Nauli ya kutoka Loliondo kwenda Arusha imebadilika bila kutangazwa na SUMATRA

Rutaya

Member
Joined
Sep 14, 2017
Messages
5
Points
45

Rutaya

Member
Joined Sep 14, 2017
5 45
Tangia mwezi Desemba nauli ya kutoka Loliondo kwenda Arusha ilipanda kutoka 20,000 hadi 25,000.

Mabadiliko haya hayakutangazwa na SUMATRA. Miaka miwili iliyopita nauli ya kutoka Loliondo mto wa mbu kwa bus ilikuwa 17,500 ikaja kubadilika kimya kimya ikawa 20,000 na sasa ni 25,000.

Naomba anayejua utaratibu wa kupandisha nauli upoje anieleze. Pale wenye mabasi wanapojipandishia nauli kiholela nani anawadhibiti?
 

Forum statistics

Threads 1,389,830
Members 528,038
Posts 34,035,501
Top