arusha

  1. JamiiForums Tanzania Kusafirisha Gari dogo toka Dar es Salaam kupeleka Arusha

    Wadau wa usafirishaji, nina rafiki yangu anataka kusafirisha gari dogo toka Dar kupeleka Arusha kwa magari ya mizigo. Naombeni mwongozo, ni wapi usafiri huo kwa Dar unapatikana? Ni salama kwa gari dogo? litafika limebonyezwa na mizigo mingine? gharama inaweza fika kiasi gani? NB:Lina hitilafu...
  2. JamiiForums Tanzania Arusha: Usafiri wa daladala kurejea, madereva wamaliza mgomo

    Mgomo huo ulioibuka asubuhi ya leo Julai 3, 2023 baada ya madereva Daladala kudai kuingiliwa ruti na wenzao wa Bajaj, hatimaye wameyamaliza na usafiri unaratijiwa kurejea kama kawaida kuanzia asubuhi ya Julai 4, 2023. Baada ya mazungumzo hatimaye maridhiano yamefikiwa kati ya Mamlaka ya...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Usalama wa wasafiri Arusha siku ya leo, Julai 3, 2023

    Ninaanza kwa masikitiko makubwa sana sina muda wa salamu. Kila Mtanzania anajua kinachoendelea Arusha leo sitaki kuelezea hilo, ila nitaenda moja kwa moja kwenye mada, mnisamehe kwa uandishi mmbovu. Leo hii jiji kubwa la Arusha liko kwenye kadhia kubwa ya usafiri wa umma kutokana na mgomo wa...
  4. JamiiForums Tanzania Mgomo wa Daladala Jijini Arusha asubuhi hii ya Julai 3, 2023

    Madereva wa Daladala Mkoani Arusha wamegoma leo Kwa kile wanachodai kuwa ni Bajaji kufanya Kazi kama daladala. Idadi kubwa ya wanafunzi na watu wazima wamekuwa wakitembea kwa miguu na wengine wakiwa tu vituoni wakiwa hawajui cha kufanya. Mamia ya wakazi wa jiji la Arusha wakiwemo wanafunzi wa...
  5. JamiiForums Tanzania CHADEMA Arusha kufanya mkutano mkubwa wa Hadhara 4/07/2024

    MKUTANO WA HADHARA CHADEMA Arusha inapenda kutangazia wananchi wote wa Arusha na viunga vyake kuwa,tutakuwa na mkutano wa hadhara tarehe 4/7/2023 siku ya Jumanne eneo la Soko Kuu Arusha kuanzia saa nane mchana. Viongozi mbalimbali watahutubia na kuweka wazi ufisadi wa serikali hii,pamoja na...
  6. JamiiForums Tanzania Wahudumu wa Bar (Barmaids) Arusha wamezidi kuwa Omba Omba na wanapenda kunywa Heineken na Windhoek beer

    Wasalaam JF, Arusha ni kiboko Kila bar ukienda wahudumu hawa Barmaids ni Omba Omba wa hatari, hawa mademu wanaringia matako, kuvaa vimini skirts uniform wanadhani ndio silaha kuu, ukitumia uungwana tu wa kucheka na au ukampa ofa siku moja basi anataka akufanye danga mshika pembe siku zote hadi...
  7. E

    JamiiForums Tanzania NEMC soko la Kilombero Arusha makelele mpaka Mto wa Mbu

    Mjipime....sio kukurupuka jikiteni huko Magomeni na Unga ltd
  8. JamiiForums Tanzania Ni nini hatima ya maelfu ya hotel za kitalii zilizopo jiji la Arusha?

    Uuzaji na ubinafsishaji wa mali za wananchi watua huko Kilimanjaro. Kuna kila dalili hali ikawa mbaya kwa wananchi waliojenga mahotel ya Kitalii arusha mjini kwani: 1. Watalii watashuka uwanjani watalala hapo hapo uwanjani na asubuhi wataondokea hapo kwenda National Park. 2. Wakitoka National...
  9. JamiiForums Tanzania Nilivyowahi kutapeliwa na aliyejitambulisha ni polisi nikiwa jiji la Arusha

    Utapeli hauna mjanja, hata mawaziri, maprofesa, wafanya biashara wakubwa, wanatapeliwa. hawa watu walaaniwe!! Nimekuwa msomaji sana wa visa na mikasa inayowatokea watu na nimeweza kupata experience, mafunzo, kujua kujitahadhari, n.k. Leo nimeoamua na mimi niweze kuwaletea mkasa uliowahi...
  10. JamiiForums Tanzania Mume wa dada anataka nioe nikakae na mke nyumbani kwao Arusha na mke wangu

    Helloww Naomba ushauri mume wa dada kaniambia nioe nikioa nikakae na mkeo nyumban kwake uko arista kuhusu kula kila kitu atashughulikia yeye je nioe au nikatae
  11. G

    JamiiForums Tanzania Nguruwe wadogo wanauzwa, Arusha

    Wakuu habari? Kama title inavyosema, maelezo zaidi ni kama ifuatavyo. Idadi: 10 Umri: Miezi miwili na nusu. Bei: @120,000/= (Maongezi yapo) Eneo: Arusha, Themi Hill. Karibuni wakuu! UPDATES: Done deal..! Shukrani kwa ushirikiano wenu.
  12. JamiiForums Tanzania Kumbe uchumi WA shinyanga ni mkubwa kuliko Dodoma, mbeya, Tanga na Arusha

    Kuna miji huwa haisemwi kiasi unachoweza kudhani IPO nyuma. Moja ya mkoa huo ni Shinyanga. Katika orodha ya uchangiaji WA pato la taifa Kwa kila mkoa Shinyanga inashika nafasi ya tatu(3) Kwa kuchangia 5% ikiwa imezidia na mikoa ya Mwanza yenye mchango WA 9% na Dar yenye 17%. Kinachoshangaza ni...
  13. JamiiForums Tanzania DOKEZO TANESCO Arusha inawanyanyasa Wafanyakazi Wake

    Lengo la uzi huu ni kuitaka serikali iwe makini na utendaji wake, na pia kuwataka wananchi wazinduke na kupinga matendo maovu yanayoendelea nchini. Shirika la umeme Tanzania (TANESCO) kule mkoani Arusha limekuwa na historia kwa muda mrefu sasa ya kutojali wafanyakazi wake pamoja na maslahi yao...
  14. JamiiForums Tanzania Ni kweli Arusha ni Geneva ya Afrika?

    Uchache na ubovu wa miundombinu ya barabara ni changamoto sana hapa Arusha japo tumejaaliwa milima ya moramu na korongo la mchanga huko mirongo. Ukija kwenye masoko ya jiji hayako organised na masoko mengine yaliyo chini ya halmashauri. Ukiondoa utalii na madini, economic activities zingine...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Biashara gani yenye faida Kwa mtaji wa Tsh 10 milioni mkoani Arusha

    Wanajamvi naomba ushauri, nataka kuanzisha biashara itakayonipatia faida mtaji 10M, location - Arusha Note 1. Biashara ambayo haitahitaji usimamizi wangu wa karibu 2. Itakayonipa urahisi wa kumu-monitor nitakayemuweka kusimamia biashara
  16. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi Arusha

    Habari zenu Natafuta kazi ya ofisini lakini pia nipo tayari kufanya kazi yoyote halali,mimi ni mwanamke,naishi arusha,nina miaka 33, elimu yangu ni certificate of human resource. Natanguliza shukrani zangu.
  17. JamiiForums Tanzania Maelekezo ya Naibu Waziri kuhusu ujenzi wa stand kuu Arusha wapuuzwa

    Ujenzi wa stand kuu Arusha bado ni kizungukumkuti hadi sasa licha ya maelekezo ya mara kwa mara kutoka serikalini kuwa ujenzi huo uanze mara moja. Naibu Waziri wa Ardhi nyumba na Maendeleo mh. Geofrey Pinda alitoa maelekezo mwezi wa tatu mwaka huu kuwa ujenzi huo uanze ndani ya siku 30 lakini...
  18. JamiiForums Tanzania Arusha: Mtoto adaiwa ‘kupooza’ mkono baada ya adhabu ya Mwalimu wa Shule ya Msingi Miririni Wilaya ya Meru

    Mwalimu anayefahamika kwa jina la Nkya mtumishi katika Shule ya Msingi Miririni iliyopo Wilayani Meru Mkoani Arusha anatuhumiwa kufanya ukatili kwa Mwanafunzi ambao umesababisha mkono wa kulia wa mtoto 'kupooza' hasa sehemu ya vidole. Mwanafunzi aliyejeruhiwa ametambuliwa kwa jina la Milcah...
  19. P

    JamiiForums Tanzania Arusha ni tofauti na inavyozungumziwa kwenye mitandao

    Habari wakuu. Jiji la Arusha lina tatizo gani? Viongozi inabidi wajitafakari sijuwi ni wanafanya kazi kwa mazoea (kwa kukaa kituo kimoja cha kazi kwa muda mrefu) au hakuna ubunifu wa kiutendaji. Hadi leo huu mkoa ni aibu na fedhea ya karne wameshindwa kujenga stand ya mabasi ya kisasa...
  20. JamiiForums Tanzania Arusha moja hiyo

    Chuma hicho
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…