Naomba kuja Website ya Mount Meru University Arusha

Utingo

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
10,270
8,033
Jamani napenda kuuliza kama Mount Meru University ina valid and reliable website? Maana inakuwa online siku tatu kisha mwezi mzima offline. Na hiki huo ubora wa elimu kina ubora gani ikiwa hata website hawawezi kuimaintain?
 
Back
Top Bottom