Ukiachana na Dar es salaam kuna mkoa wenye madada poa (wanaojiuza) kuishinda Arusha?

Prakatatumba abaabaabaa

JF-Expert Member
Aug 2, 2022
1,465
4,675
Dar es Salaam ni special case maana nadhani hata police wameshindwa kudhibithi ili janga, nilipata nafasi ya kutembelea huko jijiji dar in short sehemu yoyote ile ndani ya dar ukitaka utelezi ni chaap hata uhangaiki, ukitaka first class mpaka wale wa lower class ni wewe tu.

Ukiachana na wanaojiuza pia dar es salaam kupata mpenzi ni rahisi saaana utelezi upo nje nje ni wewe tu kupambana, ukiweza hata kufanya mapenzi daily ni nguvu zako tu.

Mfano halisi ni huu ikifika jioni watu ndio wanakua wengi saana wanakua wametoka kwenye mishe mishe wengine wanaenda mishe inategemea na sehemu ulipo, nilikua nakaa pale manzese mkunguni aisee kila utakaye muita hazingui namba ni rahisi kukupa na ukionyesha interest ni wewe mwenyewe tu, so kwa siku unaweza kukusanya namba na kazi yako ikawa ni kucharaza bakora tu (hapa hela lazima zikutoke pia)..

Tuachane na Dar turudi kwenye mada husika, katika hustling za maisha nimetembea mikoa mingi Tanzania ni mikoa michache sana sijafanikiwa kukaa.

Mwanza, tabora, shinyanga, singida, Moshi, Tanga, katavi, Lindi, mtwara, songea, iringa, Dodoma, morogoro, pwani n.k ni mikoa ambayo nimepita na kukaa kabisa.

Mkoa kama Kilimanjaro kupata utelezi sio kirahisi rahisi lazima ulie sana yani mpaka mdada wa kichaga akuonee huruma lazima ulie sana unaweza enda kikazi mwezi mzima na utoke kapa, zamani madada poa walikuwa wanaiipanga pale Malindi nowdays hawapo hata wakiwepo ni kwa kiwango kidogo labda uende Redstone unaweza kuokota but jipange kumnunulia mdada pombe za 40,000 ndio uondoke nae.

Mwanza pia kupata utelezi sio rahisi saaana ila zamani walikuwa wanajipanga pale uwanja wa CCM Kirumba nakumbuka miaka hiyo ya utoto nilivyofika Mwanza kwa Mara ya kwanza nikazunguka uwanja wa CCM Kirumba kwa nyuma pale kuna club inaitwa Villa (kama sijasahau) nikamchomoa mdada mmoja hapo akaniambia buku 2 unapiga kwenye majaruba ile nimevaa condom tu hata sijaanza shughuli nikatolewa baru na maaskari sijui ni vibaka wale nilikimbia mbio vibaya mno huku condom huko kwenye dhakhari sikugeuka nyuma, niliachaga ndala zangu pale.

Nimerudi Mwanza nikiwa mtu mzima pale villa hapajachangamka tena kama zamani wale machokoraa waliokua wanauza kwa buku 2 wamehamia Cask na Bundesliga, na Malaika beach na Tnza wakiuza kwa bei juu mno.

Kigoma nilifanikiwa kupita huu mkoa wazee unaweza kukaa mwaka na hujapata mpenzi mdada yoyote ambae hajaolewa ukijaribu kugusa lazima akwambie uende kwao (kwa wazazi wake)...labda maeneo ya Ujiji na huko Ujiji ukipata demu jiandae kurogwa tu.

Ukiwa mtu wa bata labda ushuke the Breezy au sehemu wanapaita kwa mchaga japo wanaojiuza sio wazuri wamekomaa kinyama.

Turudi sasa Arusha!

The first time naingia Arusha kwa kazi maalumu nilikaa na mdada mmoja wa ki-Arusha kwenye bus aikuchukua muda tulivyofika mjini nikajaribu kuonyesha interest nikaona kama amejaa, nikawa najiuliza mbona wanasemaga wachuga ni wagumu?

Katika matembezi yangu nikadondokea Shivaz aiseee hapo ni laaana wanawake ni weeengi mno wengine watoto hapo utelezi ni mwingi mnoooo ni condom zako kiukweli Mwanza sijaona sehemu kama Shivaz,

Nilizunguka maeneo mengi kweli Arusha ni noma watoto weupeee yani Mimi nilikuwa nachanganyikiwa tu, omba usifike Karatu, Babati, Mbulu, Endasaki, Dongobesh utaiacha familia yako.

Tunaingia mwaka 2023 kwa kauli mbiu moja tu, Focus Focus Focus aluta continua hakuna kukata tamaa wala kurudi nyuma.

Christmas njema!

Prakatatumba etumba etumba abaabaaabaaabaaa
 
Dar es Salaam ni special case maana nadhani hata police wameshindwa kudhibithi ili janga, nilipata nafasi ya kutembelea huko...
Hii mada ni poa sana. Yani hizi mada zenye mrengo wa kunyanduana zinasisimua kichiz na kuchangamsha jamvi. Nitafuatilia nakusoma michango yote.

Big up mleta mada god bless you
 
binafsi hiyo mikoa yote uliyoitaja nimefika kila mkoa nilikaa mwezi mwezi, katavi utelezi wa kutosha upo kule uwanja fisiiii sema hawana mvuto kwa kweli nilisepaaa.lindi palee stand kama unaelekea police station kuna bar moja inabamba sana ni wewe tu kijichagulia tu wapo hot.... hiyo mikoa mingine ukitaka kutafuna basi deal na ma barmaid binafsi sijawahi chomolewa nao .... mara nyingi naenda bar yenye lodge... huwezi lala mwenyewe labda uamuee tu
 
Dar es Salaam ni special case maana nadhani hata police wameshindwa kudhibithi ili janga, nilipata nafasi ya kutembelea huko jijiji dar in short sehemu yoyote ile ndani ya dar ukitaka utelezi ni chaap hata uhangaiki, ukitaka first class mpaka wale wa lower class ni wewe tu.

Ukiachana na wanaojiuza pia dar es salaam kupata mpenzi ni rahisi saaana utelezi upo nje nje ni wewe tu kupambana, ukiweza hata kufanya mapenzi daily ni nguvu zako tu.

Mfano halisi ni huu ikifika jioni watu ndio wanakua wengi saana wanakua wametoka kwenye mishe mishe wengine wanaenda mishe inategemea na sehemu ulipo, nilikua nakaa pale manzese mkunguni aisee kila utakaye muita hazingui namba ni rahisi kukupa na ukionyesha interest ni wewe mwenyewe tu, so kwa siku unaweza kukusanya namba na kazi yako ikawa ni kucharaza bakora tu (hapa hela lazima zikutoke pia)..

Tuachane na Dar turudi kwenye mada husika, katika hustling za maisha nimetembea mikoa mingi Tanzania ni mikoa michache sana sijafanikiwa kukaa.

Mwanza, tabora, shinyanga, singida, Moshi, Tanga, katavi, Lindi, mtwara, songea, iringa, Dodoma, morogoro, pwani n.k ni mikoa ambayo nimepita na kukaa kabisa.

Mkoa kama Kilimanjaro kupata utelezi sio kirahisi rahisi lazima ulie sana yani mpaka mdada wa kichaga akuonee huruma lazima ulie sana unaweza enda kikazi mwezi mzima na utoke kapa, zamani madada poa walikuwa wanaiipanga pale Malindi nowdays hawapo hata wakiwepo ni kwa kiwango kidogo labda uende Redstone unaweza kuokota but jipange kumnunulia mdada pombe za 40,000 ndio uondoke nae.

Mwanza pia kupata utelezi sio rahisi saaana ila zamani walikuwa wanajipanga pale uwanja wa CCM Kirumba nakumbuka miaka hiyo ya utoto nilivyofika Mwanza kwa Mara ya kwanza nikazunguka uwanja wa CCM Kirumba kwa nyuma pale kuna club inaitwa Villa (kama sijasahau) nikamchomoa mdada mmoja hapo akaniambia buku 2 unapiga kwenye majaruba ile nimevaa condom tu hata sijaanza shughuli nikatolewa baru na maaskari sijui ni vibaka wale nilikimbia mbio vibaya mno huku condom huko kwenye dhakhari sikugeuka nyuma, niliachaga ndala zangu pale.

Nimerudi Mwanza nikiwa mtu mzima pale villa hapajachangamka tena kama zamani wale machokoraa waliokua wanauza kwa buku 2 wamehamia Cask na Bundesliga, na Malaika beach na Tnza wakiuza kwa bei juu mno.

Kigoma nilifanikiwa kupita huu mkoa wazee unaweza kukaa mwaka na hujapata mpenzi mdada yoyote ambae hajaolewa ukijaribu kugusa lazima akwambie uende kwao (kwa wazazi wake)...labda maeneo ya Ujiji na huko Ujiji ukipata demu jiandae kurogwa tu.

Ukiwa mtu wa bata labda ushuke the Breezy au sehemu wanapaita kwa mchaga japo wanaojiuza sio wazuri wamekomaa kinyama.

Turudi sasa Arusha!

The first time naingia Arusha kwa kazi maalumu nilikaa na mdada mmoja wa ki-Arusha kwenye bus aikuchukua muda tulivyofika mjini nikajaribu kuonyesha interest nikaona kama amejaa, nikawa najiuliza mbona wanasemaga wachuga ni wagumu?

Katika matembezi yangu nikadondokea Shivaz aiseee hapo ni laaana wanawake ni weeengi mno wengine watoto hapo utelezi ni mwingi mnoooo ni condom zako kiukweli Mwanza sijaona sehemu kama Shivaz,

Nilizunguka maeneo mengi kweli Arusha ni noma watoto weupeee yani Mimi nilikuwa nachanganyikiwa tu, omba usifike Karatu, Babati, Mbulu, Endasaki, Dongobesh utaiacha familia yako.

Tunaingia mwaka 2023 kwa kauli mbiu moja tu, Focus Focus Focus aluta continua hakuna kukata tamaa wala kurudi nyuma.

Christmas njema!

Prakatatumba etumba etumba abaabaaabaaabaaa
Mwanza, Dodoma, Morogoro na Songea ni hatari sana
 
Back
Top Bottom