askofu gwajima

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. N

    JamiiForums Tanzania Maneno ya dharau ya Askofu Gwajima kwa waliomzunguka Rais Samia

    Nimeamini Gwajima ni mkubwa kuliko Serikali
  2. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Napinga Askofu Gwajima kukamatwa

    Askofu Gwajima should not be arrested and here is why: His anti- COVID-19 vaccine stance is stupid. Stupid people are entitled to their stupid ideas and opinions. They have the right to be stupid and to be wrong. Stupidity can’t be legislated. It can’t be fixed. He and his stupid flock...
  3. Khadija Mtalame

    JamiiForums Tanzania IGP Sirro: Hatuna barua ya kumkamata Askofu Gwajima, utaratibu ufuatwe

    IGP Sirro amesema kuwa jeshi la polisi linaendeshwa kwa maandishi na kuna taratibu hivyo wanasubiri barua kutoka kwa waziri ili waangalie wanatekeleza vipi agizo lake. Pia ameongeza kuwa hayo maelekezo ameyaona kwenye mitandao ya kijamii hivyo anasubiri barua rasmi ili waangalie jinsi ya...
  4. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Waziri Gwajima: Askofu Gwajima ni shemeji yangu, alidai atamfufua Chifupa pia alikutwa na Mrembo akasema mkono wa Baunsa

    Waziri wa Afya, Dkt Gwajima leo ameelezea suala askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Askofu Josephat Gwajima kupinga chanjo ya Covid-19 na kudai pamoja na ushemeji walionao haungani na itikadi zake. Pia ameshangaa wanaomuamini akitolea mfano wa Askofu kudai atamfufua Amina Chifupa kitu ambacho...
  5. Naipendatz

    JamiiForums Tanzania Waziri Gwajima aagiza Askofu Gwajima kukamatwa ili athibitishe kauli anazozitoa dhidi ya Serikali na viongozi kuhusu chanjo ya UVIKO-19

    Askofu Gwajima ni shemeji yangu, lakini mimi waziri wa wananchi nimekula kiapo mbele ya Rais cha kutumiakia nchi, sio kumtumikia shemeji. Mimi ndiye msemaji wa masuala ya afya nchini, nimechoka kuvurugwa naagiza akamatwe popote na akahojiwe juu ya haya madai - Dk. Gwajima -- Butiama. Waziri wa...
  6. G Sam

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima anavyoongea na waumini wake ni kama muhuni wa kijiweni anayepiga stori za kijinga

    Nashangaa sana kuona wale wanaoitwa waumini wa Gwajima wakijiinua inua kutoka vitini huku wanaitika Haleluya pale mchungaji wao bwana Gwajima anapowapigisha stori za kijinga na kuwapotezea muda wao. Gwajima anaongea mambo ya uongo, yasiyo na ushahidi na mbaya zaidi anayapeleka madhabahuni na...
  7. Mmawia

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mollel: Askofu Gwajima ataitwa athibitishe kauli zake, akishindwa tutamshughulikia

    Naibu Waziri wa Afya Dkt. Mollel amesema kuwa Askofu Gwajima sasa kapitiliza katika kuwapotosha Watanzania kwenye matamko yake juu ya chanjo ya UVIKO-19 (Corona). Askofu Gwajima kupitia ibada za kanisa lake amekuwa akitoa matamko mbalimbali yanayopinga chanjo ya maambukizi ya ugonjwa wa...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima: Bunge linaanza kesho, sitachanja hata kama itanilazimu kupoteza Ubunge nitarudi nyumbani

    Askofu Gwajima amesema vikao vya kamati za bunge vinaanza kesho na yeye atakuwepo Dodoma lakini hatachanja chanjo ya Corona Gwajima amesema ubunge ni kazi ya heshima na anawashukuru sana wana Kawe kwa kumchagua kuwa mbunge wao lakini kuchanja hapana hata kama itamlazimu kupoteza ubunge wake...
  9. Cannabis

    JamiiForums Tanzania Mwita Waitara amshukia Askofu Gwajima, amtaka aache siasa kwenye mambo ya afya za wananchi au ajivue ubunge kama hakubaliani na serikali

    Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mwita Waitara amemtaka Askofu Josephat Gwajima asichanganye siasa kwenye mambo ya msingi na yanayohusu afya za Watanzania. Amesema kama hakubaliani na viongozi wake, basi ajivue ubunge kwani hakuna sababu ya kutumikia mabwana wawili.
  10. MR TOXIC

    JamiiForums Tanzania Hoja za Askofu Gwajima zimewaumbua wataalam wetu na waliomuingiza 'mkenge' Rais Samia kwenye chanjo ya Corona

    Nilitegemea wataalam wetu wa afya pamoja na washauri wa Rais waliomshauri kuagiza chanjo ya corona watakuwa mstari wa mbele kujibu hoja za askofu badala yake wamekuwa watu wa kumshambulia yeye binafsi na kumpa vitisho badala ya kujibu hoza zake kitaalam. Katika hoja ya kwanza, Askofu gwajima...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Nikiangalia rekodi za Askofu Gwajima napata mashaka kuamini hichi anachokizungumza leo

    kusema ukweli Askofu Gwajima amekua na tabia ya kuzikana kauli zake anazozungumza, hii inanipa shida sana kuamini kama hiki anachokisimamia leo hatakikana, hebu tufuatilie kidogo hizi clips fupi fupi sana hapa askofu alizungumza wazi wazi mbele ya waumini wake na kutuhumu dini za watu lakini...
  12. Bowie

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Askofu Gwajima aanzishe Chama cha Siasa

    Ni wazi kabisa kwa Askofu Gwajima anatakiwa aanzishe chama cha siasa badala ya kujifanya anahubiri dini. Hii ni wiki ya 3 mfulilizo kwa huyu Mbunge wa CCM anatoa kauli ya kupingana na Mwenyekiti kiti wa CCM na jopo la wataalamu katika masuala ya chanjo ya Covid 19. Inavyoonekana Askofu...
  13. GUSSIE

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima: Nasubiri wataalamu wa ndani wa chanjo ya COVID-19 waongee kisha nitawapiga kwa risasi moja tu watawanyike

    Gwajima anasema viongozi na wataalamu wetu ni vigeugeu na hawafai kuongoza, Wanafanya mambo kwa kuangalia upepo na sio utaalamu Anasisitiza wajiuzulu mapema kwenye suala la covid-19 Akihutubia maelfu ya waumini wake leo Gwajima amesema wataalamu wetu ndio hao walijenga pale Muhimbili jiko la...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima, Hutaki Kuchanja Nakuelewa, Lakini Kwanini Unashawishi na Wengine Wasichanje?

    Kwa muda mrefu sasa Askofu Gwama ametangaza wazi wazi kwamba hataki kuchanja chanjo ya Corona, ninamuelewa kwani ni haki yake binafsi kukataa, maana chanjo ni hiari. Mahali ambapo simuelewi ni pale anapofanya kampeni ya makusudi, ya waziwazi, tena kwa kutumia lugha kali sana kuwashawishi na...
  15. Sarikiaeli

    JamiiForums Tanzania Msisitizo Askofu Gwajima ni msimamo juu ya msimamo kuhusu Chanjo ya COVID-19

    Askofu Josephat Gwajima ameandika hivi punde kwenye ukurasa wake wa Facebook kwamba kabla hujaongea kuhusu mimi lazima utafakari sana kwanza. Familia zangu zipo nne ambazo ni:- Familia ya Ufufuo na Uzima Familia ya Waislamu Familia ya Watanzania Na familia ya wasionipenda (Assigned to sharpen...
  16. D

    JamiiForums Tanzania Sekta ya afya yavamiwa na “viwavi jeshi”

    SEKTA YA AFYA YAVAMIWA NA “VIWAVI JESHI” Kila binadamu anahitaji kuwa na afya njema ili aweze kuishi maisha marefu yenye furaha na fanaka. Afya maana yake ni hali ya kutokuwa na ugonjwa kimwili, kiakili, kiroho na kijamii. Wizara ya afya ndio pekee iliyopewa jukumu la kusimamia afya za...
  17. Ferruccio Lamborghini

    JamiiForums Tanzania Kuna mstari mwembamba unaomtofautisha Askofu Gwajima na Kibweteere

    KABLA Joseph Kibweteere, kushawishi mamia ya wafuasi wa kanisa lake kuamini dunia ilikuwa mwishoni, kisha kusababisha vifo vya watu 778, Uganda, dunia ilishakuwa na madhehebu ya Heaven's Gate (Geti la Mbinguni). Heaven’s Gate ni kanisa lililoasisiwa mwaka 1972 na watu wawili, wa kwanza ni...
  18. President of China

    JamiiForums Tanzania Hoja za Askofu Gwajima wameshindwa kuzijibu

    Askofu Gwajima alitoa hoja nzito na anaendelea kutoa hoja nzito. Akina Kigwangala na wenzake wanakuja na hoja nyepesi. Wengine wanakuja na hoja za kitoto eti Gwajima afukuzwe oh! Auliwe. Ni upuuzi. 1. Hoja ya kwanza kwanini chanjo zingine hazina fomu ya kujaza. Lakini chanjo ya korona unajaza...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima: Mama Samia ni mtu mzuri sana, alinifungulia ofisi ya CCM niliyojenga Mbweni. Nitawashughulikia mbweha wanaomuhujumu!

    Askofu Gwajima amesema alipojenga ofisi ya CCM kata ya Mbweni ambayo kimsingi ni jengo kubwa kuliko lile la CCM wilaya ya Kinondoni, mama Samia akiwa makamu wa Rais ndiye alikuja kumfungulia rasmi jengo hilo. Askofu Gwajima amesema mama Samia ni mtu mzuri sana na ameapa kuwashughulikia mbwea...
  20. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima hataki kubadili uelekeo, inawezekana ni mgeni na chama

    The man ni Game Changer. Anajiamini sana hasa anaposimamia anachoamini. Natamani iwe leo; natamani iwe kesho Gwajima afukuzwe CCM. Anampinga Rais ambaye kaamua kubadilisha uelekeo. Gwajima bado amekaza shingo yake hataki kugeuka nyuma kubadili uelekeo. Amekaza shingo na anakazana kuelekea...
Back
Top Bottom