Mpalakugenda
JF-Expert Member
- Jun 2, 2015
- 4,649
- 5,083
Mpaka sasa mamlaka ya maji “AUWSA” hawajatoa tamko lolote lile hali inayopelekea wakazi wa jijini hapo kubaki na sintofahamu.
1. Maji yamekuwa na mgao kama ambavyo imekuwa kwenye umeme. Bila shaka hawana jenereta. Utegemezi kwa Tanesco.
2. Hata pale maji yanapotoka yamekuwa na chumvi isivyo kawaida. Inasemekana ni mradi mpya wameunga na maji ya mirerani.
Kwa sasa maji hayo yanaitwa ni ya wachina. Wananchi wanabaki kujiuliza shida ni nini hadi waanze kupata maji yenye chumvi wakati mradi wa maji ni wa gharama kubwa.
Hofu isije kuwa ni ufisadi kwa kuamua kupita njia ya mkato.
Rai yangu kwa mamlaka watoke watoe taarifa rasmi kwa wakazi, wasiache viringe vitengeneze taarifa.
Kuelezena nini kinafanyika, mabadriko gani yatatokea ni jambo zuri. Wanaanchi weweze kujiandaa.
Ijumaa njema.