Wimbo huu nautafuta, uliimbwa siku ya kusimikwa Askofu Mkuu Jimbo Katoliki Mbeya April 2019

Hawa bila shaka ni kwaya ya Mtakatifu Judethadeus Mbeya ...nyimbo ndio sijaijua ila nna uhakika ndio wenyewe

Wimbo wanaoimba una kibwagizo kinasema hivi: "ILI WAWE NA UZIMA, WAWE NAO TELE, WAWE NA UZIMA, WAWE NAO TELE..."
 
Ukishadownload app;una-open app then itakuandikia tap to shazam unagusa hapo then unasogeza karibu na radio/tv unaposikia wimbo huo unaoimbwa then yenyewe ita search na kukwambia huo ni wimbo gani boss.
Kwa mfano kuna wbeat hua nalisikia kwenye kipindi cha refRefresh wasafi tv sijui nausikilizisha vpi maana mwaka sasa sijaangalia wasaf tv.. hakuna kingamuzi chenye wasaf tv. Je nitafanyaje
 
Daah hapo shughuli mzee baba,hicho kipindi kinakuwepo siku gani na saa ngapi?

Naweza nika-shazam then nikutumie jina lake.
 
Ipo DSTV na AZAM
Kwa mfano kuna wbeat hua nalisikia kwenye kipindi cha refRefresh wasafi tv sijui nausikilizisha vpi maana mwaka sasa sijaangalia wasaf tv.. hakuna kingamuzi chenye wasaf tv. Je nitafanyaje
 
Kwa aliye nao, tafadhali naomba anisaidie. Ni huo unaoimbwa mwanzoni mwa clip hii!
Mkuu mi nautafuta wimbo wa KKKT kama sikosei Kimara unaitwa "Nenda fanya kazi ile ya Bwana usiuhesabu muda......" huu wimbo naupenda sana.

Mwenye namna ya kuupata naomba anisaidie wakuu.
 
Naujua, ila sina. DVD zake zipo kwa wanaouza nyimbo za Gospel, jaribu pale Mwenge Sokoni unaweza kuipata
 
Mkuu mi nautafuta wimbo wa KKKT kama sikosei Kimara unaitwa "Nenda fanya kazi ile ya Bwana usiuhesabu muda......" huu wimbo naupenda sana.

Mwenye namna ya kuupata naomba anisaidie wakuu.
Halafu hiyo suti ni mojawapo ya suti ambazo huwa zinamkaa vizuri sana JPM. Alitoka vizuri sana siku hiyo,..., halafu sasa rangi yake, blue sky, I like it!
 
Not interested with his outfit, we umependa hiyo rangi ya suti?

Back
Top Bottom