Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Arusha, Catherine Magige amechukua fomu kuomba kuteuliwa kugombea ubunge kuwakilisha wanawake kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge Uchaguzi Mkuu 2025
Catherine amekabidhiwa fomu hiyo leo Jumamosi, Juni 28, 2025...
Jackson Kabalo na Joseph Mrindoko wanaojulikana kama “Wachokonozi” jana Juni 27, 2025 walifikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha na kushtakiwa kwa makosa mawili ya kuchapisha taarifa za uongo kinyume na kifungu namba 16 cha Sheria ya Makosa ya Mtandao (Cybercrimes Act) na kosa la pili...
RAIS SAMIA AMEWEKA ALAMA KWA WATUMISHI WA MAGEREZA ARUSHA, AWAGAWIA MITUNGI 528
📌Nishati safi ya kupikia ni endelevu
📌Yaelezwa ni salama na mkombozi wa mazingira
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameacha alama mkoani Arusha kwa kugawa mitungi ya gesi 528...
Kwa Daudi Bashite kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha sina shida kwa kuwa ni cheo cha uteuzi. Ila Arusha kuwa na Mbunge mwenye haiba ya Bashite ni kudhalilisha Jiji la Arusha na wananchi wake. Imagine mtu anapigiwa debe na WADUDU
RC Kihongosi akiwa RC Simiyu amelaumiwa sana na wananchi kwa kutumia muda mwingi kufanya siasa za sanaa za kurekodi clip na kumtumia Mh. Rais kwamba anafanya kazi nzuri ya kuwasaidia wananchi.
RC Kihongosi amelaumiwa sana kwa kuua zao la pamba kwa kushirikiana na Waziri wa Kilimo Bashe kwa...
Mwanasiasa mchumia tumbo Daudi Bashite ajiitaye Paul Makonda anajulikana kwa tamaa na kupenda madaraka.
Sasa ni rasmi kuwa atagombea Arusha. Kama anajiamini, kwanini asigombee kwao au hana kwao? Je Arushwa watakuwa mazezeta wamchague mtu muovu
Je akibwagwa, atarejeshwa tena kama iivyotokea...
Wakuu,
Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda amemshukuru Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kumuamini mara mbili ikiwemo kumpa nafasi ya kuwa Katibu Mwenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na baadaye Mkuu wa Mkoa wa Arusha ambapo Makonda amesema licha ya baadhi ya Watu...
Pisi kibao za Dsm na mikoa mingi ukizitoa out huwa ni kama umempa mtoto atm card atumie kwa siku moja, matumizi yao yapo rafu na kikomoaji kununua vinywaji ghali na mavyakula ya bei hadi vya kupeleka nyumbani, atawaita pia marafiki zake ambao ni wazoefu wa kudandia out za wenzao na ni makonkodi...
Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) inashiriki katika kambi ya madaktari bingwa na wabobezi inayofanyika katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid mkoani Arusha.
Kambi hiyo imeanza rasmi leo Juni 23, 2025 na itafikia tamati tarehe 29, Juni 2025, ambapo Madaktari bingwa wa MOI wanatoa...
Habari zenu,
Naombeni fursa ya kazi mimi ni mhitimu wa chuo mwaka 2023 nina degree ya Umeme, kwa mwenye connection naomba anisaidie niendelee ujuzi wangu nimezunguka sehemu mbalimbali lakini mpaka sas sijafanikiwa kupata kazi hivyo naombeni msaada wenu
Ndugu wanajamvi wa JamiiForums,
Kwa heshima na taadhima, naomba kuwasilisha rasmi pendekezo la safari ya kipekee ya adventure na utalii wa ndani (Domestic Tourism) inayolenga kutuvusha kutoka katika pilikapilika za maisha ya kila siku, kwenda kwenye maeneo yenye utulivu, mandhari ya kuvutia...
Tutafika Oktoba tukiwa tumechoka sana!
====
WAWILI WAKAMATWA KWA TUHUMA ZA MATUMIZI MABAYA YA MITANDAO.
Jeshi la Polisi Mkoani Arusha limetoa ufafanuzi kuhusiana na taarifa inayosambaa kwenye baadhi ya mitandao ya kijamii ikieleza juu ya watu wawili kukamatwa na watu wasiojulikana huko katika...
Baada ya kusambaa kwa taarifa mbalimbali kwenye mitandao ya kijamii zikidai kuwa vijana wawili wanaojulikana kama Wachokonozi, yaani Joseph Mrindoko na Jackson Kabalo, wametekwa na watu wasiojulikana waliokuwa na silaha, taarifa mpya zimebainisha kuwa madai hayo si ya kweli.
Soma Pia: Kundi la...
Viongozi wa Halmashauri ya jiji la Arusha na Commissioner wa ardhi wanapora viwanja vya watu kwa kisingizio kuwa havijaendelezwa muda mrefu. Hayo yametokea kwa Commissioner aliehamishiwa Dodoma kwa sasa (jina: Mwamsojo) alijimilikisha viwanja 2 na afisa ardhi wake anayejulikana kwa jina la Alex...
Jamani wale vijana wa Arusha wamepatikana? MWenye habari zao atujuze
PRELUDE: WAMEPATIKANA WAKO SALAMA POLISI AS WE SPEAK NOW, LABDA KAMA WATAKUWA WAMETESWA HUKO HUKO POLISI
Iwe na sifa hizi.
-Ada nafuu
-Elimu Bora
-Isiyo na makuu
-Iliyotulia
-Watoto wa hali zote
-kidato cha 1-6
Nk
My take.
Hizi shule tunazopeleka watoto zinachangamoto nyingi, ukute shule walimu hawajitumi. Lkn kuna shule walimu wanafanyakaz ya Mungu. Hizi shule zenye walimu wa aina hii kumtumikia...
Habari za leo wakuu
Kama kichwa cha habari hapo uu kinavyoeleza, inamuhitaji huyu mzee kufanya majukumu yafuatayo:
1. Awe muwakilishi wangu shambani na awe kama ndie mwenye nyumba na mmiliki wa mali zote (mashamba, mifugo na nyumba zingine zilizo karibu na hayo mashamba)
2. Kua msimamizi mkuu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.