Inatarajiwa madiwani kumi na wawili wa Chadema Arusha mjini watajiunga na CCM kuanzia kesho

Cyangungu

Member
Nov 7, 2019
45
54
Acha wale watano waliounga juhudi leo kuna namba kubwa zaidi tena ikitarajiwa kuamua kwa pamoja kurejea CCM muda wowote kuanzia kesho.

Duru zinatabanaisha maombi ya madiwani hao yapo mezani yakifanyikiwa kazi na Ofisi ya CCM Mkoa wa Arusha na hata wangeruhusiwa leo kufanya hivyo wangefanya.

Inatarajisha sana!
 
Kumbe wanarejea kwao

Basi niwatakie kilalakheri huku pagumu wanafikili kuna vilaza huku
Acha wale watano waliounga juhudi leo kuna namba kubwa zaidi tena ikitarajiwa kuamua kwa pamoja kurejea CCM mda wowote kuanzia kesho.

Duru zinatabanaisha maombi ya madiwani hao yapo mezani yakifanyikiwa kazi na Ofisi ya CCM Mkoa wa Arusha na hata wangeruhusiwa leo kufanya hivyo wangefanya.

Inatarajisha sana!

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom