arusha

  1. JamiiForums Tanzania Noah Cup 2023 Kuanza Kutimia Vumbi Uwanja wa Ilboru Arusha

    NOAH CUP 2023 KUANZA KUTIMUA VUMBI UWANJA WA ILBORU ARUSHA Mbunge wa Jimbo la Arumeru Magharibi Jijini Arusha, Mhe. Noah Lemburis Saputu Tarehe 12 Agosti, 2023 katika Uwanja wa Michezo wa Ilboru Jijini Arusha amefanya Uzinduzi wa Mashindano ya Michezo yaitwayo NOAH CUP 2023 Michuano ya Mpira...
  2. JamiiForums Tanzania DOKEZO Mfanyabiashara maarufu Arusha aibiwa Tsh. Milioni 100 kwenye akaunti ya Benki ya NMB

    Mfanyabiashara maarufu katika mikoa ya Arusha, Dar na Dodoma Joseph Kalugendo mkazi wa Moshoni jijini Arusha, ameibiwa fedha zake zaidi ya milioni 100 katika benki ya NMB tawi la Clock Tower Arusha na mtumishi wa benki hiyo. Taarifa ambazo zimethibitishwa na Mfanyabiashara huyo amedai kuwa siku...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Anahitajika Dereva Bajaji Arusha

    Mimi Nina Bajaji RE 250 Nimeinunua Mwezi Wa 3 ipo Arusha, Kazi Zangu Nyingi Zinanifanya Nisiwepo Arusha Hivyo Usimamizi Unakua Mdogo Na Madereva Wakishajua Haupo Wansumbua kutoa Hesabu Ya Day Hivyo Nahitaji Dereva Anayetaka Bajaji Ya Mkataba 1) Awe Na Leseni na kitambulisho cha taifa (NIDA) 2)...
  4. JamiiForums Tanzania Vijana wa Arusha kuuona uhuni na usela ni ujanja kunazidi kulitafuna jiji, usalama umepungua, maadili yameshuka, serikali haina msaada

    Kunahitajika PROGRAMU ya dharura kuliokoa hili jiji. Sina maana ya kusema vijana wote wa Arusha ni wahuni na waalifu ama kusema Arusha si salama kabisa, La Hasha! ni kwamba uhuni ni kama umefumbiwa macho usambae mithiri ya kansa ya kidole inavyosambaa mwilini kwahio sio jambo la kufumbia macho...
  5. JamiiForums Tanzania Vijana wa Arusha ni habari nyingine

  6. M

    JamiiForums Tanzania Serikali na jamii kwa ujumla tuwasaidie bodaboda Arusha kutoka kwenye mtazamo usiofaa

    WanaJF ninaandika nikiwa na hasira zilizochanganyikana na huzuni kuhusu kinachoendelea huko Arusha. Kwanza kabisa niseme mimi ni mzaliwa wa Arusha na nimekulia huko. Kilichonitoa Arusha ni elimu ngazi ya chuo kikuu. Nitakachoandika hapa sio stori za kuhadithiwa au kuona kwenye media. Kwa miaka...
  7. M

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Polisi Trafiki wa Arusha mnakera sana kuwasimamisha watembeza watalii bila sababu, mkikosa kosa mnaomba rushwa

    Habari. Mimi ni Safari Guide, nina Kero kubwa sana kuhusu Traffic Police wa Arusha. Wamekuwa wakisimamisha magari ya watalii kila mahali hawajali kama umebeba wageni au la, waanza kuomba leseni na kukagua gari wanachukua hadi dakika 10 wamekusimamisha bila kujali umetoka wapi na unaratiba gani...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Kazi yoyote ndani ya Arusha ya halali niko tayari kufanya

    Habari wakuu, mimi ni mwanaume ninayehitaji msaada wenu, mambo yamekwama na hayaendi kabisa. Nimejaribu kupita huko na huko lakini bado sijafanikiwa, mdau yoyote atayeweza nisaidia nipate mahali pa kufanya kazi nitashukuru sana. Nina uzoefu na mambo ya migawaha ya kimataifa, pia naweza...
  9. JamiiForums Tanzania Arusha: Walimu wote wa Serikali watakiwa kujitokeza uwanjani kesho Sheikh Amri Abeid kumpokea na kumsikiliza Katibu Mkuu wa CCM

    Kuna meseji zinatembea za magrupu zikiwataka walimu wa jiji la Arusha wale wa serikali kwenda uwanja wa Sheikh Amri Abeid kesho jumamosi kuanzia saa 1:00 asubuhi kwa ajili ya kuhudhuria ziara ya katibu mkuu wa ccm, Ndugu Chongolo. NB: Walimu wanatakiwa kujigharamia nauli na chakula katika ziara...
  10. JamiiForums Tanzania Kuna Mkutano Julai 22, 2023 unaandaliwa na UWT Mkoa wa Arusha kushirikisha Manyara, Kilimanjaro na Singida ukihusishwa na DP World

    Ninashauri kila mwenye mke au mchumba au rafiki wa kike anayehudhuria mkutano huo wa kujadili DP world ampe nakala ya huo mkataba wa kihuni ausome. Kila mtu aelimishe mwenzake kuhusu mkataba huo madhara yake na mapungufu yaliyopo. UWT wana uelewa mdogo na kuhusu mkataba huo hawajaelimisha...
  11. JamiiForums Tanzania Arusha shikamoooni, nimekutana na bei ajabu

    Hellow Nimekuja zangu Arusha kufanya kazi nimekuja na ka hubair wangu na pesa za kuunga unga natafuta gest ya 7,000 nimekosa nimepata ya 30k nikakubali, natafuta chakula kuanzia 2,000 nakutana na bei ajabu yaani jaamaa yangu chakula 4000 nimenunua sijashiba tangu jana nakula sishibi nitarudi...
  12. JamiiForums Tanzania Rais Samia ashiriki Maadhimisho ya Siku ya kupambana na Rushwa Afrika, leo Julai 11, 2023

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akishiriki Maadhimisho ya Siku ya kupambana na Rushwa Afrika, leo Julai 11, 2023 jijini Arusha. === Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amesema moja ya vikwazo vikubwa vya maendeleo barani Afrika ni...
  13. JamiiForums Tanzania Kituo Kikubwa Cha Mikutano "MOUNT KILIMANJARO CONVENTION CENTER." Kujengwa Jijini Arusha

    Ameandika msemaji mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa katika mtandao wa Instagram "Tunakwenda kujenga kituo kikubwa cha mikutano Jijini Arusha kitakachoitwa MOUNT KILIMANJARO CONVENTION CENTER." "Kitakuwa na sifa zifuatazo; 1. Ukumbi wenye uwezo wa kuchukua watu 3,000 2. Eneo la maonesho lenye...
  14. JamiiForums Tanzania Gabriel Gerald Geay Anogesha mbio za Uwanjani za Majaribio (Trials, Track and Fields Events) Jijini Arusha

    Mwanariadha wa kimataifa, Gabriel Gerald Geay anogesha mashindano ya majaribio ya Uwanjani leo 8/7/2023 kwa kutoa zawadi ya pesa kwa baadhi ya wanariadha washindi na wenye muda mzuri kwa baadhi ya michezo hiyo. Mashindano hayo yamefanyika kwa mara ya pili mfululizo na kushirikisha wanariadha...
  15. JamiiForums Tanzania Aina ya maisha kwa vijana wa Arusha tunahitaji mjadala wa kitaifa

    Kuna clip zinatembea zikionesha vijana wa mkoa wa Arusha wakiwa mochwari kwaajili ya kuchukua mwili wa mwenzao aliyefariki kwa ajali ya pikipiki. Namna ya maisha ya vijana wa Arusha wanavyoishi, kuvaa, kuongea, ku-behave nafikiri tunahitaji mjadala wa kitaifa. Yaani wanafanya mambo ya kizamani...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale TECNO POP4 inauzwa Arusha

    TECNO POP4. 32 Gb storage, 2Gb RAM. Nipo Arusha, Njiro. Haina tatizo lolote. Bei 95,000. Simu 0768174862
  17. JamiiForums Tanzania DOKEZO Askari Polisi atuhumiwa kumuua raia Arusha kwa kumpiga risasi 3, Wananchi wamtuhumu kwa mauaji ya mara kwa mara

    Kijana mmoja aliejulikana kwa jina la Israel Daudi, amefariki dunia baada ya kupigwa risasi 3 na askari Polisi kwa kile kinachodaiwa kuwa ni kuachia ng'ombe kuingia shambani. Tukio hilo limetokea katika Mtaa wa Olaresho, Kata ya Olasiti katika Halmashauri ya Jiji la Arusha. Akizungumzia tukio...
  18. JamiiForums Tanzania LATRA kuanza kupiga Mnada Bajaj korofi Arusha

    “Kama mnavyojua awali waliokuwa wanatoa leseni za usafirishaji ni halmashauri ya Jiji la Arusha, lakini tangu mwaka jana tulikaa na tukaamua tufunge usajili baada ya kuonekana zimekuwa nyingi, lakini nashagaa pamoja na kufunga, bado kuna baadhi ya wafanyabiashara wameendelea kuzinunua na...
  19. JamiiForums Tanzania DOKEZO Baadhi ya Wakazi wa Arusha wailalamikia TASAF kuwapa vijana pesa huku wazee na masikini wakiachwa

    Baadhi ya wananchi wa Jiji la Arusha wamesikitishwa na upendeleo unaofanywa na TASAF kwa kuwapatia vijana wenye nguvu na wenye kujiweza pesa badala ya wahitaji wa mfuko huo ambao ni wazee wasiojiweza, na kaya maskini. Akizungumzia suala hilo Mwenyekiti wa Mtaa wa Olkirowa, Kata ya Lemara...
  20. JamiiForums Tanzania Mafuta ya Dizeli, Petroli yashuka Bei Dar, Tanga, Arusha na Kilimanjaro

    Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), inatangaza bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli hapa nchini. Bei hizi zitaanza kutumika kuanzia Jumatano, tarehe 5 Julai 2023 saa 6:01 usiku. Pamoja na kutambua bei hizo, ni muhimu kuzingatia yafuatayo: (a) Bei za rejareja za mafuta...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…