ARUSHA, nakupenda sana, najivunia kuzaliwa Arusha

APPROXIMATELY

JF-Expert Member
Aug 10, 2021
722
838
Hakuna sehemu kama Arusha, hali ya hewa safi, wakazi wa arusha wakarimu sana, pesa inapatikana ukijituma utapata,watu wa arusha wajanja, wazungu kwetu washikaji zetu.

Natanguliza shukrani kwa mwenyezi Mungu,mwingi wa rehema mwenye kutukuka,uliyekuwepo toka mwanzo na utakuwepo mpka milele.

Nimezaliwa arusha enzi zile na nikakulia arusha,nikasoma sanawari primary school,sec nikasoma Edmunds rice sinon school,chuo nikasoma mwika college of tourism,pia nimesoma sakina institute of information technology, kwa kipindi chote hicho nilichilokulia Arusha naweza nikasema hakuna sehemu panzuri kama arusha,na feel proud kuzaliwa A.town(Geneva of East africa), maisha ya arusha sio magumu kama watu wanavyosema,kama unauhakika wakupata doo kila siku utahama arusha,watu wa kule wapiga business kweli kama utajichanganya vyema utakosa doo, ukitaka kufanikiwa arusha fanya biashara hiii.

Tafuta viatu vya mtumba mkali, jeans kali makoti makali,shati dog dog og kabisa,makobasi ya maana fungua goli lako maeneo kama sanawari, ilboru, mianzi, sakina, kijenge, sekei na maeneo yaliochangamka.

Watu wa arusha wanapenda kuvaa vinzuri,kama unajua ngeli jichanganye kwenye utalii utajuta hata siku moja.

images (7).jpeg


images (6).jpeg


download.jpeg


images (5).jpeg


ilboru-safari-lodge (1).jpg
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

27 Reactions
Reply
Top Bottom