Kanisani kama sisi wakristo tulivyolelewa ni mahali pa kumhubiri Kristo na Mungu.
Ni mahali pa kueneza upendo, amani, unyenyekevu, imani na kuokoka.
Sasa hili kanisa la mipasho la Ask Gwajima lina sifa ya kuitwa Kanisa?
Hapo ni uongo, mipasho, ushuhuda wa uongo, ligi za mabishano...
Suleiman Kova, kamanda wa polisi aliyewahi kutamba kwa kuzuia uhalifu akiwa RPC kwenye mikoa mbalimbali ameongelea hoja ya Gwajima kuomba mabadiliko ya mic na kiti. Amesema kwa uzoefu wake ndani ya Jeshi la Polisi na kuhoji watuhumiwa huwa ni suala la saikolojia kwa mtu mwenye msongo wa mawazo...
Mbunge wa Kawe, Josephat Gwajima amekataa kukaa kwenye kiti pamoja na kutumia kipaza sauti alichoandaliwa alipofika mbele ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Haki, Kinga na Madaraka ya Bunge inayoongozwa na Mwenyekiti wake Emmanuel Adamson Mwakasaka, na kuomba vibadilishwe.
Mbunge wa Kawe, Askofu Josephat Gwajima amefika Bungeni Dodoma muda huu kuitikia wito uliomtaka kufika mbele ya Kamati ya Maadili na Madaraka ya Bunge ili kujibu tuhuma mbalimbali ikiwemo kusema uongo na kushusha hadhi na heshima ya Bunge.
https://www.instagram.com/p/DI_yEyDICqU/?igsh=MTI5ZDUzaW5mNWM3Zg==
Mdahalo wa wazi hutumika hata kule Marekani kipindi cha uchaguzi, ambapo wagombea kupitia vyama pinzani huwekwa kwenye jukwaa moja na kupitishwa kwenye ‘tanuru la moto’ ili kuona nani anafaa, vivyo hivyo ifanyike kwa Askofu...
Nimefuatilia kwa karibu majibu machafu na ovyo ya huyo Gwajima (siamini kama kweli ni mchungaji au askofu mwenye karama), Kama kweli ni mchungaji kuna ethics zake, ni upumbavu na upuuzi kujitapa kuwa hata kama amelala na mrembo yule kwani kuna shida gani?
Hivi ni wewe unayehubiri kanisani neno...
Mwili wa Kristo uliopo Tanzania kesho katika umoja wetu tumwombee Askofu Gwajima. Tuombe Mungu ampe ujasiri na hekima ambayo hakuna atakayeweza kuhojiana nayo!! Roho Mtakatifu ahusike mwanzo mwisho!! Ikiwezekana baada ya mahojiano kitokee kitu kitakachowashikisha adabu toka kwa mzee wa siku...
Ziko dawa, chanjo, na njia za matibabu ambazo zimeachwa kutumia wakati hapo mwanzo zilipitishwa na kuruhusiwa kutumiwa. Mfano, watu wameacha kutumia dawa kali kutibu minyoo, indocid, chloroquine na SP kutibu malaria, kuacha kutumia spirit kusafisha eneo la kuchoma sindano, kunyoa nywele za...
Kwanza naomba andiko hili liaiunganishwe.
Wapendwa kwa tajiriba na pia kwa namna CCM hucheza na upepo wa hali ya nyakati natabiri siku yaja chama hicho kikongwe kwa sababu ile ile ya kujinusuru nakutamani kubakia madarakani kitalazimika kumteua Gwajima awe mgombea wao u Rais.
Kwa namna ya sifa...
Bwana Yesu aliye mponya na apewe sifa.
Askofu Gwajima leo ataongoza ibada katika kanisa la ufufuo na uzima kabla hajaelekea bungeni Dodoma ambako kesho atahojiwa na kamati ya maadili ya bunge.
Updates;
Familia ya mzee Gwajima imemtaka waziri wa afya Dr Dorothy Gwajima ambaye ni mke wa mtoto...
Leo katika kanisa la ufufuo na uzima Askofu Gwajima asema watu wasiingilie imani ya kanisa lake, amesema kuwa kiimani wakristo na hata waislamu wanaamini pombe ni dhambi na mahubiri hutolewa kupinga matumizi ya pombe, Je hao wanaohubiri wanatakiwa wakamatwe kwa sababu wanaikosesha serikali...
Askofu Gwajima,
Kwanza sikubaliani na wewe katika suala la kukataa chanjo ya Corona kwa kadiri unavyowahubiria waumini wako. Binafsi nimeshachanjwa na ninahimiza watanzania wote wachanje tofauti na unavyohubiri katika kanisa lako.
Hivyo, dawa pekee ya mimi kukupinga ni kwenda kuchanja na hivyo...
Zitto amesema IGP Sirro anapaswa kujiuzulu maana amekataa kutii amri ya askari wa mwamvuli wa Rais Samia Suluhu kwa kukataa kumkamata Askofu Gwajima.
Na kwa kufanya hivyo Sirro amegoma kutii amri toka kwa Rais SSH.
Chanzo: StarTV medani za siasa.
Spika wa Bunge amewaita Mbunge Josephat Gwajima na Jerry Slaa mbele ya Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya bunge
Wanatakiwa kujibu tuhuma mbalimbali ikiwemo kusema uongo na kushusha hadhi na heshima ya bunge
Gwajima ametakiwa afike Dodoma Agosti 23 saa saba mchana, Slaa ametakiwa afike...
Habari wana Jamìi Forum popote mlipo.
Nilitaka tu kumpa ushauri wa bure Askofu Gwajima kwasababu naona huko anakoelekea atakuja kujuta.
Nilianza kuona viashiria tangu wiki za nyuma baada ya watu mbalimbali kuanza kumuongelea Askofu kuhusu chanjo ya Uviko. Sasa nasikia waziri wa afya, Dk...
Nipashe inaripoti kuwa waziri wa afya Dorothy Gwajima amesema amewaandikia polisi barua ya kukamatwa kwa mchungaji josephat Gwajima.
Hii ni baada ya IGP kusema kuwa afuate hatua za kisheria
Soon mtasikia Gwajiboy ametiwa ndani
USSR
---
Amesema amekamilisha taratibu zote za kisheria ikiwamo...
Kwenye miaka ya 1998 dr Andrew Wakefield alianzisha kampeni ya kupinga chanjo kwa kusema uogo kuwa inaleta ugonjwa wa usubi. Hii ilikuwa inafatia madai ya namna hiyohiyo yaliyotolewa na dr Gordon Stewart 1970. Askofu Gwajima naye naona kama anapita njia hizo hizo na vitisho kuwa chanjo ya...
Kwani hi Chanjo ni jambo kubwa sana kama nchi iko vitani vile?
Kwanini wanakomalia sana as if hakuna shughuli nyingine za kufanya? Wananuka shombo na kama vile wananchi wamewachoka.
Hawa viongozi wana utoto mwingi na wanasababisha ukakasi kwenye hili suala la chanjo. Kuna wakati wangekaa kimya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.