Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Kaskazini, Godbless Lema amemuomba Rais Samia Suluhu kurejesha biashara ya madini ya Tanzanite ili ifanyike katika Jiji Arusha.
Lema amesema hayo leo Machi 4, 2023 wakati akizungumza na waandishi wa habari ambapo ameeleza kuwa lengo ni kukuza uchumi, ajira na...