asili

Asili is a village on the southwest coast of Tutuila Island, American Samoa. It is located between Leone and 'Amanave. It is located in Lealataua County.
Both the Malagateine Stream and Asili Stream flow through Asili before discharging into the sea. A former World War II bunker is located near the shoreline. Several species of Gobie fish, as well as Mountain bass and Freshwater eel, have been recorded in Asili Stream. The Asili Stream originates at 1,190 ft. above sea level. It discharges near the center of the embayment that fronts the village. The main branch of the Malagateine Stream starts around the 520 ft contour along the east side of the Malagatiga Ridge.

View More On Wikipedia.org
  1. Kasie

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Asili ya Maumbile na Kuridhishana Kimahaba

    Wakulungwa natumai hamjambo, Waliosema mjaa asili haachi asili hawakukosea.... Umri unaenda ila Mahaba ndo donda ndugu tena, tumegandana kama nyama na ngozi eehehehehehee, ngozi hiyohiyo unayoijua wewe ona mnavyotabasamu aahahahhahaaa tusidanganyane banaa Mahaba matamuuu 😋😋😋. Aliimba Ali...
  2. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Kama eneo lako ni asili ya mchanga una faida nyingi sana kwenye ujenzi

    Kama eneo lako ni asili ya mchanga una faida nyingi sana kwenye ujenzi
  3. N

    JamiiForums Tanzania Faida za Kutumia Majina ya Asili Kama Utambulisho wa Jamii Yetu

    Faida za Kutumia Majina ya Asili Kama Utambulisho wa Jamii Yetu Katika kipindi cha sasa ambapo utandawazi umeenea kwa kasi, jamii nyingi barani Afrika zimeanza kupendelea kutumia majina ya kigeni hasa ya Kiarabu na ya Kiingereza, huku zikiyapuuza majina yao ya asili. Wapo wanaoona kuwa kutumia...
  4. Organic Uncle

    JamiiForums Tanzania Mbinu za asili za kupambana na wadudu/visumbufu kwenye mimea. Kataa kemikali

    ZIFUATAZO NI MBINU ZA ASILII ZA KUPAMBANA NA WADUDU KWENYE MIMEA. 1.PILIPILI KALI Hii ni Moja ya dawa asili ambazo zimekuwa zikitumika na kuleta matokeo Mazuri sana. JINSI YA KUTENGENEZA ...gramu 55 za pili pili ..kata vipande vidogo chemsha kwenye maji kwa dakika 20 maji yawe lita 5...
  5. Dogoli kinyamkela

    JamiiForums Tanzania Chanzo na asili ya jamii ya illuminati Sehemu ya kwanza

    🕯️ CHANZO NA ASILI YA JAMII YA ILLUMINATI Sehemu ya kwanza (Na AMUN The Grand Master Of The Third Eye Enlighten Society) ⚖️ Mwanzo Rasmi – Bavarian Illuminati (1776) Ilianzishwa na: Adam Weishaupt, profesa wa sheria ya kanisa (canon law) katika chuo kikuu cha Ingolstadt, Ujerumani...
  6. Ricky Blair

    JamiiForums Tanzania Nchi za Afrika zinazotumia lugha zao asili za Kibantu kwenye elimu, serikali na jamii yote

    Hapa kuna muhtasari wa nchi za Afrika zinazotumia lugha zao za Kibantu kama lugha ya kufundishia na pia katika shughuli za kiserikali, kwa Kiswahili: 🇹🇿 Tanzania Lugha inayotumika: Kiswahili (lugha ya Kibantu) Elimu: Shule za msingi: Kiswahili ndicho kinatumika kama lugha kuu ya kufundishia...
  7. W

    JamiiForums Tanzania kumbe wasukuma wa vijijini huvaa sketi kuvutia wanawake ?

    Si Wasukuma wote huvaa vazi hili, lakini limezoeleka sana kwa wachungaji wa ng’ombe porini na vijijini.
  8. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Bulabo :Ni utamaduni wa Kisukuma unaounganisha Ukristo na tamaduni asili naona CCM wamegeuza kuwa uwanja wa siasa.

    GT Jamani jamani mambo ya asili yabaki kuwa ya asili miaka nenda rudi bulabo ni Tamasha lilioasisiwa na kanisa pamoja na kabila la wasukuma hapo Mwanza. Leo nimeshangaa mno kuona hali ilivyokuwa kugeuzwa Tamasha hili uwanja wa siasa ni aibu kwa kweli. Inawezekan hata na ubongo wa waafrika una...
  9. African Geek

    JamiiForums Tanzania Mtazamo wa biblia ya scofield kuhusu Israel ya sasa ukilinganishwa na biblia ya asili

    Biblia ya Scofield ni tafsiri ya King James Version (KJV) iliyoambatana na maelezo ya kina kutoka kwa Cyrus Ingerson Scofield, mchungaji wa Kimarekani aliyekuwa na ushawishi mkubwa katika karne ya 20. Biblia hii ilichapishwa kwa mara ya kwanza mwaka 1909 na ikawa ya msingi kwa Wakristo wengi wa...
  10. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Tanzania haisongi mbele sababu marais wetu wanne kati ya sita hawana asili ya Tanzania

    Ukiondoa marais wawili tu,sitawataja majina Wanne waliobaki hawana asili ya Tanzania. Ndio maana hawana uchungu na nchi yetu
  11. W

    JamiiForums Tanzania Hawa waafrika wenzetu wamekataa kabisa ku evolve ? Si kila mila ya asili ni ya kutunza, vingine ni ushamba

    Wanasema muacha asili ni mtumwa lakini kuna baadhi ya mambo lazima tukubaliane ni ya aibu ndio maana makabila mengi yaliacha. Mila kama hizi zina tija gani zaidi ya kutiana aibu wakuu ?
  12. AbuuMaryam

    JamiiForums Tanzania Ni asili ya Uislaam kutii mamlaka ila sio uchawa

    Uislaam unatufundisha waumini wake kutii mamlaka hata kama aliyepata mamlaka hayo hakustahili...au ameyapata mamlaka hayo isivyostahili...madhali amekuwa KIONGOZI...NA MAMLAKA YAPO MIKONONI MWAKE...NI WAJIBU WETU SISI WAISLAAM KUTII MAMLAKA HAYO. Hata kama kuna wakati utakuwa unaonewa...ila...
  13. Valencia_UPV

    JamiiForums Tanzania Maabara ya kutunza mbegu za asili (Seed bank) ipo wapi?

    Nahitaji kujua kama Tanganyika tuna Seed bank (kwa ajili ya kutunza mbegu za asili ya Tanzania) kwenye hii dunia iliyojaa GMO
  14. nipo online

    JamiiForums Tanzania Sheria ya asili ya kufanikiwa kimaisha utavuna ulichopanda

    UKIBISHA HAPA HUTOBOI mkuu 1. Kama uliumiza watu kuna siku utaumizwa, 2. Kama ulisaidia watu kuna siku utasaidiwa 3. Kama ulikdhurumu watoto kwa Mali za wazazi wao wakati ulikua msimamizi wa mirath ipo siku utarudi 0 kimaisha, 4. Kama kuna siku ulitengeneza connection kimaisha kwa watu ipo siku...
  15. H

    JamiiForums Tanzania Je kati ya Waafrika wanaofuata dini zao za asili na wanaofuata ukristu na uislam nani WAJINGA?

    Piga kura yako hapa ikiwezekana weka utetezi wako kwaajili ya kuunga mkono kura yako.
  16. W

    JamiiForums Tanzania Tiba asili tusizibeze sana, Mdudu aliekuwa ananisumbua kwenye kidole kaacha jeuri ndani ya masaa manne tu

    Siku ya juzi na janausiku nilisumbuliwa na maumivu makali ya mdudu ndani ya kidole cha pete. Huyu mdudu anakusubiri umalize mishe zako, vile umetulia au umelala yeye ndio anaanza kazi yake, ni tafrani. Nimehangaika hospitalini, daktari kaniandikia dawa ila hakuna nafuu Siku ya leo nikawa...
  17. The redemeer

    JamiiForums Tanzania Asili ya jina la Afrika utokana na jina. ALKEBU-LAN

    Hatupaswi kuendelea kuita bara letu AFRICA na kuanza kuita jina lake halisi la ALKEBU-LAN, kama jinsi ma babu zetu walivyo kua wakiliita hapo awali, ALKEBU-LAN lenye maana ya "ASILI YA UHAI DUNIANI" Jina la Africa halina maana yoyote wala hali akisi jambk lolote kutoka kwenye lugha zetu za...
  18. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Zumaridi yupo sahihi (Mwafrika hajaumbwa/ Mwafrika ni Mungu) Likud 7th theory of creation

    Bado naendelea kutafuta asili ya mwanadamu na kwanini yupo duniani. Nimesha taja nadharia Sita kuhusu kile ninacho ona huenda kikawa ndio chanzo cha Sisi kuwepo hapa duniani. Hii ni nadharia yangu namba saba. MWAFRIKA HAJAUMBWA. Ila? MWAFRIKA yuko pamoja na Mungu. Kama ambavyo Mungu hana...
  19. Q

    JamiiForums Tanzania Msaliti ni msaliti tu haachi asili, hata wanapoenda wakikosa walichoahidiwa watasalitiana tena

    Wametangaziwa donge la majimbo 30 na m. 200 kila jimbo. Mtiti ni pale watakapoanza kutoana macho kugombea majimbo na mbaya zaidi watakapokosa ubunge na pesa walizoahidiwa ndipo tutakapomjua steringi ni nani. Njaa mbaya sana huwa haifichiki hasa inapokimbilia kichwani, tutaona kila rangi yetu macho.
  20. I

    JamiiForums Tanzania Shambulizi la Diapaga na Asili ya Jama’a Nusrat ul-Islam wal-Muslimin (JNIM)

    Shambulizi la Diapaga na Asili ya Jama’a Nusrat ul-Islam wal-Muslimin (JNIM) Na GOODLUCK MALEKOJ UTANGULIZI Tarehe 13 Mei 2025, mji wa Diapaga ulioko Mashariki mwa Burkina Faso ulivamiwa tena na kundi la kijihadi linalojulikana kama Jama’a Nusrat ul-Islam wal-Muslimin (JNIM). Shambulizi hili...
Back
Top Bottom