Askofu Stephen Munga: Hatuwezi Kufungwa Midomo Kisa Maendeleo

Chief Kabikula

JF-Expert Member
Jan 1, 2019
7,567
9,026
Askofu mkuu wa kanisa la kkkt dayosisi ya kaskazini mashariki amesema kuwa watanzania hatuwezi Kufungwa midomo ya kutetea haki za binadamu, demokrasia na utawala bora, kisa kuna mtu anasema analeta maendeleo. Ameyasema hayo katika sherehe za kutimiza miaka ishirini ya kituo cha sheria na haki za binadamu nchini. Ambapo ripoti ya hali ya haki za binadamu nchini ilijadiliwa. Bila woga wala kupepesa macho askofu Munga katoa maoni yake hayo ili hali hivi sasa viongozi wengi wa dini wamefunga midomo yao. Napenda nimpongeze baba askofu kwa kusimamia ukweli, Mungu ambariki sana.
 
Akitaka agombee na yeye awe rais. Hawa wanajivunia ujinga wa waumini kutohoji chochote. Laiti kama waumini wangekuwa wanahoji na kuwabana huko makanisani basi wangewafungia waumini wengi sana ama wangekimbiwa na waumini wengi tu.
 
Askofu wa dayosisi ya kaskazini mashariki ya kkkt.sio Askofu mkuu wa kanisa la kkkt dayosisi ya kaskazini mashariki .
Pia twashukuru kwa maoni yake,ni Haki yake kutoa maoni km kiongozi au raia wa nchi hii.
 
Ndio kwa nyongeza watu ni wagumu sana kuelewa. Mkapa alisema mauaji ya Pemba/Zanzibar yalitia doa utawala wake. Maana yake ni kuwa anaonya yanayoendelea sasa na ya kale yameisha. Ishara ya sasa ni kuwa yanaweza kutokea mauaji pale wananchi wakiamua kudai haki zao na hilo kutia doa yaani kuzua balaa kwa utawala wa sasa unaojinasibu na maendeleo kama tunavoelezwa. Uporaji wa haki katoka uchaguzi ni dalili mbaya mbaya mbaya!
Askofu mkuu wa kanisa la kkkt dayosisi ya kaskazini mashariki amesema kuwa watanzania hatuwezi Kufungwa midomo ya kutetea haki za binadamu, demokrasia na utawala bora, kisa kuna mtu anasema analeta maendeleo. Ameyasema hayo katika sherehe za kutimiza miaka ishirini ya kituo cha sheria na haki za binadamu nchini. Ambapo ripoti ya hali ya haki za binadamu nchini ilijadiliwa. Bila woga wala kupepesa macho askofu Munga katoa maoni yake hayo ili hali hivi sasa viongozi wengi wa dini wamefunga midomo yao. Napenda nimpongeze baba askofu kwa kusimamia ukweli, Mungu ambariki sana.
 
Akitaka agombee na yeye awe rais. Hawa wanajivunia ujinga wa waumini kutohoji chochote. Laiti kama waumini wangekuwa wanahoji na kuwabana huko makanisani basi wangewafungia waumini wengi sana ama wangekimbiwa na waumini wengi tu.
Unaongelea mtu mwingine wewe sio Do Munga
 
duh maaskofu mbona Kama wanataka views YouTube ,siyo kwa matamko hayo
 
Askofu wa Tanga huyo .Tanga wanapenda kuchonga midomo na wanawake kujipodoa kuliko maerndeleo.Asilimia kubwa ya watu wa Tanga Ukiona kasoma Ni fundi baskeli,fundi wa kutengeneza koroboi,kuziba mapipa yaliyochakaa na sufuria zilizotoboka na kutengeneza majiko ya kupikia na ushonaji

Dayosisi yake ndio inaoongoza kwa kuwa na mapato kidogo kuliko dayosisi yoyote ya KKKT sababu kwao Maendeleo sio kiti Cha maana hivyo kufanya waumini wasiwe na uwezo mkibwa wa kutoa sadaka sababu hata askofu anaona chammuhimu.kuchonga mdomo kuongelea vitu visivyohusiana na maendeleo
 
Akitaka agombee na yeye awe rais. Hawa wanajivunia ujinga wa waumini kutohoji chochote. Laiti kama waumini wangekuwa wanahoji na kuwabana huko makanisani basi wangewafungia waumini wengi sana ama wangekimbiwa na waumini wengi tu.
Angesifia utawala ungesema hivyo? Hivi ninyi ma kapuku mlisomea elimu za wapi? Hivi wa asisi wetu wapigania uhuru wangekuwa na mawazo ya kipuuzi ya hivi tungepata uhuru kweli? Ndo maana hadi sasa li nchi haliendelei sababu ya mawazo mgando kama haya Shwaini kabisa
 
Askofu mkuu wa kanisa la kkkt dayosisi ya kaskazini mashariki amesema kuwa watanzania hatuwezi Kufungwa midomo ya kutetea haki za binadamu, demokrasia na utawala bora, kisa kuna mtu anasema analeta maendeleo. Ameyasema hayo katika sherehe za kutimiza miaka ishirini ya kituo cha sheria na haki za binadamu nchini. Ambapo ripoti ya hali ya haki za binadamu nchini ilijadiliwa. Bila woga wala kupepesa macho askofu Munga katoa maoni yake hayo ili hali hivi sasa viongozi wengi wa dini wamefunga midomo yao. Napenda nimpongeze baba askofu kwa kusimamia ukweli, Mungu ambariki sana.
Maendeleo ni pesa za walipa kodi siyo pesa binafsi za mtukufu wala Hisani, maendeleo ni haki ya watanzania chini ya CCM hakuna maendeleo awamu huu baada ya ukandamizaji demokrasia kuzidi kuliko awamu zote zilizopita
 
Akitaka agombee na yeye awe rais. Hawa wanajivunia ujinga wa waumini kutohoji chochote. Laiti kama waumini wangekuwa wanahoji na kuwabana huko makanisani basi wangewafungia waumini wengi sana ama wangekimbiwa na waumini wengi tu.
Acha ujinga CCM ni ileile ukoo wa panya ni wizi kwa kwenda mbele wamepiga pesa kwenye ununuzi wa Ndege ujenzi wa chato Airport kienyeji pasipo idhini ya bunge wakaamua kumtoa kafara CAG wafiche ukweli, huo ndiyo uzalendo wa CCM ya sasa? Uzalendo wa CCM ya mtukufu malaika toka chato na Naibu Rais Daud Bashite toka kolomije ni kuwaonea watu kuwabambikia kesi kuwapiga risasi kuwapora ushindi kwenye chaguzi mbalimbali
 
Askofu wa Tanga huyo .Tanga wanapenda kuchonga midomo na wanawake kujipodoa kuliko maerndeleo.Asilimia kubwa ya watu wa Tanga Ukiona kasoma Ni fundi baskeli,fundi wa kutengeneza koroboi,kuziba mapipa yaliyochakaa na sufuria zilizotoboka na kutengeneza majiko ya kupikia na ushonaji

Dayosisi yake ndio inaoongoza kwa kuwa na mapato kidogo kuliko dayosisi yoyote ya KKKT sababu kwao Maendeleo sio kiti Cha maana hivyo kufanya waumini wasiwe na uwezo mkibwa wa kutoa sadaka sababu hata askofu anaona chammuhimu.kuchonga mdomo kuongelea vitu visivyohusiana na maendeleo
Mkuu imenilazimu kuchangia ila sitachangia kisiasa! Ila ninapenda kukushauri kutopenda siasa kupita kiasi, kiasi kwamba inakufanya unakashifu ama kuwakejeli watz wenzako! Hivi unaposema Tanga wanapenda kujipodoa na wanawake... huoni unawakosea sana watanga? With due respect mkuu acha hizo! Mimi ni Mangi ndugu zangu hawa huwa ninawapita kuelekea nyumbani lakini kamwe siwezi kuwaeleza hayo maneno!
 
Askofu mkuu wa kanisa la kkkt dayosisi ya kaskazini mashariki amesema kuwa watanzania hatuwezi Kufungwa midomo ya kutetea haki za binadamu, demokrasia na utawala bora, kisa kuna mtu anasema analeta maendeleo. Ameyasema hayo katika sherehe za kutimiza miaka ishirini ya kituo cha sheria na haki za binadamu nchini. Ambapo ripoti ya hali ya haki za binadamu nchini ilijadiliwa. Bila woga wala kupepesa macho askofu Munga katoa maoni yake hayo ili hali hivi sasa viongozi wengi wa dini wamefunga midomo yao. Napenda nimpongeze baba askofu kwa kusimamia ukweli, Mungu ambariki sana.
Huyu Mzee anaitendea haki PhD yake sio kama wale wa kuokotwa majalalani.
 
Back
Top Bottom