Brittney Griner ni nyota wa kike kwenye kwenye mpira wa vikapu/basket ball huko marekani. Alikamatwa huko Urusi akiwa na madawa ya kulevya na amehukumiwa jela kifungo cha miaka kumi. Rais Biden amekuja juu na "anaiagiza" Urusi imwachie haraka. Kwa bahati mbaya huyu mzee anajisahau anafikiri...
Rais Samia amemwambia RC Chalamila kuwa yeye ni mfanyakazi mzuri sana ila ni mtundu mno.
Amesema alimuacha kipindi kilichopita ila anaamini sasa amekua, akili imekua anamuomba aende akakue, amesema asidhani kupata nafasi ndio kamaliza, anamfuatilia kwa karibu sana.
Karibia mwezi mzima....nmeteseka sana mimi. Sikuwa nikilala...hata mchana tu nmekuwa nakaa room kwa mashaka. Documents zangu zimeharibiwa na pesa zangu zaidi ya mamilioni ya shilling. Ni kama billion 2 hivi.
Maana nlikuwa nmeandaa project moja yaani min ningepata bil 2. Ikaharibiwa vibaya sana...
Ukipewa madaraka tegemea siku inakuja utatenguliwa, Ukifurahia picha ya pamoja pale ikulu ukiwa na familia yako pembeni ya Rais jua kuna siku hao hao watakuliwaza jioni baada ya barua yako kusambazwa mtandaoni.
Hiyo ni tamu na shubiri ya madaraka kukasimiwa kwa mtu. Eric Hamis ni kama hakujua...
Watu wa Soka,
Tunaendelea na taarifa kuhusu usajili tulioufanya na maboresho yanayoendelea kwenye benchi la ufundi na kikosi chetu kuelekea msimu ujao wa Ligi Kuu.
Baada ya mshambuliaji Habib Kyombo na kiungo Aziz Andabwile, sasa tumefanikiwa kuinasa saini ya beki wa klabu ya Yanga Paul...
Habari wanajf
Ndugu zanguni nilipitia mahusiano ambayo yalinipa stress Sana drama zilikuwa haziishi kutokana na hivyo ikanifanya niachane na huyo binti na ikapelekea nijipe break kidogo ya mahusiano. Ilinichukua miezi 6 bila kuwa na mahusiano wala kufanya mapenzi.
Kama binadamu wengine nikawa...
NANI ATAKUWA WA KWANZA KUFA KWENYE FAMILIA YENU NA ATAKAYEFUATIA?
Anaandika, Robert Heriel
Yule Mtibeli.
Andiko hili linaweza kuwa nadharia tuu, inaweza kuwa kweli au kuukaribia ukweli.
Taikon aliandika andiko hili miaka ya nyuma kidogo na hivi leo nitagusia machache.
Nani atakuwa wa kwanza...
Akihojiwa na mtangazaji wa Star Tv bwana Odemba, Makamu Mwenyekiti wa Chadema Mh. Tundu Lissu amesema endapo Rais Samia atamteua kushika nafasi yoyote katika serikali basi atajua kuwa hampendi.
Kwa kifupi Tundu Lissu amesema hawezi kukubali uteuzi wowote ndani ya serikali kwa sababu atakuwa...
Mkeka wa Spika ndio umekamilika ambapo utabiri wa Pascal Mayalla na Genta juu ya Spika ajaye umekamilika.
Sasa nafasi ya Naibu Spika iko wazi.
Nani atatufaa?
Je, ni vema akatokea Zanzibar kwa tiketi ya ACT wazalendo?
Maendeleo hayana vyama.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.