NSSF tawi la Arusha jiongezeni

Dublin

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2013
Messages
1,073
Points
1,500

Dublin

JF-Expert Member
Joined Oct 29, 2013
1,073 1,500
Hii ofisi kwanza haina mpangilio, wafanyakazi ni wazi hawapo organised au hawana experience au huenda hata hawajui daily to do list ya ofisi!

Utoaji wa elimu niwe tu mkweli wale watoto mmejaza pale bado sana hawana uelewa huo wapigeni msasa, wapeni semina angalau.

Ofisi haina hadhi yaani ukiingia utadhani ni kituo cha basi hivi watu wanagombania tickets. Wekeni utaratibu mzuri wa kuhudumia wateja kaigeni basi hata mahospitalini jinsi doctor anavyoita mmoja baada ya mwingine yaani hakuna privacy’s kila mtu anachungulia Tehama zenu.

Vaeni smart vijana. Ikibidi mpigwe uniforms basi. OFISI IWE SAFI ANGALAU jengo zuri mnaliharibia taswira. Siwasingizii pokeeni huu ukweli mchungu mbadilike muwe na hadhi!
 

Forum statistics

Threads 1,389,663
Members 527,997
Posts 34,031,414
Top