Anita Kajembe
JF-Expert Member
- Jun 29, 2021
- 215
- 487
Kule Afrika ya Kusini wasingepigana na kuwashinda Wazungu sasa hivi wangekuwa wameiteka kama walivyoiteka Australia.
Unadhani wazungu wa huko Australia walifanikiwa vipi kuepuka yale ya harakati mfano wa s. Afrika?View attachment 1845792
Kule Afrika ya Kusini wasingepigana na kuwashinda Wazungu sasa hivi wangekuwa wameiteka kama walivyoiteka Australia.
ndio umejua leo baada ya ku google?.View attachment 1845792