Madiwani wengine wawili wa CHADEMA jiji la Arusha watimkia CCM

Mimi kila nikisikia kiongozi yoyote wa upinzani amehamia CCM, nasisitiza wasibezwe, wameona mbali.
P
 
tindo, Nashangaa sana CCM isivyo tumia hata chembe ya akili!
Unashangilia kumrubuni mbunge mmoja akiache chama chake ajiunge na chako kwa mbwembwe, lakini wakati huo huo unapoteza imani ya wanachama 1000 wapigakura na wanakuacha kimya kimya!
Sasa Polepole furaha yake in kuona vichwa vya magazeti vya kumfurahisha kumbe chama kwa ndani kinaoza.
Chadema ni imara sana kwa sasa, hata Waziri mkuu mstaafu wanaweza kumnyima kura tena za ndio/hapana?
 
Mimi kila nikisikia kiongozi yoyote wa upinzani amehamia CCM, nasisitiza wasibezwe, wameona mbali.
P
Kuna upotevu wa shs 2.4 trl serikalini zitakuwa zinanunua watu
 
Mngekuwa mnawanunua na waliowapigia kura ningewaona mna akili sana, lakini mnanunua waliopigiwa kura wakati mnajua wenye maamuzi ya mwisho ni wananchi!, na huko Arusha nyie nunueni tu, si hamna kumbukukumbu kilichowapata mwaka ule mlionunua halafu kwenye uchaguzi mdogo hamkuamini kilichowapata, na safari hii hamtaamini tena.

Chama kinachojiita kikongwe barani Afrika kutwa kununua wapinzani wao, ajabu sana!, na msijitetee hamuwanunui, kwanini muwarudishe kugombea nafasi zao kwani ccm hamna watu wakugombea hizo nafasi?!
 
Mimi kila nikisikia kiongozi yoyote wa upinzani amehamia CCM, nasisitiza wasibezwe, wameona mbali.
P
Wanahama viongozi tuu lkn idadi ya wapiga kura inapungua.
 
Mimi kila nikisikia kiongozi yoyote wa upinzani amehamia CCM, nasisitiza wasibezwe, wameona mbali.
P
Nawa CCM akienda upinzani huyo ndio abezwe?
 
Huko cdm wanahama viongozi tu, wananchi wala hawako nao, ndio maana idadi ya kujiandikisha kupiga kura ilikuwa ndogo ajabu.
Na si ajabu hujui kuwa hao viongozi ni sehemu ya hao wananchi. Hujui pia kuwa mwananchi wa kawaida anakuwa hajui mengi ya Chadema. Anapokuwa kiongozi ndio anaujua ukweli na uzandiki wa Chadema. Hapo ndio anabwaga manyanga. Hata wewe Tindo ukiwa kiongozi wa Chadema utakimbia tu, labda kama wewe ni MBOWE in pseudo name!!!
 
Back
Top Bottom