Maabara ya kutunza mbegu za asili (Seed bank) ipo wapi?

Valencia_UPV

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2016
Posts
7,682
Reaction score
9,564
Nahitaji kujua kama Tanganyika tuna Seed bank (kwa ajili ya kutunza mbegu za asili ya Tanzania) kwenye hii dunia iliyojaa GMO
 
Antantica ndiko mbegu zote zinawekwa
 
Watu wa SUA waje watuambie maana kuna mwaka nilifanikiwa kuhudhuria maonyesho ya nane nane dodoma walikuwa hadi na machine ya kuhufadhia mbegu za wanyama.

Ukitaka hata mbegu ya nyati wanayo ila kwa swali lako sina hakika.
Vitu serious hatuvipi kipaumbele
 
Watu wa SUA waje watuambie maana kuna mwaka nilifanikiwa kuhudhuria maonyesho ya nane nane dodoma walikuwa hadi na machine ya kuhufadhia mbegu za wanyama.

Ukitaka hata mbegu ya nyati wanayo ila kwa swali lako sina hakika.
Tanzania Official Seed Certification Institution & Agriculture Seeds Agency pale morogoro nadhani wanazo.
 
Fika world vegetable center watakupa mwongozo
. location Arusha
Screenshot_20250601_202224_Edge.jpg
 
Nahitaji kujua kama Tanganyika tuna Seed bank (kwa ajili ya kutunza mbegu za asili ya Tanzania) kwenye hii dunia iliyojaa GMO
World Vegetable Centre , Arusha
Nahitaji kujua kama Tanganyika tuna Seed bank (kwa ajili ya kutunza mbegu za asili ya Tanzania) kwenye hii dunia iliyojaa GMO
Seed bank ipo World Vegetable Centre , Arusha .Ila ni mbegu za mboga mboga tu. Nimefika Pale February mwaka huu nimekuta wana Gene bank kubwa ambayo unaweza ku request ukalipia pesa ndogo wakakubatia.
Breeders wa seed Companies kama Rijk Zwan na wengine wote wanatoa pale mbegu mama za mazao ya Mboga mboga .
 
Back
Top Bottom