Arusha na Mwanza watu wana hela ila hakuna tajiri

aka2030

JF-Expert Member
Jan 5, 2013
2,630
3,578
Japo na kujitapa sana hii mikoa watu wanahela ila matajiri hamna
Uhakika ukisema orodha ya matajiri kuanzia namba 1 mpaka 50 wote watatoka DSM
 
Nitajie tajiri hata mmoja tu kati ya hao top50 ambaye ni mwenyeji wa Dar yaani kazaliwa hapo kapatia hela hapo.
 
Kujadili maisha ya mtu wakati Shanghai wala kukusaidia moja kwa moja naona ni ulimbukeni
 
Kujadili maisha ya mtu wakati Shanghai wala kukusaidia moja kwa moja naona ni ulimbukeni
Mkuu sio ulimbukeni huo, NI UPUMBAVU KABISA.

Muulize mleta mada, Kati ya hao matajiri kuna ndugu yake Hata mmoja??
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom