Mgombea Ubunge Jimbo la Kawe kwa tiketi ya CCM, Askofu Josephat Gwajima amesema ana jina la kiislamu ambalo ni Rashidi Gwajima.
Amesema alipata jina hilo baada ya kutelekezwa kwenye msikiti ambapo pia alisema waislamu ndio waliomsomesha katika miaka yake ya awali.
Kutokana na suala hilo...
Heshima sana wanajamvi.
Tukubali tukatae CCM ni chama kikubwa, kikongwe, kina uzoefu katika medani ya siasa za Tanzania na wakati wa Mwl Nyerere kilikuwa na mitazamo iliyovuka mipaka ya Tanzania (Ukombozi wa nchi za kusini mwa Afrika) na pia masuala ya utangamano wa kikanda na hatimaye Afrika...
Tukiondoa itikadi za vyama na ushabiki usio na maana sana hasa kwa kipindi kama hiki cha uchaguzi, tujikite sasa kuangalia msaada wa mtu binafsi kwa jamii husika. Askofu Gwajima ambaye ni kiongozi wa kiroho upande wa Wakristo na mgombea ubunge Jimbo la Kawe kupitia CCM anaweza kuwa msaada mkubwa...
Ndugu wana jamvi kwanza nikubali kwamba nimechelewa kuhadithia ndoto yangu maana muda huu umeendelea sana. Lakini sio mbaya nikasimulia kile nilichoota usiku wa kuamkia leo.
Baada ya kupata chakula cha usiku nimepumzika kidogo huku nikisubiria mechi ya Arsenal na Liverpool iliyoanza saa nne...
Askofu Gwajima akihubiri kanisani kwake amesema leo asubuhi wakati anakwenda hapo ibadani alipitia saluni kusafisha kichwa chake.
Alipoingia saluni na kuketi dada mmoja alimjia kwa nyuma na kujaribu kugusa kichwa chake lakini ghafla akaanza kuweweseka kama amepigwa shoti ya umeme na kupandisha...
Leo ndio Halima Mdee atajua kuwa hajui.
Ni kampeni za kishindo katika viwanja vya Tanganyika packers Kawe ambazo zitatanguliwa na maandamano ya wanafunzi wa vyuo vikuu vyote vya Dsm ya kumuunga mkono Dr Magufuli.
Halima Mdee lazima akae Dr Magufuli 5 tena!
Maendeleo hayana vyama!
Ni kweli Askofu Gwajima ameamua kupanua Huduma yake,ila kusema ukweli sjaona pale kanisani kwake anayeweza kufundisha doctrine ya wokovu kama yeye.
Vijana wake ni kweli wako vizuri lakini baado Sana kumsogelea kimafundisho baba yao, bado hawajawa na kipawa cha kufundisha na kuhubiri kama baba...
Lema katika kampeni zake amerekodi sauti ya Rais Magufuli wakati anamtumbua Mrisho Gambo na anawasikilizisha wananchi huku akiwashawishi kuwa Gambo hafai kuwa Mbunge.
Halima Mdee naye kwenye gari lake la matangazo ya kampeni anarusha sauti ya askofu Gwajima akiponda vyeo vya uwaziri na ubunge...
MAKONDA, GWAJIMA USO KWA USO KWA KARDINALI PENGO
Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam Paul Makonda pamoja na Mgombea wa Ubunge Jimbo la Kawe Askofu Gwajima kwa pamoja wamemtembelea Kadrinali Pengo mapema leo.
Heshima sana wanajamvi,
Askofu Mkuu sana Dkt. Gwajima kaja na style ya aina yake katika kuomba kura jimbo la Kawe.
Mosi Dr Gwajima kaja na ahadi ya kutuletea maboat ya uvuvi vijana wa Kawe. Vijana wote wa Kawe wajiandae kuvua samaki katika Bahari kuu ya Hindi.Hii ni habari njema hasa vijana...
Katika Biblia takatifu nabii wa uongo anatafsiriwa kama mtu ajifanyaye Nabii ama kwa kujidanganya au kudanganya.
Nabii wa uongo ni yule aelezaye maono yenye hila na ulaghai ambayo kamwe hayawezi kukamilishwa.
Tundu Lissu anazungumzia kutoa Bima ya afya kwa watu wote nchini raia na wasio raia...
Akiongea katika ufunguzi wa kampeni zake askofu Gwajima amesema jimbo la Kawe ni jepesi sana halihitaji serikali wala manispaa kujiendesha.
Gwajima amesema pindi atakapoapishwa ataanza kugawa magari ya wagonjwa kila kata yeye mwenyewe ili wananchi wakewawaishwe hospitali pindi wanapougua...
Wana JF,
Ukitaka kujua aina za wachungaji tuliona basi unasubiri tu mudam ahadi lukuki za Askofu gwajima sijawahi ona hata mojam alisema atafungua chuo cha marubanim watu waje kujifunza kuendesha ndegem Alisema mwakani ataingiza machine za kufua umeme ambazo zitamaliza kabisa tatizo la umeme...
Wanabodi,
Mimi ni mkazi wa Kawe, kwa vile sasa tuko kwenye kampeni za uchaguzi, ili tumtendee haki Mbunge wetu aliyemaliza muda wake, Mhe. Halima Mdee, ambaye, baada ya kuwa Mbunge wa Kawe kwa vipindi viwili mfululizo, na sasa anaomba tena tumchague, hivyo nauliza kama kuna mtu yoyote anaweza...
Wana JF kama kuna siku naingojea kwa hamu kubwa na ambayo namuomba mwenyezi Mungu anijalie nikutwe na afya njema na niwe sehemu ya mkutano huo wa ufunguzi wa kampeni za askofu Gwajima au niwe sehemu ambayo nitaweza kuona mubashara.
Hii shauku imesababishwa na Halima James Mdee kumuita Askofu...
Mchungaji wa Kanisa la ufufuo na uzima Dkt. Gwajima amesema yeye na mgombea ubunge wa jimbo la Kinondoni ni mapacha.
Gwajima amesema hayo leo alipomkaribisha Abbas Tarimba Kanisani kwake na kumtambulisha kwa waumini wake ambao walimshangilia kwa nderemo na vigelegele.
Mchungaji Gwajima amesema...
Kweli naamini mpinzani mpinzani tu,hata anaweza kupingana na mama yake kuhusu baba yake halisi.
Mimi sio mwanasiasa,sina chama ni staff. Tujikumbushe Gwajima alikua wapi wakati anamshambulia mzee Pengo,katika utawala wa Kikwete Gwajima alikua mnazi haswa wa upinzani. Kilichofanya amshambulie...
Ni jambo la baraka kuona mtumishi wa Mungu askofu Gwajima ameteuliwa kugombea ubunge kutuwakilisha Wananchi wa Kawe.
Dr Gwajima ana weledi mkubwa katika uongozi wa watu kiroho na kimwili na ubobezi wake ameupatia nchini Korea. Ni mtu mwenye malengo makubwa na naweza kumfananisha na Rais wa sasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.