asili

Asili is a village on the southwest coast of Tutuila Island, American Samoa. It is located between Leone and 'Amanave. It is located in Lealataua County.
Both the Malagateine Stream and Asili Stream flow through Asili before discharging into the sea. A former World War II bunker is located near the shoreline. Several species of Gobie fish, as well as Mountain bass and Freshwater eel, have been recorded in Asili Stream. The Asili Stream originates at 1,190 ft. above sea level. It discharges near the center of the embayment that fronts the village. The main branch of the Malagateine Stream starts around the 520 ft contour along the east side of the Malagatiga Ridge.

View More On Wikipedia.org
  1. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Video: Maelezo ya kina ya Daktari wa Tiba za asili juu ya Chanjo ya Corona. Je, kuna ukweli wowote?

    Huyu ni daktari mwenye uzoefu wa zaidi ya miaka 50 katika nyanja ya tiba za asili, na haya ni mawazo yake juu ya chanjo ya Corona. Kwakuwa kila mtu ana uhuru wa maoni, basi naomba tumsikiliza ana nini cha kutueleza. Video ipo chini
  2. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Wasanii Wa Ngoma Za Asili Watakiwa Kujisajili Kupata Fedha Za Mfuko Wa Sanaa

    Serikali imesema kuwa wasanii wa ngoma za asili wanatakiwa kujisajili kwa maafisa Utamaduni wa Wilaya ili waweze kupata fedha za Mfuko wa Utamaduni na Sanaa ambapo kwa mwaka wa fedha 2021/2022 mfuko huo umetengewa bilioni 1.5. Kauli hiyo imesemwa Julai 24, 2021 na Mkurugenzi Msaidizi...
  3. J

    JamiiForums Tanzania SoC01 Fahari ya majina yetu ya asili Tanzania imekwenda wapi?

    Hivi sasa watanzania tulio wengi majina yetu hayana asili yoyote ya Tanzania, sana sana tumebakisha majina ya mwisho kuwa ya asili na yale ya mwanzo kuwa ya Kizungu ama Kiarabu. Mfano mzuri ni mimi hebu tizama jina langu hapo juu. Natambua fika kuwa majina haya tulio wengi tumepewa na wazazi...
  4. A

    JamiiForums Tanzania Aboriginals ndiyo wenye asili ya Australia

    Kule Afrika ya Kusini wasingepigana na kuwashinda Wazungu sasa hivi wangekuwa wameiteka kama walivyoiteka Australia.
  5. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda: Yahibitisha dawa ya asili kutibu COVID19

    Mamlaka ya Dawa ya Uganda(NDA) imethibitisha matumizi ya COVIDEX kama dawa ya asili ya kupambana na maambukizi a #COVID19 Mkurugenzi Mtendaji wa NDA amesema dawa hiyo sio tiba ya COVID-19 bali inaweza kutumika na madaktari katika kuwatibu wagonjwa wa Corona Wananchi wametakiwa kutoa taarifa ya...
  6. Kigoma Region Tanzania

    JamiiForums Tanzania Ugali wa Rowe unafaa sana kutumiwa na wanajeshi vitani, Chakula asili cha Wamanyema na Waha hapa kwetu Kigoma

    Huu ni ugali usioharibika hata ukikaa mwezi mmoja, Ugali huu unaitwa Rowe hapa kwetu Kigoma. Unatengenezwa kutokana na muhogo, Masharti yake usihifadhiwe kwenye jokofu ama sahani. Unaandaliwa kwa siku 4 mpaka 7. Ugali wa Rowe baada ya kusongwa unahifadhiwa kwenye majani maalum ya mgomba...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa mwenye kujua asili ya Jina Rambau

    Wakuu naomba kuuliza kwa mwenye ufahamu wa asili ya jina Rambau. Watu wenye majina Rambau wanatoka mkoa gani hapa Tanzania na ni kabila gani ? Shukrani.
  8. Ngolewise

    JamiiForums Tanzania Vinatafutwa viti vya asili

    Kama ilinyo elezwa apo juu vinatafutwa viti vya asili ka. A hii picha inavyoonekana. Location viwe kanda ya ziwa bei iwekwe hapa mimi ni mgeni wa huu mtandao, staweza kuja inbox 👸😌🙏🙏
  9. beth

    JamiiForums Tanzania WHO: Hatuna mamlaka ya kuilazimisha China kutoa taarifa zaidi kuhusu asili ya janga la Corona

    Afisa wa Juu wa Shirika la Afya Duniani amesema WHO haina mamlaka ya kuilazimisha China kutoa taarifa zaidi kuhusu asili ya mlipuko wa Virusi vya Corona Hivi karibuni Nadharia ya kuvuja kutokea Maabara iliyopo Wuhan kwa bahati mbaya imekuwa na mjadala mpya baada ya Wanasayansi kadhaa kutaka...
  10. Ferruccio Lamborghini

    JamiiForums Tanzania Wasanii ambao mziki ulisababisha wapoteze majina yao ya asili

    Imekuwa ni kawaida kwa kampuni, taasisi na mashirika makubwa duniani kote kubadili majina kutokana na sababu za kibiashara, kubadilishwa kwa lengo la uanzishwaji wake au kuuzwa kwa mmiliki mwingine. Hilo pia hujitokeza kwa wasanii wa muziki, filamu na mitindo kwa lengo la kuimarisha chapa zao...
  11. CHIEF MGALULA

    JamiiForums Tanzania Fursa ya ufugaji wa ng'ombe wa asili kwa ajili ya nyama na maziwa kwa maeneo yaliyokaribu na soko

    Wajasilimali wenzangu msije mkasema sijawaambia,iko hivi kama una shamba karibu na Dar,maana ya Mkuranga, Bagamoyo nk fikiria mradi huu unalipa.Nimeiba idea hii kwa jirani yangu kupitia meneja wake nikaone ni FURSA muhimu. Iko hivi kwa mfano: Kama una eneo lako hata kama ni ekari moja tu ya...
  12. beth

    JamiiForums Tanzania Marekani yataka uchunguzi wa asili ya Virusi vya Corona kuwa wazi

    Marekani imelitaka Shirika la Afya Duniani (WHO) kuhakikisha awamu inayofuata katika Uchunguzi wa asili ya Virusi vya Corona inazingatia uwazi. Imesema awamu ya pili ya Utafiti huo lazima uzinduliwe ukizingatia uwazi, misingi ya kisayansi na vilevile uwape Wataalamu wa Kimataifa Uhuru wa...
  13. Ben Zen Tarot

    JamiiForums Tanzania Asili ya watoto katika familia

    Inawezekana hujawahi kusoma popote maelezo mfano wa haya niloyaandika leo ila utaamini baada ya kunielewa na ukafanya utafiti. Katika maisha ya mke na mume, au hata kama hamjaona ila mnaishi pamoja kama wanavyoishi mke na mume basi maisha hayo yataathiliwa pakubwa na aina ya mtoto mtakaeanza...
  14. J

    JamiiForums Tanzania CCM yatangaza kuachana na siasa za kibabe na kurudi kwenye siasa zake za asili za Upendo na Urafiki mwema!

    Katibu mkuu wa CCM ndugu Chongollo amesema CCM haitajiingiza katika siasa za kibabe na visasi bali itajikita kwenye siasa zake za asili zilizosheheni Upendo na Urafiki. Huu ni mwanzo mzuri sana kwa sekretarieti mpya ya CCM na vyama makini vya upinzani ikiwemo ACT wazalendo wamepongeza. Kazi...
  15. Dr Luu

    JamiiForums Tanzania Ni hatua gani zakuchukua kabla yakufungua clinic ya tiba asili

    Amani ya Mungu iwenanyi wapendwa, Nimewiwa kuandika makala hii nikitaka kujua taratibu na hatua/taratibu za kufuata kiserikali. ili niweze kuwa na kliniki ya kutoa matibau ya mitishamba au store ya dawa za tiba asili. Asanteni wapendwa.
  16. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Uzuri wa asili

  17. B

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Wapenzi wa bidhaa za asili

    Tunauza bidhaa nzuri zilizotengenezwa kwa mti wa muanzi yaani bamboo tree, bidhaa ni nzuri, zipo kwenye kiwango cha ubora wa juu na salama kwa matumizi. JE, FAIDA YAKE AMA UPEKEE NI UPI? Kwanza vyaweza kutumika kama mapambo ya ndani yaani interior decor ama matumizi halisi, mfano kikombe...
  18. Ethan Cruz

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kutengenza dawa ya nguvu za kiume (Viagra) ya asili

    Chakula tunachukula kina uhusiano mkubwa na hali zetu za kupenda au kutopenda kufanya mapenzi. Kiujumla chakula chenye virutubisho vya kuusaidia moyo na mishipa ya damu kufanya kazi zao vizuri vitakuweka kwenye hali ya kuwa na matamanio ya kufanya tendo la ndoa. Ukweli huu unahusisha pia chakula...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Miaka 150 mpaka 200 ijayo, lugha zetu za asili nyingi zitakuwa zimetoweka

    Ukichunguza kwa makini utagundua moja ya athari ya watu kuhamia mijini kutoka vijijini ni vijana wengi kuzaliwa na kukulia mijini kias kwamba wengi hawapati fursa ya kujifunza lugha zao za asili kama ilivyo kwa wale wanaozaliwa vijijini waliko wazee. Wazazi wengi huku mijini wanaacha ule...
  20. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Mjue Kissendi Nyanda Ntalima Mpandagoya Mkushi, Muongoza harakati za Waafrika kujitambulisha wao na asili yao

    Jina Kissendi Nyanda Ntalima Mpandagoya au Mkushi sio jina maarufu kama walivyo wanasiasa, wanamichezo na wasanii. Kissendi Nyanda Ntalima Mpandagoya a.k.a Mkushi, yeye ndio muasisi wa makundi zogozi yanayojulikana kwa jina la Waafrika Tujitambue, ambapo amekuwa akifundisha mambo mbalimbali juu...
Back
Top Bottom