Safiri na mimi Arusha to Dar 8th Jan,2020

Jan 6, 2020
36
138
Nitakua safarini kutoka Arusha kwenda Dar Es Salaam kesho jumatano tarehe 8/1/2020 mwenyewe kwa usafiri/gari binafsi. Nahitaji kampani ya kusafiri nayo (kampani utachangia mchango wa mafuta) katika safari hiyo. Kampani ikijua kuendesha au kuwa na uzoefu wa kusafiri mara kwa mara itapendeza zaidi.
 
Nitakua safarini kutoka Arusha kwenda Dar Es Salaam kesho jumatano tarehe 8/1/2020 mwenyewe kwa usafiri/gari binafsi. Nahitaji kampani ya kusafiri nayo (kampani utachangia mchango wa mafuta) katika safari hiyo. Kampani ikijua kuendesha au kuwa na uzoefu wa kusafiri mara kwa mara itapendeza zaidi. Nipigie kwenye 0747187079
Naona mnakusanya nauli bila kusajili.biashara sasa
 
Nitakua safarini kutoka Arusha kwenda Dar Es Salaam kesho jumatano tarehe 8/1/2020 mwenyewe kwa usafiri/gari binafsi. Nahitaji kampani ya kusafiri nayo (kampani utachangia mchango wa mafuta) katika safari hiyo. Kampani ikijua kuendesha au kuwa na uzoefu wa kusafiri mara kwa mara itapendeza zaidi. Nipigie kwenye 0747187079
jihadharini kabla ya hatari
 
Nahitaji lifti ila ningependa kufahamu tairi za gari lako ni za aina gani(Kampuni gani) na zimetengenezwa mwaka gani.
 
Back
Top Bottom