arusha

  1. ESCORT 1

    JamiiForums Tanzania Katikati ya mji wa Arusha, kuna foleni sana, mji ni mdogo

    Ukiwa katikati ya mji wa Arusha, maeneo ya stendi kuu, soko kuu, jogoo house, kilombero na maeneo mengine kuna foleni sana. Foleni ya mabasi makubwa, coaster, bajaj, bodaboda hadi foleni ya watembea kwa miguu. Mji umekuwa ni mdogo sana, Geneva ya Afrika mnakwama wapi?
  2. R

    JamiiForums Tanzania Polisi yaendelea na Uchunguzi Mchungaji aliyetekwa Arusha

    Akizungumza na Mwananchi leo, Jumanne Juni 17, 2025, Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha, Justine Masejo, amesema uchunguzi wa tukio hilo bado unaendelea ili kubaini ukweli wake. “Bado uchunguzi unaendelea kufanyika ili tujue uhalisia na ukweli wenyewe na tutaangalia kama alitekwa au kuna...
  3. Mgeni wa Jiji

    JamiiForums Tanzania TANAPA: Kwa msingi wa kutunza Ikolojia na uhifadhi, kuna kila sababu baadhi ya vijiji vifutwe mbuga ya taifa Arusha

    Salamu wana JF Sitapoteza muda wenu bali nitafanya rejea fupi kwa yale yaliyotokea miezi michache iliyopota kule Ngorongoro tulishuhudia baadhi ya vijiji vikifutwa na watu kuhamishwa. Lile lilikuwa ni kwa maslahi mapana ya ikolojia na uhifadhi wa mbuga zetu . Sasa kuna hii mbuga ya taifa...
  4. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Mabegi kama haya nitapata wapi Dar, Mwanza, Arusha au Dodoma?!

    Asanteni
  5. N

    JamiiForums Tanzania Sheli ya hapa dampo Arusha inaungua muda huu

    Habari, naona moshi mzito kama kule Gaza nikiwa umbali wa kilomita 1 nikapiga simu kuuliza kumbe ni sheli ya hapa dampo inaungua Kama kuna aliyeko kwenye eneo hilo tunaomba atuhabarishe kwa picha za karibu
  6. Mfikirishi

    JamiiForums Tanzania Sintofahamu: Halmashauri ya Jiji la Arusha na Mchakato wa Kodi ya Majengo

    Hii fomu imetolewa na Halmashauri ya Jiji. Ukiwauliza walioleta fomu mbona huu mchakato wa Kodi ya Majengo tayari ulishaingizwa kwenye manunuzi ya umeme hawana majibu! Kuna namba imewekwa hapo chini, ukipiga hawapokei! Sijui wanataka nini zaidi... LAKINI hisia zangu zinaniambia zinatafutwa...
  7. Mwanongwa

    JamiiForums Tanzania Chuo cha Veta - Njiro Arusha kinatuzungusha tuliosoma Kozi ya Udereva, hawapeleki matokeo yetu kwa TRAFFIC.

    Chuo cha Veta Kilichopo Njiro Arusha, KOZI YA UDEREVA Ngazi ya (PSV NA VIP) Kimekuwa Kikituzungusha Kutopeleka Matokeo Yetu TRAFFIC. Wanafunzi wa Intec No. 177 Na 178 Ambao tumesoma mnamo tarehe 24 January 2022, lakini hadi leo ni miaka 4 tukifika Police kwa ajili ya Ku Hakiki Lessen...
  8. Royal Son

    JamiiForums Tanzania Anayejua kinachoendelea stand ya daladala Kilombero Arusha

    Naona Stand imezungushiwa mabati abiria hawajui wanapandia wapi Daladala zinapaki popote mjini hasa mida ya jioni jam KWA MWENYE TAARIFA ZAIDI
  9. Ngongo

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makalla amtangaza Makonda mgombe Ubunge Arusha mbele ya Gambo

    KATIBU wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Amos Makalla, amewatakia kila la kheri Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda na Mbunge wa Arusha Mjini, Mrisho Gambo, katika Uchaguzi Mkuu wa mwezi Oktoba mwaka huu. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa...
  10. Right Marker

    JamiiForums Tanzania Je, kati ya Dar, Arusha, Mwanza, Moro, & Dodoma, ni wapi kunamfaa kuishi mtu wa maisha ya chini na kati?

    Wazoefu wa mikoa ifuatayo.... Je, kati ya mikoa ifuatayo ni wapi kunamfaa kuishi mtu wa maisha ya chini na kati? (A) DAR ES SALAAM (B) ARUSHA (C) MWANZA (D) MOROGORO (E) DODOMA USIACHE KUTOA/KUELEZA NA SABABU. Right Marker Dar es salaam
  11. Nipe Maji

    JamiiForums Tanzania Catherine Magige agawa sare 1,300 kwa wajumbe wa UWT Arusha

    Mbunge wa Viti Maalum kupitia Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi (UWT), Catherine Magige, amechangia sare 1,300 zenye thamani ya shilingi milioni 35.1 kwa wajumbe wa Baraza la UWT Mkoa wa Arusha. Magige alikabidhi sare hizo mbele ya wajumbe wa baraza hilo lililofanyika mkoani Arusha...
  12. DodomaTZ

    JamiiForums Tanzania Nafasi za ajira kwa Wataalam wa Afya katika Eli Hospital Arusha

  13. Upekuzi101

    JamiiForums Tanzania Kwa kilichotokea Arusha jana, CHADEMA fanyeni hivi tuchangie ruzuku mliyonyimwa na msajali

    Ni muhimu kwa viongozi kufanya tathmini ya kina juu ya kiasi cha ruzuku ambacho chama kilikuwa kinapokea awali. Baada ya kupata taarifa sahihi, wawajulishe Watanzania waziwazi ni kiasi gani cha fedha hizo kinahitajika na watu wangapi wanatakiwa kuchangia, pamoja na kiwango cha mchango kwa kila...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Nimeona wabunge wanalalamikia shule zao kutokuwa na walimu wa kike, mbona huku Arusha ni wengi sana kuna shule ina mwl moja tu wa kiume

    Nimesikiliza wabunge wakilalamikia shule zilizo ktk majimbo yao kutokuwa na walimu wa kike wa kutosha, kwanza wanawatakia nini? Pili mbona huku Arusha hasa wilaya za Arumeru na Arusha walimu wa kike ni wengi sana kiasi kwamba kuna shule kwa mfano shule ya Sekondari Kaloleni iliyo ktk jiji la...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Ugomvi ndani ya CHADEMA – Viongozi walaumiana uchache wa watu Arusha

    UGOMVI NDANI YA CHADEMA – VIONGOZI WALAUMIANA, UCHACHE WA WATU ARUSHA Na Nulphin Charles (Jenerali) Leo, tarehe 28 Mei 2025, jijini Arusha, ulifanyika mkutano wa hadhara wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), ambao ulitarajiwa kuonesha nguvu ya chama hicho katika Kanda ya Kaskazini...
  16. flamini

    JamiiForums Tanzania Natafuta kuanzia tonne 5 ya Hass or fuerte Avocado kwa maeneo ya Arusha or kaskazini

    Wakuu nimepata mchongo wa kukusanya avocado za Hass kwa maeneo ya kaskazini sababu zinaenda Nairobi. Nataka supplier wa uhakika na bei nzuri tufanye biashara na malipo ni hapo kwa hapo. Nicheki pm tufanye biashara.
  17. Fbn

    JamiiForums Tanzania Arusha kumekuwaje kesi mauaji zimekuwa nyingi?

    Kila siku Arusha watu wanauana. Shida wadudu au mlivyo tabia zenu.?
  18. funaku

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda:Arusha yapewa bilioni 42+ Kulipa fidia mbalimbali ili kuboresha miundombinu Arusha

    Mkuu wa mkoa wa Arusha Cristian Makonda ameainisha kuwa jumla ya Shilingi bilioni 42 na zaidi zimetolewa na Serikali kuu kuhakikisha fidia mbalimbali kwa ajili ya kuboresha miundombinu mkoani humo zimetolewa kuondoa malalamiko ya wananchi. Hili sio jambo dogo.
  19. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM Arusha yapinga madai ya kuifadhili CHAUMMA, Yasema kama ni kuiua CHADEMA ingewekeza nguvu kwa Zitto Kabwe

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) kupitia Katibu Mwenezi wake wa Mkoa wa Arusha, Saipulani Ramsey, kimepinga vikali madai yanayoenezwa mitandaoni kuwa kinakiwezesha Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), hususan kiuchumi. Baadhi ya watumiaji wa mitandao wamehoji chanzo cha fedha za CHAUMMA na kasi ya...
  20. Upekuzi101

    JamiiForums Tanzania Makonda anataka kufanya jambo jingine tena Arusha

    Binafsi nimeshaandika mara kadhaa umuhimu wa kufufua kiwanda cha general tire Arusha kutokana na umuhimu wake kiuchumi. Sasa naona Makonda ameamua kupambana kufufua hichi kiwanda. Sitaki kuamini kuwa itakuwa jambo rahisi ila naamini penye nia pana njia. Pambana Makonda, hata hili unaliweza.
Back
Top Bottom