askofu gwajima

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Cannabis

    Wataalamu wasema Askofu Gwajima amepotosha ukweli kuhusu chanjo ya corona

    Dar es Salaam/Dodoma. Wakati Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto ikihitimisha mjadala wa bajeti yake jana, baadhi ya wataalamu wamemkosoa Askofu Josephat Gwajima kwa msimamo wake kuhusu chanjo ya corona. Gwajima, ambaye ni mbunge wa Kawe (CCM) alitoa angalizo hilo Mei...
  2. K

    Askofu Gwajima ni mpotoshaji sana suala la Chanjo za COVID-19

    Sijawahi kuanzisha uzi hapa lakini baada ya kusikiliza clip ya Gwajima jana nilikereka sana na uongo wake. Hakuna Shirika linaitwa emergency drug authorization USA kuna FDA Food and Drug Administration sio Flag and Drug Administration na ndio Regulatory Authority pekee ya vaccine drug and food...
  3. kudamademede

    Askofu Gwajima: Mbunge smart kuwahi kutokea katika Bunge la Tanzania

    Salamu za Askofu Gwajima wa Jimbo la Kawe kwa Mh.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt.John Pombe Magufuli alipoteuliwa na Mh.Spika kusalimia kwa niaba ya Wabunge wenzake, leo Bungeni Dodoma. Mheshimiwa Spika, ninaomba nikushukuru sana kwa kunipa fursa hii ya kusema maneno machache kwa...
  4. M

    Tumpuuze Askofu Gwajima kuhusu Chanjo ya Corona

    Nimeamua kuandika ili wananchi tujue ya kuwa hata baadhi ya watunga sheria na pia ni viongozi wa dini hawajui kinachoendelea duniani. Huyu Mbunge (Askofu )wa jimbo la Kawe ETI anaona chanjo vaccine ya corona ni upuuzi.Labda hana kitu kinachoitwa BRAIN ana maji kichwani. Dunia nzima inagombania...
  5. beth

    Askofu Gwajima: Ni ujinga kuruhusu Taifa zima kuwa 'Experiment' kwa sababu tuna haraka ya Corona

    Mbunge wa Jimbo la Kawe, Askofu Josephat Gwajima ametaka kuwepo umakini wa kuchagua Chanjo dhidi ya Ugonjwa wa COVID-19. Amesema hayo akiwa Bungeni Dodoma leo wakati wa Mjadala wa Bajeti ya Wizara ya Afya iliyowasilishwa na Waziri Dorothy Gwajima. Amefafanua, "Mimi sipo kinyume na Chanjo za...
  6. Miss Zomboko

    Askofu Gwajima: Nchi ni lazima iwe na maono ya kimaendeleo kwa miaka mingi. Tunafanya mambo kwa kukimbia kimbia tu

    Mbunge wa Jimbo la Kawe, Askofu Josephat Gwajima, amesema kwa sasa Tanzania haina maono ya muda mrefu kwa ajili ya Maendeleo ya Wananchi bali kuna Ilani za Vyama na mipango ya muda mfupi. Amefafanua kuwepo kwa maono ya muda mrefu kutasaidia hata kumpima Rais anapoingia Madarakani kwa namna...
  7. J

    Suleiman Jafo, Kanisa la Askofu Gwajima ni kero kwa wananchi waishio Mazizini Ukonga, Dar es Salaam

    Sisi wananchi tuishio mazizini Ukonga, tunaomba msaada wako kwa sababu ya mitetemo na vipaza sauti, hili kanisa limejengwa makazi ya watu. Ibada zao zipo siku ya Jumatatu, Jumatano, Ijumaa, kuanzia saa 11 jioni mpaka saa 2:30 hadi saa 3 usiku, Jumapili saa 2 asubuhi mpaka saa 9. Na Kila siku...
  8. Course Coordinator

    Mbunge wa Kawe Askofu Gwajima ataka Masheikh wa Uamsho waachiwe na Sheria za uhujumu uchumi zirekebishwe

    Mimi siongezi neno hapa Mbunge wa Kawe, Josephat Gwajima amelishauri Bunge kuwa Sheria kandamizi zilizotungwa mwaka 2019 ikiwemo Sheria ya Uhujumu Uchumi na Utakatishaji fedha zifanyiwe Marekebisho kwani kuna Maelfu ya watu Wamebambikiwa kesi hizo mpaka sasa Wanasota Mahabusu bila kujua hatma...
  9. Replica

    Askofu Gwajima: Tanzania inashindwa kuendelea mbele kutokana na kutokuwa na muendelezo wa utawala mmoja kwenda mwingine

    Mbunge wa Jimbo la Kawe Josephat Gwajima akitoa mchango kuhusu hotuba iliyotolewa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, amesema nchi nyingi za Kiafrika zimekuwa haziendelei kwa kasi ya maendeleo kutokana na kushindwa kutumia rasimali kwani inaendana na 'manpower'. Pia ameeleza kuwa Tanzania...
  10. MAHANJU

    Askofu Gwajima anaribu kusifu na kujipendekeza awe Waziri

    Anaitwa Askofu Gwajima ingawa sijui aliyempa hicho cheo ni nani maana matendo yake hayaendani. Alisema hawezi kuwa mbunge wala waziri maana ni vyeo vidogo kuliko kazi yake lakini ubunge wake kwa njia alioupata hata wanaccm tunajua. Amezidi kujilisha na kujipendekeza mno bwana utafikiri hamjui...
  11. J

    Askofu Gwajima: Sasa ni wakati wa kumsupport Rais Samia, huyu ni Joshua wetu ukiangalia nyuma utakula risasi

    Askofu Gwajima amesema sasa ni wakati wa kumsupport Rais Samia kama tulivyomsupport hayati Magufuli kwa sababu mama Samia atayatimiza ya Magufuli tena atafanya zaidi tayari. Askofu Gwajima amesema Kanisa la ufufuo na uzima linamuunga mkono mama Samia kwa 100% kwa sababu huyu ni Joshua, yaani...
  12. J

    Askofu Gwajima: Viongozi wa dini hatupingi chanjo ya Corona wala Sayansi bali tunataka tujiridhishe kwanza

    Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima ambaye pia ni Mbunge wa Kawe amesema viongozi wa dini hawapingi chanjo ya Corona bali wanashangazwa kwa namna chanjo hiyo ilivyotafitiwa kwa muda mfupi sana Askofu Gwajima amesema watakubali kupokea chanjo endapo patafanyika utafiti wa kutosha utakaobainisha...
  13. J

    Yaliyojiri Karimjee: Zoezi la kuaga mwili wa Marehemu Dkt. John Kijazi, rais Magufuli atoa neno

    Mbunge wa Kawe Askofu Dkt. Gwajima ameongoza sala ya kumuombea marehemu Dr Kijazi nyumbani kwake Mbweni jijini Dar es salaam na sasa anaongoza msafara ambao umeanza kuelekea viwanja vya Karimjee ili viongozi na wananchi wapate fursa ya kutoa heshima za mwisho. Zoezi la kutoa heshima za mwisho...
  14. J

    Askofu Gwajima: Siasa isiyomsaidia mwananchi wa kawaida na kumuachia ufukara haina maana yoyote

    Mbunge wa Kawe mh askofu Gwajima amesema siasa isiyomsaidia mwananchi wa kawaida na kumuachia ufukara haina maana yoyote na amewataka wanasiasa kuwatendea haki wananchi. Gwajima alikuwa akihojiwa na waandishi wa habari katika sherehe za maazimisho ya miaka 44 ya kuzaliwa CCM Mabwepande nje...
  15. J

    Askofu Gwajima: Kawe tuna barabara za urefu wa KM 1400 sawa na Dsm - Kigoma tumepewa fedha ya km 130 tu hii haikubaliki!

    Mbunge wa Kawe baba askofu Gwajima amesema jimbo lake la Kawe lina barabara zenye urefu wa takribani kilomita 1400 sawa na umbali wa kutoka DSM hadi Kigoma lakini Tarura wamepewa bajeti ya kukarabati kilomita 130 tu. Gwajima amesema hii haikubaliki na kuwataka watu wa Tarura kujiongeza kwani...
  16. Cannabis

    Askofu Gwajima: Chanjo ya Corona ni hatari, ni chapa ya mpinga Kristo, Mataifa kututenga kwa sababu hatujachanjwa ni mwanzo wa Uchumi wetu kukua

    Askofu Gwajima ameonya waumini wake kwamba chanjo ya corona ni hatari, na kusisitiza hakuna haja ya kuchanja watanzania kwa sababu Tanzania hakuna corona. Askofu Gwajima amesema kilichopo hivi sasa ni hofu ya corona ambayo ina nguvu kuliko corona yenyewe. Askofu Gwajima amesema kwamba chanjo ya...
  17. B

    Askofu Gwajima amefurahia jimbo baada ya kusikia Halima Mdee hawezi tena kugomba

    Huenda ni furaha kwake na huenda hao 19 walichaguliwa waingie kwenye mtego iwe mwisho wao baada ya kuona wanasumbua majimboni, hawakujitambua au waliamua. kwa maamuzi ya sasa ya chadema mana yake majimbo yao yote waliyopanga kugombea hawataonekana kamwe maana yake nguvu imepoozwa majimb hayana...
  18. J

    Askofu Gwajima: Siasa ni kipaji siyo akili za darasani. Ya siasani hayapelekwi kwenye dini ila kinyume chake ni sahihi

    Askofu Gwajima amesema mtu kuwa mwanasiasa mahiri hakuhitaji kwenda darasani kwani uanasiasa ni kipaji " taranta" Siasa ni swala zima la kuwaletea watu maendeleo ikiwemo maji, umeme, elimu na Huduma za afya na kuyaweza hayo siyo lazima uwende darasani, amesisitiza. Askofu Gwajima pia amesema...
  19. J

    Askofu Gwajima: Sijaacha utumishi wa Mungu bali nimepanua Huduma na kuwafikia watu wengi zaidi

    Akijibu swali kwanini anagombea ubunge wakati huko nyuma aliwahi kusema hawezi kugombea vyeo vya kisiasa kwa sababu atajishusha hadhi, askofu Gwajima amesema yeye hajaacha uchungaji bali atafanya kazi mbili kwa pamoja yaani mchungaji na mbunge. " ni kwamba nimepanua tu Huduma ili kuwafikia watu...
  20. J

    GE2020 Askofu Gwajima: Nimewasaidia waislamu nikiwa siyo mwanasiasa nimewajengea visima msikiti wa Salasala na Makuti

    Askofu Gwajima amesema yeye amekuwa akiisaidia jamii kabla hata hajawa mwanasiasa kwa mfano kuwachimbia Waislamu visima vya maji katika misikiti ya Salasala na Makuti. Pia amewachimbia visima wananchi zaidi ya 200 na kununua magari ya wagonjwa zaidi ya 17 aliyoyagawa sehemu mbalimbali...
Back
Top Bottom