Asili is a village on the southwest coast of Tutuila Island, American Samoa. It is located between Leone and 'Amanave. It is located in Lealataua County.
Both the Malagateine Stream and Asili Stream flow through Asili before discharging into the sea. A former World War II bunker is located near the shoreline. Several species of Gobie fish, as well as Mountain bass and Freshwater eel, have been recorded in Asili Stream. The Asili Stream originates at 1,190 ft. above sea level. It discharges near the center of the embayment that fronts the village. The main branch of the Malagateine Stream starts around the 520 ft contour along the east side of the Malagatiga Ridge.
Wametangaziwa donge la majimbo 30 na m. 200 kila jimbo. Mtiti ni pale watakapoanza kutoana macho kugombea majimbo na mbaya zaidi watakapokosa ubunge na pesa walizoahidiwa ndipo tutakapomjua steringi ni nani. Njaa mbaya sana huwa haifichiki hasa inapokimbilia kichwani, tutaona kila rangi yetu macho.
Shambulizi la Diapaga na Asili ya Jama’a Nusrat ul-Islam wal-Muslimin (JNIM)
Na
GOODLUCK MALEKOJ
UTANGULIZI
Tarehe 13 Mei 2025, mji wa Diapaga ulioko Mashariki mwa Burkina Faso ulivamiwa tena na kundi la kijihadi linalojulikana kama Jama’a Nusrat ul-Islam wal-Muslimin (JNIM). Shambulizi hili...
Si kwasababu ya NO REFORMS NO ELECTION.. Bali ni madhila, uonevu wa wazi, dhuluma na mateso ya kila aina wanayopata CHADEMA kupitia vyombo vya ulinzi kwa baraka za CCM
CCM nao wameanza kuumizwa na hii hali kwakuwa sasa Watanganyika wamekuwa na mwamko mkubwa wa kuona uhalisia na kuamua kuiunga...
Kule Somalia kuna koo maarufu tano.
Ila koo ya Rahanwein ni koo korofi, inapenda vita, ndio anayotoka injinia Hersi Said.
Koo zingine ni Hewiye, Darod, Isaaq na Dir
Nasikia anautaka na ubunge, tuwe makini.
Hakuna tofauti ya Hatuchezi na No reform no erection,wote wanapimana ubavu. Wote ni...
Huko masaluni na maduka ya vipodozi hugharamika sana kununua nywele za watu wengine kwa mtindo wa mawigi, weaving, rasta, dreds, n.k. nyingine zinazalishwa viwandani.
Ukitaka ugombane na mwanamke alievaa wigi basi mvue, yani ataonyesha kuzichukia nywele zake kwa kuziziba.
Nywele zinavyovutwa...
Tanzania ni nchi pekee iliyojaaliwa dini nyiingi saana isije ikafika kiongoz wa dini fulani ajipe milki ya amani ya nchii,wasubirini watu wenu na ongeeni na watu kama waumini wenu msitafte huruma wengine hawaamini kwa kile mnachokiamin!
Tafadhalini saana! Kama haki mtaipata mbinguni kwa baba...
Niliwahi kuishi upareni nikakuta ndani ya familia kuna wakristo na waislam wanaishi vizuri tu.
Nikaenda Zanzibar nikajiita Karim, nikapata wanawake wazuri sana, ila Walipogundua nina jina la kigalatiana walianza kunibagua japo kiuhalisia siendi msikitini wala kanisani
Jijini Dar es salaam...
Heshima kwenu Wana jamvi.
Naombeni mnisaidie tiba asili ya kizazi kilichoshushuka(kama tiba ya hospital pia ipo ya tofauti na operation nitajieni)
Kizazi kimeshuka kiasi kwamba kuigusa g-spot ni rahisi sana yani tofauti na ilivokua awali.
Maishani mwangu nimekuwa nikiwaua nyoka kwa namna rahisi sana. Sikuwahi kujua kwanini nyoka wakiniona huwa wanaduwaa, na kubako kunishangaa.
Hata nikienda mbali kutafuta kitu cha kuwapigia nawakuta wapo tu hapo hapo, nawapiga, nawaua kisha najiona bonge la mwamba.
Sasa nimepata enlightment...
Fosili mpya iliyogunduliwa ya Vasuki indicus huko India imeleta mwanga mpya kuhusu ukubwa halisi wa nyoka huyu wa kihistoria.
Inakadiriwa kuwa na urefu wa hadi futi 49 (sawa na mita 15), sampuli hii inapendekeza kwamba Vasuki huenda alikuwa mkubwa zaidi kuliko ilivyodhaniwa awali—akiizidi...
Wakuu,
Heri Ya Ufufuko Wa Roho, Mwili, Na Nafsi
Kutenda Haki kunaweza kuleta Amani au Kinyume chake kwa sababu hivi vitu viwili vinathibitisha nguvu ya kila kimoja.
1. Ukitenda haki unaweza kuleta amani au vurugu kutokana na aina au kiwango chakuridhika kwa upande kinzani
2. Ukidai uwepo wa...
Mikocheni asili yake ni miti ya mikoche. Mikocheni maana yake mahali penye mikoche. Mikoche yenyewe ni miti iliyo kama miwese/minazi. Miti hii inapatikana pwani ya Afrika Mashariki hadi huko South Afrika. Pia inazaa matunda yaliwaywo.
Matunda yake.
Masaki limetokana na neno la Kizaramo Saki...
Naibu Waziri wa Katiba na Sheria, Jumanne Sagini amesema pombe aina ya gongo, machozi ya simba, moshi au umeme, inaweza kutengenezwa ikiwa mtengenezaji ana leseni inayotolewa kwa mujibu wa kifungu cha 19 cha Sheria ya Kudhibiti Pombe za Asili.
Aidha, amesema mtu yeyote anayekusudia kutengeneza...
Habarini,
Hili linatakiwa lifanyiwe kazi kwa utambulisho wa vitu,watu na ,mitaa,miji,nk. yafaa yaondolewe kwani hayana nguvu yoyote mbele Mungu wa wote
Majina ni ALAMA kuu ya UTU na ASILI wa MTU.
Imekuwa ni kawaida kukutana na video na picha zikionesha maisha ya ndugu zetu Wahadzabe wakiwa wanawinda na kutafuta chakula, huku zingine zikituonesha upekee wa lugha yao ambayo ni moja ya utajiri mkubwa sana wa lugha zaidi ya 1000 zinazopatikana ndani ya bara letu la Afrika.
Lakini katika...
Huyu mwamba ni legend kabisa wa masuala ya ushauri, biashara fedha na uchawi.
Kwa upande wangu ndio role model wangu hapa JF
Ila kwasasa ndugu yetu amebadilika sana.
Haanzishi tena nyuzi za ukombozi wa vijana, uchawi na mambo ya nyota sikuhizi anahangaika na na nyuzi za ubunifu wa vifuu vya...
Makala: Dini za Kigeni, Utumwa wa Kifikra, na Uhalisia wa Dini za Asili Afrika
Mwandishi: Elly Maduhu Nkonya
Utangulizi
Historia ya Afrika haiwezi kueleweka kwa undani bila kutazama nafasi ya dini katika harakati za ukoloni, biashara ya utumwa, na mabadiliko ya kijamii. Katika karne ya 15...
Ni wazi waAFRIKA wamekuwa WAJINGA kiasi cha kurithi na kukumbatia SHERIA,DINI na KATIBA kutoka kwa wakoloni na wameshindwa kabisaa kujua vyote hivi vilikuwa kwa masilahi ya wakoloni?
Wamekumbatia kesi za wazungu ktk maamuzi,wamekumbatia majina ya wakoloni,wamekumbatia katiba walizoacha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.