tanzania Mipaka ya Chama Tawala na Ukomo wake, Vipi kuhusu kambi kuu ya Upinzani Bungeni

    Hili swali hata mimi naomba kuuliza japo nimelikuta mahali. Naomba kuuliza swali? Kuwa chama tawala kunatokana na kushikilia mhilili wa Serikali, mhimili wa Bunge au vyote viwili? Mfano; Chama cha Mapinduzi CCM kikishinda kura za urais na ndio kikaunda serikali.. ila Bungeni CHADEMA ndio...
  9. Mystery

    JamiiForums Tanzania Fred Lowassa kumshukuru Rais Samia pekee kwa matibabu ya Baba yake, atakuwa amekosea

    Nilimsikia Fred Lowassa katika salaam zake za rambirambi pale Karimjee Hall, akitoa shukurani zake za dhati Kwa Rais Samia Kwa matibabu ya Baba yake, Hayati Edward Lowassa na kwenda mbali zaidi Kwa kutamka kuwa kama siyo Kwa msaada mkubwa aliotoa Rais Samia, baba yake asingeweza kufikia majuzi...
  10. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Nilikuwa nadhani atakuwa na akili au smart kumbe ni wa ovyo tu

    Jamaa tumewasiliana humu aliomba niweze msadia mambo kadhaa, nikasema haina shida lets meet. Ni almost two months anasisitiza jambo hilo nami nikaona si shida sababu binadamu ni kusaidiana. Jana tumeonana sehemu tukawa tunapata kinywaji na chakula akawa ananionesha kitu fulani kwenye simu yake...
  11. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kuna Mtu kawa Fixed kuwa akipambanie Chama na kwamba 2025 Yeye ndiyo atakuwa ama VP au PM

    Na baada ya Kumsoma na Kumjua kuwa ni Mshamba,. Akili hana na mpenda Sifa na Ukubwa wamemlevya kwa Kumdanganya na Nguvu Kubwa aliyopewa sasa, Ulinzi, Fedha za Kuchezea na Msafara mrefu wa Magari. Yaani ninamuonea mno tu Huruma.
  12. J

    JamiiForums Tanzania Hata kama Yanga atatoka makundi bado atakuwa kafikia lengo. Hakuahidi uongo kwa mashabiki zake

    Yanga alijiwejea lengo la kufika hatua ya Makundi CAF CL, na keshatimiza lengo hilo, ikitokea ziada hiyo ni bonus. Sema mashabiki wanakuwa na expectations kubwa sana sababu wanaiona timu yao iko vizuri mno, lakini Yanga inaelewa ugumu wa mashindano ya kimataifa na huwa haiwapi mashabiki wake...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Ratiba ya mechi zijazo za Yanga na wapi atakuwa anacheza

    Naomba anaeweza kuweka ratiba aiweke huku akizingitia kuonyesha ni wapi mechi husika zitachezwa kwa maana ya home and away. Kama ilivyo kwa timu nyingine, bila shaka zimebaki mechi ambapo mbili ni za nyumbani na mbili za ugenini. Nyumbani ni dhidi ya Medeame na CRB na ugenini ni dhidi ya Ahly...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Dkt. Tulia atakuwa mbunge wa kwanza Tanzania nzima kutangazwa mshindi wa kiti cha Ubunge 2025

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa namna dkt Tulia anavyokubalika,kupendwa, kuaminika na kuungwa mkono na wana Mbeya. kwa hakika uchaguzi ujao Dr Tulia atakuwa mbunge wa kwanza kushinda na kutangazwa mshindi mapema sana na kuacha wananchi wakifunga barabara na jiji zima kwa shangwe, nderemo na vifijo...
  15. F

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda hatafika mbali na atakuwa sababu ya CCM kupoteza mvuto kanda ya ziwa na maeneo mengine

    Mike Tyson alipozidiwa ujanja na Evander Holyfield, Tyson alimng’ata Evander sikio na ilikuwa aibu kwelikweli siku hizo na pia ulikuwa mwisho wa umaarufu wa Tyson. Je watanzania mnajua kwanini nchi nyingi barani Africa ukabila ni tatizo kubwa? Na ni akina nani walianzisha ukabila huo na kwa...
  16. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Soon, Ally Hapi atakuwa ndani ya mfumo

    Ilikuwa ni vigumu mno kwa Mwenyekiti kuendelea kuishi na watu wenye kumshauri kwa karibu huku akiendelea kusikia pembeni wakijadili namna sahihi na bora ya kumnyang'anya tonge mdomoni. Kwa muktadha huo, boss lady ameamua kama mbwai na iwe mbwai na rasmi ameamua awarejeshe kundini wale wote...
  17. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Amini ama usiamini Makonda kabla ya 2024 ndiye atakuwa Katibu Mkuu wa CCM

    Kabla ya majira kutimia 2024 Paul Makonda ndiye atakuwa KM wa CCM. KM wa sasa, atakuwa Balozi wetu katika nchi mojawapo ya Zimbabwe, Namibia ama Zambia.
  18. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Kwa changamoto hizi naamini Makonda atakuwa liability zaidi kwa Rais Samia kuliko asset

    Niliwahi sikia kuwa vyombo vya dola vilimwambia Magufuli amuondoe Makonda ila yeye tu aligomaga kutokana na kumpenda sana. Kwa nafasi mpya aliyoteuliwa na Chama chake nina uhakika mwenyekiti wake ajipange kuletewa kila siku taarifa zinazotokana na mapungufu yake. kwa niliyowahi kusikia huko...
  19. G

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amekuwa Rais wa kwanza mwanamke, Makamu wa Rais wa kwanza kurithi Urais

    Hayo mawili ya mwanzo yako wazi, ila hili tatu linahitaji watu wenye akili tulivu kulikubali na kulielewa. Hatakuwa rais wa kwaza kushindwa uchaguzi kwani wapo walioshindwa na kuendelea kubaki madarakani. 2015, 2020 ni mifano hai, ila kwa sasa hali imebadilika, atalazimika kukubali na kuyapokea...
  20. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Mila zinatutesa: Kitovu kimedondokea uke wa mtoto mchanga, kwa mila zetu atakua Tasa, Baba unaambiwa ugusanishe uume ili kumfungua, utaweza?

    Nimeishiwa nguvu, Ni mambo yanayotia stress sana. Kinachoaminika kwa tamaduni zetu ni kwamba mtoto wa kike mchanga, kitovu chake kikidondokea kwenye uke wake basi ni kifungo cha uzazi, Yani hataweza kuja kuzaa (Tasa). Njia pekee ni wewe Baba wa mtoto aende kugusisha umme uliosimama kwenye uke...
Back
Top Bottom