Askofu Mbwilo wa Dayosisi ya KKKT Kusini Magharibi Magoye ashindwa vibaya uchaguzi

Mlendamboga

JF-Expert Member
Sep 14, 2011
640
500
Taarifa kutoka KKKT Dayosisi ya kusini magharibi Magoye, zinadokeza kuwa aliyekuwa askofu wake Tito Job Mbwilo ameshindwa kutetea kiti chake baada ya kuangushwa kwenye uchaguzi uliofanyika 25 Octoba 2018
Aliyechaguliwa kwenye uchaguzi huo ni mchungaji Mlimitsi Nguvila ambaye kwa sasa anakuwa askofu mteule mpaka atakapoapishwa.

Aidha katika Uchaguzi huo, Msaidizi wa askofu amechaguliwa mchungaji Ngogo ambaye amemshinda Dr Naibu ambaye ni mkuu wa jimbo la Matamba

mara baada ya matokeo hayo Watu wanashangilia kwenye mitaa ya ti Matamba, Magoye baada ya moshi mweupe wa kura za siri kutegua kitendawili cha kiimani walichokuwa wakisubiri waumini wa KKKT na hasa wakazi wa bonde la Uwanji anbalo ndiko dayosisi hiyo ipo lililopo mati ya mkoa wa Njombe na Mbeya.

Askofu Mbwilo amedumu kwenye uongozi tangu miaka ya 90 mwanzoni baada ya kustaafu kwa askofu Levy Nsemwa, lakini aliendelea kukisaka kiti hicho licha ya kuonekana kuchokwa na waumini kutokana na kupoa kwa waumini kiimani na kushindwa kukua kwa huduma za kijamii zilizokuwa chini ya kanisa hasa afya na miradi mingine ya maendeleo
 
Attachments

UCD

JF-Expert Member
Aug 17, 2012
7,036
2,000

Watajijua wao sisi wengine hatumo!!
 
dafity

JF-Expert Member
Aug 16, 2008
1,738

Hata chaguzi za kidini zina majungu, rushwa, figisu, roho mbaya na kupakana matope
 
maroon7

JF-Expert Member
Nov 3, 2010
8,734
2,000
Kila lakheri mteule. Japo kupiga kura kuchagua askofu naona utaratibu mgumu sana. Sasa huyo aliekua askofu atabaki mchungaji tu wa kawaida au atastaafu
 
jogi

JF-Expert Member
Sep 25, 2010
25,154
2,000
Nasadiki kwa Kanisa Moja Takatifu Katoliki la Mitume.
Kwa jina la baba na la mwana na roho mtakatifu. Amina
Atukuzwe Baba na Mwana na Roho Mtakatifu kama mwanzo na sasa na siku zote na milele Amina.
Hilo kanisa moja ni lipi kati ya Magomeni na msimbazi senta?
 
Top Bottom