MulengaMulenga
Member
- Dec 29, 2021
- 63
- 99
Je, kuna makanisa ya zamani au ya kihistoria katika jimbo la Arusha? Nilikuwa najiuliza kwanini katika majimbo mengi nchini Tanzania unakuta makanisa mengi ya zamani na mazuri ya Kanisa Katoliki, lakini katika jimbo la Arusha sijawahi kuona hata moja.
Ninaposema makanisa ya zamani, ninamaanisha kanisa kama lile la Kibosho, Moshi ambalo lipo kwenye picha. Tafadhali nisaidie kupata makanisa haya ya zamani ikiwa yapo katika jimbo la Arusha.
Ninaposema makanisa ya zamani, ninamaanisha kanisa kama lile la Kibosho, Moshi ambalo lipo kwenye picha. Tafadhali nisaidie kupata makanisa haya ya zamani ikiwa yapo katika jimbo la Arusha.