Uchaguzi 2020 Mtoto wa Askofu Mkuu wa Kanisa la Baptisti Tanzania, Ezra Arnold Mollel achukua fomu ya kutia nia Ubunge Jimbo la Arusha Mjini

Chachu Ombara

JF-Expert Member
Dec 11, 2012
5,897
10,358
Mong'oo wa Arusha ambaye ni mtoto wa Askofu Mkuu wa kanisa la Baptisti Tanzania, Arnold Manase amechukua fomu ya kuweka nia kuwania Ubunge Jimbo la Arusha mjini kwa tiketi ya CCM.

Ezra.JPG
Mollel.JPG
 
Msando akisindikizwa na mchuchu wake Gigy Money kaingia mitini? mbona simuoni akichukua form?
 
Back
Top Bottom