askofu gwajima

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima azipatanisha CCM na Chadema, zote zinapinga msimamo wake kuhusu Chanjo!

    Chadema na CCM zimeungana katika kumkemea askofu Gwajima kuhusiana na msimamo wake hasi kuhusu chanjo ya Corona. Katika mambo ya msingi ni jambo jema kuwaona Chadema na CCM wanakuwa Wamoja katika Umoja. Mungu ni mwema wakati wote!
  2. Petro E. Mselewa

    JamiiForums Tanzania Ifike mahali Askofu Gwajima na wengine wa jinsi yake wadhibitiwe kiserikali na kichama kuhusu chanjo ya UVIKO-19

    Serikali yetu imekata shauri la kuleta na kutoa chanjo ya UVIKO kwa watanzania/wananchi wake. Imeweka wazi kabisa kuwa chanjo ipo na ni ya HIARI. Yaani, mtanzania atakayeridhia kuchanjwa atachanjwa. Msimamo wa Serikali ni msimamo wetu watanzania. Serikali ni yetu na inatupasa kuiheshimu na...
  3. chiembe

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima anajua yeye ni mbunge kupitia CCM, kwanini anashawishi uongozi wa juu Chadema umpe nafasi agombee urais 2025?

    Askofu Gwajima miaka kadhaa iliyopita alikuwa ni mwanachadema mzuri sana na alichangia sana harakati zao kwa fedha nyingi. Aliingia CCM kwa kuvutwa na ukabila kwa kuwa alikuwa na nia ya kuifanya Tanzania na CCM chama cha wasukuma kupitia mwendazake. Sasa Rais Samia kaingia, Askofu kapoteza...
  4. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Nionavyo Mimi Kuhusu Askofu Gwajima...

    Hana shida na Ubunge amechoka nao au haoni kama ni big deal hivyo anaongea anachokiamini bila woga/shaka. Si mnafiki anazungumza anachokiamini. Mtu wa namna hii ni mzuri akipata wasaa wa kuamini jambo lenye faida kwa Taifa. Hayumbishwi. Tunapaswa kuwa na watu wa namna hii Huyu ni mtu wa system...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima: Wapo waliochanjwa chanjo feki ili kuwashawishi watu wachanjwe. Sijachanjwa na haitatokea

    Askofu Gwajima amewaambia wafuasi wake katika semina inayoendelea kanisani kwake kwamba wazipuuze taarifa zinazoenea mitandaoni kwamba yeye amechanjwa chanjo ya Corona. Wapo wanaowaaminisha watu kuwa wamechanjwa na chanjo haijawaathiri kumbe wamechanjwa chanjo feki ili kuwashawishi watu...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima: Viongozi na Wananchi wanaohimiza Chanjo ya COVID-19 ni wajinga na akili zao zimeenda likizo

    Mbunge wa Kawe Josephat Gwajima ameendelea kusisitiza kuwa viongozi na wananchi wanaohimiza watu kuchanjwa chanjo dhidi ya Covid19 ni wajinga na akili zao zimeenda likizo kwa sababu ya kile alichokiita chanjo hizo kuwa na madhara kwa binadamu na hazizuii maambukizi ya Corona --- Nahisi...
  7. Replica

    JamiiForums Tanzania Mwita Waitara: Kumekuwa na mzaha mzaha, hata Rais ametoa maagizo watu wanaibuka wanazungumza mambo yao

    Naibu waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mwita Waitara: Kumekuwa na mzaha mzaha, unatoa maelekezo hata mheshimiwa Rais juzi ametoa maagizo watu wanaibuka wanazungumza mambo yao ambayo kwakweli ni makosa makubwa sana. Sisi tunatakiwa kupata muongozo kwa kiongozi mkuu wa Nchi, Rais ni Taasisi, sasa...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Picha: Mbunge wa Mlimba akikagua Daraja la Sh. Milioni 31 lilojengwa kwa miti

    PICHA YA SIKU: Hili ni Daraja jipya katika Mto Mngeta uliopo katika mji wa Mlimba wilayani Kilombero. Daraja hili limejengwa kwa miezi 7 kwa thamani ya shilingi milioni 31, na limejengwa kwa miti. Pichani ni mbunge wa jimbo la Mlimba, Godwin Kunambi, akikakagua mradi.
  9. MAHANJU

    JamiiForums Tanzania CCM tumfukuze uanachama Askofu Gwajima, hana busara

    Kama ambavyo tumekuwa tukiimba kwa katiba bora yetu ya Chama kuliko vyama vyote nchini na Afrika,ni wazi kabisa kua Askofu Gwajima ameleta sintofahamu kubwa sana nchini huku akijua kitendo kile kilikua ni cha uchochezi wa makusudi na alidhamiria. Mwanachama mzima wa CCM huwezi kusimama...
  10. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Nikimtizama Askofu Gwajima naona kitu hiki...

    Ana maadui wengi kuliko marafiki. Upande wa CCM na Wapinzani. Alishaharibu kote. Mwenzetu Pascal Mayalla ni mmoja ya watu ambao wanaonesha kuwa waliathiriwa sana na Gwajima hasa jimboni Kawe. Mpaka leo amebaki kuwa na chuki si Pascal yule kabla ya kubadilika na kuwa mwanasisi emu njaa. Mimi...
  11. P

    JamiiForums Tanzania Mzee Makamba: Mchungaji Gwajima anayo laana ya kumtukana Kardinali Pengo

    Mzee Makamba anadai kuwa Mchungaji Gwajima anayo laana ya kumtukana Kardinali Pengo. Na kwa tafsiri ya kiafrika mtu mwenye laana siku zote hufanana na mtu aliyechanganyikiwa. Ayafanyayo huwa kituko kwa wanaomzunguka, huwafanya watu waingiwe na huruma. Lakini naamini lengo la Mzee Makamba...
  12. C

    JamiiForums Tanzania Maneno ya Askofu Gwajima yamepata nguvu, kitaa wanaamini wakubwa wamehongwa

    The come back of Rashid Gwajima siyo ya kitoto we mchukulie kama chizi au serious(mimi huwa namuona mwehu )ila nipo Tabata hapa ka grocery fulani tunabishana suala la chanjo reference ya hawa jamaa ni video ile ya Gwajima najaribu kuwaelewesha nimeshindwa,anyway nime stick kula beer tu huku...
  13. mshale21

    JamiiForums Tanzania UVCCM: CCM imchukulie hatua Askofu Gwajima kwa kuhamasisha Watanzania kukataa chanjo ya Uviko-19

    Dodoma. Umoja wa Vijana wa CCM ( UVCCM) umekitaka chama chao kumchukulia hatua Mbunge wa Kawe, Josephat Gwajima kwa kitendo chake cha kuhamasisha watanzania wakatae chanjo ya Uviko-19. Katibu Mkuu wa UVCCM, Kenani Kihongosi ameyasema hayo leo Jumanne Julai 28 2021 mara baada kumalizika kwa...
  14. S

    JamiiForums Tanzania CCM: Tunafuatilia mienendo ya viongozi wetu wanaopotosha umma, kwenda kinyume na maelekezo ya Mwenyekiti wetu

    Chama Cha Mapinduzi kinafutilia kwa makini mienendo ya baadhi viongozi wake ambao wamekuwa wakipotosha Umma na kwenda kinyume na maelekezo ya Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Samia Suluhu na maadili ya Chama. CCM inawakikishia wanachama na watanzania kuwa hatua...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima: Ni jambo baya sana kuwapa Chanjo ya Corona Wanajeshi, Polisi na watu wa Usalama

    Ni wazo baya sana kuwachanja chanjo ya Corona askari wa majeshi yetu kwa sababu hatujui usalama wa hizo chanjo. Baba Gwajima amesema anapinga kwa 100% vyombo vya dola kuchanjwa kwa sababu tunaweza kupoteza taifa. Askofu Gwajima amesema haya Kanisani kwake leo. Askofu Gwajima amewataka wafuasi...
  16. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania January Makamba: Kauli ya Askofu Gwajima kuhusu chanjo na dhamira ya Serikali haikubaliki

    Ndugu Gwajima ambaye anajiita Daktari (haijulikani ni Daktari wa nini na alisomea wapi), na ambaye mimi sitamuita Askofu , mbunge wa ccm wa jimbo la Kawe, jimbo ambalo rekodi ya kukamatwa kwa lundo la mabegi ya wizi wa kura yaliyolindwa na Lazaro Mambosasa, RPC aliyefurushwa haijavunjwa duniani...
  17. Fundi Madirisha

    JamiiForums Tanzania Propaganda za Chanjo ya COVID-19: Askofu Gwajima apuuzwe

    Kwanza nilitamani sana huyu mtu anayejiita Askofu akamatwe na vyombo vya dola kisha ahojiwe kuhusu tabia yake ya kwenda kanisani na kwenda kuwadanganya Watanzani kua chanjo si salama wakati anajua kabisa kua kila chanjo inayotolewa na serikali imejiridhisha. Huyu mtu anarudisha juhudi za...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Je, kuna Mkazi yeyote yule wa Jimbo la Kawe aliyeanza kuzishuhudia ahadi lukuki za maendeleo za Mbunge Askofu Gwajima?

    Nikiwa kama Mmoja wa Wavuvi wa Ununio nimeshaandaa Siku nyingi sana Picha zangu 4 za Passport kwa ajili ya Pasi ya Kusafiria ili anikatie VIZA na Mbunge Askofu Gwajima atupeleke nchini Marekani kama alivyotuahidi na kutuhakikishia pia. Askofu Gwajima USA unatupeleka lini?
  19. A

    JamiiForums Tanzania Changamoto katika ajira mpya za TAMISEMI

    Wajuvi wa mambo vipi mbona kumekuwa na changamoto sana katika hiz ajira za TAmisemi mpaka inaleta hali ya kuhisi kuna kitu kinaendelea nyuma ya pazia. naanza kupata hisia kuwwa huwenda pazia limeandikwa kuwa wote wenye vigezo wanaweza kuibgia ila nyuma ya pazia kuna ukuta na wala sio mlango...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima: Ukiwa uchumi wa kati unapoteza fursa nyingi za upendeleo hivyo ni rahisi sana kurudi kwenye uchumi wa chini

    Mbunge wa Kawe Askofu Gwajima amesema watanzania wengi hawaelewi athari za nchi kuwa uchumi wa kati. Ni kwamba unapoingia katika kundi la uchumi wa kati zile fursa zote ulizokuwa unapata kama nchi maskini zinatoweka na usipokaza buti ni rahisi sana kurudi kwenye uchumi wa chini. Chanzo: TBC...
Back
Top Bottom