Huduma ya Train Dar - Arusha ni fedhea

Upekuzi101

Senior Member
Aug 28, 2020
134
348
Habari wana Jf
Kuna changamoto kadhaa kwenye tren zetu za Dar to Arusha/ Arusha to Dar la kuhusu huduma kwa ujumla hususani kwa watalii ambao wanatumia huu usafiri ni la kulifanyia kazi haswa ukizingatia
Kwa sasa wazungu /watalii wengi wanapanda hizi tren kama sehemu ya utalii au budget Transportation ila kuna vitu kama:

1 Lugha inayotumiwa ni Kiswahili peke yake kwa matangazo yote ya muhimu ila kwa ndugu zetu hawajui nini kinaendelea hii inapelekea watalii kuona hii huduma siyo kwajili yao kwakua hakuna system iliyowekwa kuhakikisha matangazo yote na taarifa zote zinazotelewa ndani ya usafiri huu zinamfikia kila mteja aliyepo ndani ya usafiri.

2 Muda.
Cha kushangaza zaidi hakuna kujali muda hata kidogo mfano tren inatakiwa kuondoka saa nane na wasafiri wote wapo hapo ila muda tren itaondoka ni tofauti na uliopangwa. Tangazo linatangazwa kwa Kiswahili kuwa moshi tunakaa saa moja na wasafiri wanakalishwa masaa mawili bila tangazo lolote linalosema muda umebadilika. Hii ni disappointment sana kwa service oriented industry kama transportation and tourism.

3.Restaurant/ Bar.

Mpangilio wa utoaji wa vinywaji na Chakula mbovu na haufamiki ni wa nchi gani. Ni bora kukawa na buffet mbili kulingana na class za tickets. Huwezi changanya buffet VIP na ya kawaida sehemu moja lazima kuwe na mpangilio wa kihuduma, wahudumu wengi wao wa bar na chakula hawajui hata namna ya kuwahudumia hawa ndugu zetu, poor communication skills, poor service, poor personal hygiene. Ni vitu vidogo vinavyoonekana kama havina umuhimu ila kimsingi vina umuhimu mkubwa kwakua wageni huwa wanalinganisha huduma wanazopata sehemu zingine na mwisho huwa wanatoa maoni yao kwenye platform kubwa za usafiri duniani kama TripAdvisor na Nina wasiwasi mkubwa kama hii train zetu zipo listed kwenye TripAdvisor.

4. Usafi.
Mazingira ya stations zetu sio rafiki hata kidogo ni chafu sana na viongozi wakuu wa shirika wapo hapohapo uchafu unatupwa hovyo na wahudumu wa treni wenyewe madirishani safari nzima na watalii wetu wanashika vichwa na kupiga picha. Sasa hii ni tunabomoa kabisa wala si kujenga kwakua Serikali haiwezi kutoa mabillioni ya pesa kutengeneza reli alafu ishindwe kusimamia usafi, this is a disgrace. Kesho mkiweza nendeni hapo Arusha ofisin kabisa mtaona uchafu wa wazi kabisa

Kuna mambo mengi ya kuangalia kwa kina kama tunataka kweli kuitangaza nchi yetu mana kuna vitu vingine havipaswi kuandikwa humu ila ningeomba viongozi wetu wa Utalii nao siku moja wapabynde huu usafiri wa treni ili waweze kupata point za kuzifikisha sehemu husika kwani watalii wanaopanda hii tren ni wengi na kama wataendelea kukutana na hali kama hii ni wazi hawawezi kuwashauri wageni wenzao kutumia huduma za reli za Tanzania.
 
Kwa nini useme huduma iboreshwe hususani kwa Watalii na siyo kwa ajili yetu sisi wenyewe? Kama huduma ni mbaya inapaswa kuboreshwa kwa ajili yetu sisi Watanzania na siyo foreigners? Anza kwa kujithamini na kujipenda kwanza halafu mengine yote yatafwatia!
 
- Hii treni ilifufuliwa kibishi na JPM.
  • Maboresho ni muhimu, Ila sioni kama ni kipaumbele cha shirika.
  • Wenye mabasi wanatamani ife haraka sana, na vifaa viuzwe vyuma chakavu. Ni vita ya kiuchumi ndani kwandani.
  • Uchafu na mswahili ni jamaa wanaopatana
Naongwmezea: kuingiza vumbi, yaani ukifika lazima uingie bafuni ubadili nguo, la sivyo hata vichaa wanaweza kukimbia.
 
Habari wana Jf
Kuna changamoto kadhaa kwenye tren zetu za Dar to Arusha/ Arusha to Dar la kuhusu huduma kwa ujumla hususani kwa watalii ambao wanatumia huu usafiri ni la kulifanyia kazi haswa ukizingatia
Kwa sasa wazungu /watalii wengi wanapanda hizi tren kama sehemu ya utalii au budget Transportation ila kuna vitu kama:

1 Lugha inayotumiwa ni Kiswahili peke yake kwa matangazo yote ya muhimu ila kwa ndugu zetu hawajui nini kinaendelea hii inapelekea watalii kuona hii huduma siyo kwajili yao kwakua hakuna system iliyowekwa kuhakikisha matangazo yote na taarifa zote zinazotelewa ndani ya usafiri huu zinamfikia kila mteja aliyepo ndani ya usafiri.

2 Muda.
Cha kushangaza zaidi hakuna kujali muda hata kidogo mfano tren inatakiwa kuondoka saa nane na wasafiri wote wapo hapo ila muda tren itaondoka ni tofauti na uliopangwa. Tangazo linatangazwa kwa Kiswahili kuwa moshi tunakaa saa moja na wasafiri wanakalishwa masaa mawili bila tangazo lolote linalosema muda umebadilika. Hii ni disappointment sana kwa service oriented industry kama transportation and tourism.

3.Restaurant/ Bar.

Mpangilio wa utoaji wa vinywaji na Chakula mbovu na haufamiki ni wa nchi gani. Ni bora kukawa na buffet mbili kulingana na class za tickets. Huwezi changanya buffet VIP na ya kawaida sehemu moja lazima kuwe na mpangilio wa kihuduma, wahudumu wengi wao wa bar na chakula hawajui hata namna ya kuwahudumia hawa ndugu zetu, poor communication skills, poor service, poor personal hygiene. Ni vitu vidogo vinavyoonekana kama havina umuhimu ila kimsingi vina umuhimu mkubwa kwakua wageni huwa wanalinganisha huduma wanazopata sehemu zingine na mwisho huwa wanatoa maoni yao kwenye platform kubwa za usafiri duniani kama TripAdvisor na Nina wasiwasi mkubwa kama hii train zetu zipo listed kwenye TripAdvisor.

4. Usafi.
Mazingira ya stations zetu sio rafiki hata kidogo ni chafu sana na viongozi wakuu wa shirika wapo hapohapo uchafu unatupwa hovyo na wahudumu wa treni wenyewe madirishani safari nzima na watalii wetu wanashika vichwa na kupiga picha. Sasa hii ni tunabomoa kabisa wala si kujenga kwakua Serikali haiwezi kutoa mabillioni ya pesa kutengeneza reli alafu ishindwe kusimamia usafi, this is a disgrace. Kesho mkiweza nendeni hapo Arusha ofisin kabisa mtaona uchafu wa wazi kabisa

Kuna mambo mengi ya kuangalia kwa kina kama tunataka kweli kuitangaza nchi yetu mana kuna vitu vingine havipaswi kuandikwa humu ila ningeomba viongozi wetu wa Utalii nao siku moja wapabynde huu usafiri wa treni ili waweze kupata point za kuzifikisha sehemu husika kwani watalii wanaopanda hii tren ni wengi na kama wataendelea kukutana na hali kama hii ni wazi hawawezi kuwashauri wageni wenzao kutumia huduma za reli za Tanzania.
Huduma zinaakisi waTz tulivyo! Hivi tumewahi kuwa serious kwenye nini ukiacha ngono?
 
Cheap is exp
Wanaweka watoto wa shngazi kugawa vinywaji yaan ukiwachunguza wale hata mlandge pub amhawafai....
2lugha n tatizo mkuu shida hao ndan wote shule zao za kuvvutia manati
Wamewekwa hapo kama..ukisema hata uweke wenye proff zao wanakimbia mishaharaaaa .....
Tutayafanyia kazi mkuu thx
wana Jf
Kuna changamoto kadhaa kwenye tren zetu za Dar to Arusha/ Arusha to Dar la kuhusu huduma kwa ujumla hususani kwa watalii ambao wanatumia huu usafiri ni la kulifanyia kazi haswa ukizingatia
Kwa sasa wazungu /watalii wengi wanapanda hizi tren kama sehemu ya utalii au budget Transportation ila kuna vitu kama:

1 Lugha inayotumiwa ni Kiswahili peke yake kwa matangazo yote ya muhimu ila kwa ndugu zetu hawajui nini kinaendelea hii inapelekea watalii kuona hii huduma siyo kwajili yao kwakua hakuna system iliyowekwa kuhakikisha matangazo yote na taarifa zote zinazotelewa ndani ya usafiri huu zinamfikia kila mteja aliyepo ndani ya usafiri.

2 Muda.
Cha kushangaza zaidi hakuna kujali muda hata kidogo mfano tren inatakiwa kuondoka saa nane na wasafiri wote wapo hapo ila muda tren itaondoka ni tofauti na uliopangwa. Tangazo linatangazwa kwa Kiswahili kuwa moshi tunakaa saa moja na wasafiri wanakalishwa masaa mawili bila tangazo lolote linalosema muda umebadilika. Hii ni disappointment sana kwa service oriented industry kama transportation and tourism.

3.Restaurant/ Bar.

Mpangilio wa utoaji wa vinywaji na Chakula mbovu na haufamiki ni wa nchi gani. Ni bora kukawa na buffet mbili kulingana na class za tickets. Huwezi changanya buffet VIP na ya kawaida sehemu moja lazima kuwe na mpangilio wa kihuduma, wahudumu wengi wao wa bar na chakula hawajui hata namna ya kuwahudumia hawa ndugu zetu, poor communication skills, poor service, poor personal hygiene. Ni vitu vidogo vinavyoonekana kama havina umuhimu ila kimsingi vina umuhimu mkubwa kwakua wageni huwa wanalinganisha huduma wanazopata sehemu zingine na mwisho huwa wanatoa maoni yao kwenye platform kubwa za usafiri duniani kama TripAdvisor na Nina wasiwasi mkubwa kama hii train zetu zipo listed kwenye TripAdvisor.

4. Usafi.
Mazingira ya stations zetu sio rafiki hata kidogo ni chafu sana na viongozi wakuu wa shirika wapo hapohapo uchafu unatupwa hovyo na wahudumu wa treni wenyewe madirishani safari nzima na watalii wetu wanashika vichwa na kupiga picha. Sasa hii ni tunabomoa kabisa wala si kujenga kwakua Serikali haiwezi kutoa mabillioni ya pesa kutengeneza reli alafu ishindwe kusimamia usafi, this is a disgrace. Kesho mkiweza nendeni hapo Arusha ofisin kabisa mtaona uchafu wa wazi kabisa

Kuna mambo mengi ya kuangalia kwa kina kama tunataka kweli kuitangaza nchi yetu mana kuna vitu vingine havipaswi kuandikwa humu ila ningeomba viongozi wetu wa Utalii nao siku moja wapabynde huu usafiri wa treni ili waweze kupata point za kuzifikisha sehemu husika kwani watalii wanaopanda hii tren ni wengi na kama wataendelea kukutana na hali kama hii ni wazi hawawezi kuwashauri wageni wenzao kutumia huduma za reli za Tanzania.
 
Sahihi,.huduma nyingi nchi hii za usafiri na vyakula zinatolewa katika mazingira ya uchafu sana.
Uchafu ni jadi yetu sisi waswahili wa Tz. Tunaishi nao. Ndio maana hata wahusika hawashangai.
 
Cc: TRC Wakumbuke TRL walifuata nyayo zao ila mwisho wa siku tunaoumia ni mimi na wewe iwe umTnzania Au Mtanganganyika imeisha hiyo.
 
Hayo ndio yanazidi kuwavutia wazungu wazidi kujifunza mambo mapya kutoka kwa waafrika, TRC chapeni kaziiiiiiiiiiiii.
 
Back
Top Bottom