asili

Asili is a village on the southwest coast of Tutuila Island, American Samoa. It is located between Leone and 'Amanave. It is located in Lealataua County.
Both the Malagateine Stream and Asili Stream flow through Asili before discharging into the sea. A former World War II bunker is located near the shoreline. Several species of Gobie fish, as well as Mountain bass and Freshwater eel, have been recorded in Asili Stream. The Asili Stream originates at 1,190 ft. above sea level. It discharges near the center of the embayment that fronts the village. The main branch of the Malagateine Stream starts around the 520 ft contour along the east side of the Malagatiga Ridge.

View More On Wikipedia.org
  1. H

    JamiiForums Tanzania Kwanini waliobatizwa na kusilimu wanaendelea kutumia majina ya asili??

    Habarini, Kila mara najiuliza inakuwaje Waafrikanwaliokana majina yao ya asili na kubatizwa au kusilim wakiamini wamezaliwa upya katika dini mpya waendelee kutumia majina ya asili? Hapa ndipo nawiwa kusema wafia dini wote ni WAJINGA na WAPUMBAVU wasiojua wanachokifanya kama vile kuruka mkojo na...
  2. The redemeer

    JamiiForums Tanzania Chimbuko na Asili ya kabila la wa Chagga

    Chimbuko na Asili ya kabila la wa Chagga inaonyesha kua walitokea Afrika kaskazini upande wa Mashariki mwa Afrika yaani pande za Ethiopia/Uhabeshi, asili yao kuu waliitwa wa salsha hilo ni neno la kiyahudi ikimaanisha wayahudi wa kale ambao walichanganyika na wakushi walioondolewa uyahudi...
  3. Nomadiq

    JamiiForums Tanzania Unadhani wivu ni sehemu ya asili ya upendo, au ni ishara ya kutokujiamini?

    Habarini wakuu. Share your thoughts...
  4. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania "Maria mkingiwa dhambi ya asili msimamizi wa nchi yetu" Ina maana gani kwenye hii barua ya TEC?

    Kuna hii barua ya TEC kuwataka wakatoliki kumuombea kiongozi wao mkuu Papa Francis... Wamenichanganya na maandishi yanayosema "Maria mkingiwa dhambi ya asili msimamizi wa nchi yetu". Kwa kuwa imetajwa nchi yetu ndo nimetaka kujua zaidi Maria ahusike kuilinda.
  5. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Watu maarufu duniani wenye asili ya Tanzania

    Nasikia director mpya wa FBI ana asili ya Tanzania. Ndugu yetu kabisa🙂. Ni watu gani wengine maarufu wana asili ya Tanzania. 1. Freddie Mercury. Alikuwa muimbaji wa bendi ya muziki ya Queen. Ukitaja waimbaji kumi wa muda wote duniani huwezi kumkosa. Alizaliwa Zanzibar mwaka 1946. Alikuwa upinde...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Orodha ya silaha za asili ( Za kibaiolojia na kemikali) kujilinda dhidi ya vibaka wa nyumbani

    1. Mafuta ya kula : Kaa ndani na mafuta yako Lita tatu. Kila siku usiku saa tano yachemshe hadi yatokote kisha hifadhi kwenye chupa ya chai. Ukiwa na chupa zaidi ya moja itakuwa vizuri zaidi. Usiku wakivunja wewe wamwagie na hayo mafuta ya moto usoni. Wanaweza kufa hapo hapo wote na watakao...
  7. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Picha:-Ni tunda /Chakula gani cha Asili ambacho unakipenda zaidi?.Nitakuambia baadhi ya faida ya matunda hayo

    Kwanza nikili kuwa Kila mtu ana Tunda/chakula chake anachokipenda au anatamani ale Kila siku. Ni vyema Kila mtu ataje ikiwezekana kwa picha Aina ya chakula/Tunda hilo Halafu tutakuambia Lina faida gani kwenye mwili wako. Kariba. Tunda hili ni staferi pamoja na Topetope. Faida zake Papai...
  8. Dogoli kinyamkela

    JamiiForums Tanzania Usikatae urithi wa asili kutoka kwa wahenga

    L Kila kitu kizuri nyuma yake kina ubaya Tunza hekima ya wahenga uliyorithishwa kusaidia watu nasio kuwaaumiza wengine Sheria ya uchawi inasema 👇👇 Fanya uwezavyo kwa kutumia uchawi ila usimdhuru mtu 🚶Tenda wema nenda zako 🚶 BRAZA CHOGO BICHWA KOMWE - Nikifa MkeWangu Asiolewe Tumwesige senior
  9. R

    JamiiForums Tanzania Haya mapenzi ya Trump kwa Israel afanyiwe DNA test yawezekana ni myahudi, Maelfu ya mabomu ya MK-84 yaliyozuiliwa na Biden yamewasili Israel

    Wiki ya kwanza tu baada ya kurejea Ikulu, Rais wa Marekani Donald Trump aliharakisha usafirishaji wa shehena ya mabomu 1,800 aina ya MK-84, kila moja likiwa na uzito wa tani moja, mabomu hayo yamewasili rasmi Israel siku ya Jumamosi, tarehe 15 Februari 2025 kwenye bandari ya Israel. Uamuzi...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Vijana wengi Watanzania asili ya Kiarabu na Wahindi wana Hela sana Dar, lakini hawatrendi na matukio kama wale wa Kitanzania na Afrika

    Hili jambo linanifikirisha sana. Sababu hasa ni nini. Kijana wa Kitz akipata hata Getto tu basi humo Mademu watajaaa. Atabadirisha mademu kila sikh, hapo geto lina Tv, Kitanda cha chuma na Godoro la Nchi 10. Na zile taa za rangi rangi. Ukilinganisha na Vijana wa Kitz asili ya Waeabu na...
  11. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Assets za asili za Mwanamke na Mwanaume. Hizi ukizijua zikikusaidia pakubwa

    ASSETS ZA ASILI ZA MWANAMKE NA MWANAUME. HIZI UKIZIJUA ZITAKUSAIDIA PAKUBWA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Assets ni rasilimali aliyonayo mtu au kampuni, taasisi au shirika, au taifa ambayo inaweza kutumika kuleta faida kiuchumi. Siku hizi Istilahi hiyo "Assets" hatimiliki tuu kiuchumi...
  12. U

    JamiiForums Tanzania Nauliza eti mshambuliaji hatari wa wa Simba anayeenda kwa jina la chasambi anaasili ya mkoa gani hapa Tanzania ?

    Wadau hamjamboni nyote? Siku njema
  13. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Asili inapochoka kuchokozwa

  14. OMOYOGWANE

    JamiiForums Tanzania Zijue Tiba asili kwa watu wenye tatizo la kukosa usingizi (insomnia)

    Hellow wakuu, Leo niliona uzi humu mdau mmoja akiomba msaada wa dawa asili za kuondoa tatizo la kukosa usingizi Anayejua dawa za asili kutibu tatizo la kukosa usingizi (insomnia) anisaidie nateseka Nimeona nianzishe uzi huu ili kila mtu aone na aelimike ikibidi asaidike, Kukosa usingizi sio...
  15. ERTUGRUL BEY

    JamiiForums Tanzania Binadamu Ana Hofu Mbili Za Asili, Hizi Ngingine Amefundishwa

    Binadamu kiasili ameumbwa na hofu mbili tu,yaani hofu hizi ndio asili yake Hofu ya kwanza ni kuanguka,hii ni hofu ya asili tangu tukiwa utotoni, ndio maana mtoto ambaye anaanza kusimama mara nyingi huwa na hofu ya kuanguka Hofu ya pili ni ya sauti, hizi hofu mbili hatukufundishwa bali tumekuwa...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Anayejua dawa za asili kutibu tatizo la kukosa usingizi (insomnia) anisaidie nateseka

    Habari watanzania wenzangu naombeni njia mbadala za kupona hii changamoto ninayoipitia ya kukosa usingizi
  17. mike2k

    JamiiForums Tanzania Asili ya Vita vya mashariki ya Congo.

    CHIMBUKO KUU LA VITA NA MAPIGANO NCHINI CONGO DRC. Ni muhimu sana kuelewa historia kujua kwanini hadi sasa kuna vita hizi na mapigano haya. Ndani ya nchi ya Congo DRC kuna makabila mengi ikiwa ni pamoja na kabila la 'Banyarwanda ' au Banyamulenge (Watu wa Mulenge) Mulenge ni eneo ndani ya Kivu...
  18. F

    JamiiForums Tanzania Trump anasema ajali ya ndege iliyotokea Washington ni kwasababu ya sera za kuruhusu watu wa asili ya mataifa kuruhusiwa kuongoza ndege USA.

    Trump amelaumu uongozi wa Obama na Biden kuruhusu watu kuja kufanya kazi ambazo zinahitaji ma-genious na hivyo kuruhusu hata watu wenye ulemavu wa akili kufanya kazi maalumu kwa ma-genious. Trump ameyasema hayo alipokuwa anazungumza na waandishi wa habari kuhusu ajali hiyo. Mambo yanaendelea...
  19. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Hizi pete ambazo baadhi ya watu huvika vidoleni huwa ni za asili na kazi gani? Karibuni tujuzane

  20. Braza Kede

    JamiiForums Tanzania Je wajua ukitongoza mtu kwa lugha asili ya kijijini kwenu ni ngumu sana huyo mtu kukukataa?

    We jiamini tu na hakikisha wote mnaweza kuelewana kwa hiyo lugha, kwisha habari. Trust me hapo lazima mtu ang'ang'ane nawewe. ===== Kwa hisani ya Braza Kede
Back
Top Bottom