Mpango wa muda mrefu ni Makonda kuwa Waziri wa Maliasili na Utalii.
Kupelekwa kwake kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha na baadaye “kutengenezwa” kuwa Mbunge wa Arusha haikuwa bahati mbaya.
Niwape tu taarifa Wamasai hasa wale mliokuwa mkifika kula nyama za Makonda kwenye matamasha yake: Inakuja...
Tangu alipoingia hayati Samwel Sitta kushika Uspika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kila Spika alishika kwa term moja tu.
Sitta 2005 - 2010
Makinda 2010-2015
Ndugai 2015-2021
Tulia 2021 - ??
Kwa rekodi hizo hapo juu, nikiwa natembea kifua mbele huku nikibubujikwa na machozi...
Kuna haja ya watanzania hasa watanganyika kuanza kutafakari juu ya mstakabali wa taifa letu. Je, tutafanya uzembe tuliache kwenye makucha machafu ya machawa na ida amin mama ili tuumizwe na kuibiwa zaidi? Je, tutafanya nini? Nadhani huu ndiyo wakati muafaka wa kujikomboa na kulikomboa taifa letu...
Marekani bwana... Wakajidai eti wamemuua Osama Bin Laden. Kumbe uongo. Mbona hawakutuonesha mwili wake? Mbona hawakutuonesha wamemzika wapi?
Osama Bin Laden yupo sehemu. Ingawa sijui ni wapi. Ila atakuwa sehemu. Na hili nliambiwa na sheikh wangu siku ile ile ambayo Marekani walijidai wamemuua...
Nasoma soma historia ya Wazaramo. Nimekutana na hiki kisa.
Basi baada ya Vita Kuu ya Pili Serikali iliongeza kujenga skuli za vijijini katika sehemu kadha za Uzaramo.
Lakini sehemu nyingine migogoro ilitokea kati ya wazazi na walimu, kwa mfano Mwalimu Barnabas Mwinyiwaziri aliyekuwa...
Kimsingi toka kuanzishwa chaguzi za mfumo wa vyama vingi mwaka 1995, CCM wamekuwa wakipitisha wagombea Urais kwa turufu za ubora wa wahusika.
Mwaka 1995 walimpitisha Mkapa, ila sote tunajua Kikwete alikuwa anaongoza kura za maoni. Busara za Nyerere zikasikilizwa Mkapa akagombea. Hiyo ndiyo...
Kwa sisi Wanasheria Kanuni na Sheria Kuu za Ushahidi zinasema Ushahidi usiotiliwa mashaka na unaopaswa kuzingatiwa moja kwa moja na Mahakama au Mfanya maamuzi ni Ushahidi wa Mtu aliyetenda kitendo husika au aliyekuwepo eneo la tukio wakati kitendo hisika kinafanyika.
Kwa maneno ya Humphrey...
Kuna mambo yanaendelea nyuma ya pazio la uongozi wa Tanzania yanatisha sana! Kuna vurugu kubwa sana na mikakati ya kila aina.
Wengi wamesikia juu ya Wanamtandao, na ni wachache sana wanajua nguvu na uwezo wa kundi hili katika kuendesha hii nchi yetu. Kwa sasa hawa jamaa ndio wanaamua kila kitu...
Hii ni stori ya kweli mwana jf,
Binafsi nilikulia Namanga Makangira, ni karibu sana na makazi ya Makamu wa Rais, yaani.kwetu kama tungevamiwa na majambazi tukampiga kelele za Mwizi hakika Makamu wa Rais enzi hizo alikuwa Dr Omary Juma angetoka nje kutupa msaada.
Sawa kwetu kulikuwa uswazi...
Akizungumza katika mapokezi ya Wagombea wa nafasi ya urais Pemba leo Agosti 10, 2025 Kiongozi wa zamani wa ACT Wazalendo Zitto Zuberi Kabwe amesema kuwa Mgombea wa nafasi ya urais ambaye ni Luhaga Mpina akishinda urais wamtangaze, wasimtangaze atakuwa rais.
Hili nawahakikishia mtabaki kuwa mikia tu piga ua galagaza. Kombe mtakalo chukua labda liwe na Uji.
Kikwete anaipenda sana Yanga yeye na kundi lake kubwa nyuma yake. Na Samia naye automatically amekuwa mpenzi mkubwa wa Team ya Yanga. Hapo sasa nani atatusumbua? Nani?
Serikali ikiwa upande...
Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane!
Kwanini Nasema Azam au Simba mmoja wapo atakuwa Bingwa Msimu huu?
1.Kocha Fadlu Davis amekuwa kocha wa Simba huu unaelekea msimu wa pili;mazingira ya ligi Kuu tayari keshayajua,tayari kesha tambua na kufahamu kikwazo Cha yeye kutochukua Ubingwa kilikuwa...
Wakuu,
Msidhani humu duniani mnaozungumza ni binadamu tu lakini hata wanyama wanazungumza kumbe
Huyu sijui kaambiwa neno gani maskini hadi kashtuka hivyo
Yaani mnajitekenya wenyewe halafu tena mnacheka wenyewe. Kwahiyo mmeana Suala la 'Genius' Lissu huko Mahakamani linawaendea vibaya mkaamua kukaa Kikao na Mfumo ili kuja na Jambo la ghafla ambalo litateka Akili za Watanzania na kutotilia maanani Sakata la Lissu?
Halafu nikiwaambia hamna Akili...
nimemfanyia physicl assessment nimepata ivi
Kazubaaa
Hali chakula
Anasingiasingia
Anajitenga na kuku wengi
Manyonya kuvurugika
Mabawa yake yanalegea
Msaada wa kitaalamu kuhusu tiba yake hasa tiba asilia mnipe muongozo wakuu
Uwepo wa informal sector na watumiaji wachache wa bank ni changamoto na tatizo kubwa sana Tanzania., Nikiwa Rais wa Tanzania ntafanya mambo yafuatayo kuondoa informal sector, kuongeza formal sector na kuongeza watumiaji wa bank
SIFA ZA HAO WAFANYAKAZI
Lazima mishahara yao iwe inapitia bank...
Habari!
Kuna nyuzi kadhaa za kisiasa huenda nimeandika humu ndani.
Moja ambayo niliitoa mwaka jana ndiyo nilisema unabii maana niliongea kitu ambacho Roho wa Bwana alisema, na nyuzi zingine zilikuwa personal view.
Hii ya pili naandika UNABII.
Thread 'Unabii kuelekea uchaguzi mkuu 2025'
Soma...
Ukweli usemwe mapema, tusifiche mambo. Kukua kwa soka letu kunahitaji misingi imara ya uongozi ndani ya chama cha soka.
Matunda ya soka tuliyonayo sasa ni matokeo ya uongozi imara wa TFF kipindi cha urais wa Tenga ambao kwa makusudi kabisa ulianza upya kwa kujenga misingi imara ya uongozi wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.