ASALAAM ALEYKHUM WADAU,
Aisee bana kuna Askari aitwaye Omari Mnandi, aliyekuwa ameingia katika gari binafsi la Mtu aliyekuwa akijivinjari maeneo ya Picnic, alijisahau akajiachia kama yupo kwenye gari lake mpaka kusinzia...(Nafikiri walikuwa katika Doria ya usalama) kilichotokea alipigwa na kitu...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia Makini Mkoa wa Arusha ambaye pia ni Mgombea Ubunge wa Jimbo la Arusha Mjini, Simon Ngilisho, amewatoa angalizo kali baadhi ya wanasiasa na wanaharakati anaodai kuwa wanatengeneza matukio yenye lengo la kuharibu taswira ya amani ya Tanzania.
Soma pia: Mpina...
Hizi zilikua ndio ngome za upinzani na harakati ila sasa naona kama CCM wanaogelea tu na wanapata support ya vijana tofauti na nilivyofikiria. Nini kimewapa?
Ninashangaa jeshi la polisi kutowachukulia hatua hawa wananchi wa Arusha wenye roho mbaya na wivu kwa mpambanaji Chinaa. Kumtaka ahame mtaa ni kumnyima haki yake ya kikatiba ya kuishi popote ndani ya nchi hii. Hii mbegu ya ubaguzi inayozidi kuchipua huko Arusha inabidi ikomeshwe.
Halafu...
Kwa wanaojua namna wana Arusha wanavyojitambua na walivyo na historia ya kuchagua upinzani ukiondoa mwaka 2020 ambapo Magufuli aliwafanyia ujambazi, anashangaa maana na mantiki ya CCM kuweka Daudi Albert Bashite kama mgombea wao.
Sidhani kama anaweza kupata kura hata moja kama kura...
Uongozi wa kampuni ya loliondo mnahitaj kuwafanyia semina elekez watumishi wenu kitengo cha mizigo
Ipo hivi-:
Tulipanda garI kutoka mwanza kuelekea arusha na tulipokaribia kufika Babati zikiwa zimebaki kama km 35 kuingia Babati mjini tukaanza kuona moshi ndani ya gari na kusikia harufu kama ya...
Mgombea ubunge wa Arusha Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Paul Makonda, amekiri kuwahi kulishwa sumu hali iliyomsababishia kulazwa hospitalini na kutoonekana hadharani.
Makonda amefichua siri hiyo leo Jumapili, Septemba 21, 2025, wakati wa ibada katika Kanisa la Mbingu Duniani lililopo...
Hivi hawa viongozi wanatuonaje kwa mfano. Na hao wananchi wako tu hapo wanasikiliza na kupigia ujinga makofi. Ni kwamba kero zote Arusha zimetatuliwa au?
================
Mgombea Ubunge Arusha Mjini kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Paul Makonda amesema katika kusherehesha shamrashamra za...
Aisee huu mji ni una warembo vibaya mno. Nipo hapa stendi ndogo jirani na Kimahama yaani shingo inataka kukatika sijui ni wa mkoa gani hawa mabinti wa Tanzania, warefu weupe/maji ya kunde ngozi nzuri,African figure aloo unaweza kuuza ukoo. Jamani wanadaslama huko nitarudi in two weeks, sirudi...
Mradi wa Uendelezaji wa Miji na Majiji Tanzania (TACTIC) unatekeleza miradi yenye thamani ya Shilingi bilioni 51 katika Jiji la Arusha ikiwa ni sehemu ya uendelezaji wa Jiji hilo katika eneo la miundombinu ya barabara, masoko na stendi.
Hayo yamesemwa na Meneja wa TARURA Wilaya ya Arusha...
Kushikiliwa Kwa waandishi wa habari wa JAMBO TV na Manara TV Jijini Arusha Arusha*
Nimepata taarifa usiku huu za kushikiliwa Kwa Mwandishi wa habari Baraka Lucas wa Jambo TV Arusha na Ezekiel wa Manara TV Arusha
Taarifa za awali zinasema walikamatwa jioni hii Jijini Arusha na hadi...
Wana jamii habarini. Naomba msaada wa kujua ni wapi naweza nikapata mafunzo ya kinanda au keyboard ya mziki hapa arusha mjini. Hata kama ni mtu binafsi ila anifundishe kitaalam na awe na kinanda chake. Shukran
Kero Kuhusu Utaratibu wa Uchaguzi wa Kozi na Uthibitishaji wa Maombi katika Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA)
Chuo hiki hakizingatia Maombi ya Kozi Halisi kinawachagua wanafunzi katika kozi ambazo hawajaomba rasmi,mfano Mimi niliomba Kozi ya information technology Tena maombi matatu,wao...
Usiku wa kuamkia leo Septemba 9, 2025 katika maeneo ya Washington karibu na Stand Ndogo Jijini Arusha, kulitokea tukio la kusikitisha ambapo Mwandishi aliyekuwa akitekeleza majukumu yake alivamiwa na askari anayefahamika kwa jina la Inspekta.... (jina linahifadhiwa kwa sasa) kutoka Kitengo cha...
Anonymous
Thread
arusha
askari
askari polisi
hatua
jeshi
jeshi la polisi
kamera
kazini
mwandishi
polisi
polisi arusha
wanahabari
Afisa Mtendaji Mkuu wa Fedha wa Benki ya Exim Tanzania, Bw. Shani Kinswaga, akizungumza na wateja wake kuhusu kuisogeza huduma ya Elite Banking kwa wateja wa Arusha na Kilimanjaro, huduma inayowapa wateja fursa za kipekee za kifedha, ushauri wa kitaalamu, na upatikanaji wa huduma za kibinafsi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.