arusha

  1. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Mchungaji aliyetekwa aeleza mateso na kwenda kutupwa porini ashindwa kutembea "Mengine tuyaache "

    Mchungaji wa Kanisa la Huduma ya Kristo lililopo Mtaa wa FFU, Kata ya Murieti, Steven Jacob Gumbo (35) ambaye iliripotiwa ametekwa na ‘Watu Wasiojulikana’ Mei 16, 2025 amezungumza na Wanahabri na kueleza kuwa Watu waliomchukua walijitambulisha kuwa ni Askari Polisi na wanamhitaji kwa ajili ya...
  2. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Ufisadi wa Kutisha: Wanasiasa na Viongozi wa Umma kununua viwanja kwa Mabilioni ya Pesa huko Arusha! Watanzania tusiposimama imara, tumekwisha

    Kuna tuhuma nzito zimetolewa zikiwa na ushahidi kuhusu Viongozi wa Kisiasa na Utumishi wa Umma kununua viwanja kwa mabilioni ya pesa huko Arusha. Kwenye tuhuma hizo zilizotolewa usiku huu na Mtanzania Mange Kimambi kupitia Akaunti yake ya X zimeonesha Mkuu wa Mkoa wa Arusha Bw. Paul Makonda...
  3. Ngongo

    JamiiForums Tanzania Arusha 620,000 Mbunge mmoja Mbeya 540,000 wabunge wawili.

    Tume huru imekuja na mgawanyo wa majimbo. Arusha idadi ya watu 620,000 ina jimbo mmoja la uchaguzi. Mbeya idadi ya watu 540,000 majimbo mawili ya uchaguzi. Huu ni mfano mdogo ambao unadhihirisha tume yetu huru ya uchaguzi si tume huru hata kidogo. Ngongo kwasasa Kwamromboo 🐐
  4. Jembe Jembe

    JamiiForums Tanzania MFANYABIASHARA ALIA NA POLISI ARUSHA KUKATAA KUFUNGUA KESI,ADAI KUDHULUMIWA MAGARI NA MDOGO WA MBUNGE

    MWEKEZAJI wa sekta ya usafirishaji jijini Arusha ,Patrick Mulokozi amelalamikia Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha kwa kushindwa kumpa ushirikiano kuweza kupata mali zake ambazo ni mabasi mawili aina ya Costa aliyokuwa amekodisha kwa kampuni ya usafirishaji ya Impala shato inayofanya biashara ya...
  5. C

    JamiiForums Tanzania Hali ya mazingira katika baadhi ya mitaa ARUSHA... Je? Jamii inazingatia usalama na afya

  6. Pdidy

    JamiiForums Tanzania CRDB Tanga..mafunzo ya michezo ya vijana tanga, timu ya taifa mazoezi Tanga..hivi Arusha hamuioni ama???

    Karia Kwanza nikupe pole BAADA ya makando kando ya UWANJA WA TAIFA sasa naona CAF wameona ULE UWANJA sio salama Tena kama mlivyosema sasa twende znz mkapate usalama zaidi MH Karia uliwahi kusema hii LIGI ya crdb mtajitahidi kuwapelekea wananchi hasa AMBAYO hawana timu ktk LIGI kuu waweze...
  7. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Aliyeiba milioni sita za Wakala wa Pesa Arusha akamatwa ndani ya kijiji kilichopo mkoa wa Shinyanga akiwa kwenye makazi ya mwanamke

    Kijana aliyeshutumiwa kwa kosa la kuiba milioni sita za mwajiri wake wa Wakala wa Pesa Arusha akamatwa ndani ya kijiji kilichopo mkoa wa Shinyanga akiwa kwenye makazi ya mwanamke baada ya kutafutwa kwa muda mrefu Mwajiri wake anadai kuwa lazima fedha hizo zilipwe kwa njia yeyote ile na...
  8. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Arusha; wananchi washangazwa na wageni kuja kugombania kugombea ubunge kwenye ardhi Yao. Muda wowote kuliamsha

    Wakazi wa Arusha washtushwa na Siasa za Arusha kuwa zimekuwa za ajabu na kushangaza sana kwa kuona baadhi ya wakuja ambao sio wazawa wa Arusha huku wakiwa hawajui matayua Arusha , kuja kugombea uwakilishi wa ubunge katika ardhi Yao wakati sio wazawa wa Arusha huku vijana wazawa wenyeji tena...
  9. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Zaidi ya Wanachama 100 wa Chadema Wajiunga na CCM Arusha

    Wanachama zaidi ya mia moja wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema kutoka kata za Engutoto na Lemara Jijini Arusha, wamepokelewa na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi kwenye Mkutano wa hadhara wa Mbunge wa Arusha Mjini Mhe. Mrisho Gambo unaofanyika leo kwenye Viwanja vya soko kuu Jijini...
  10. Fbn

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa RC Makonda kuhusu wadudu, sasa wamezidi

    Arusha bado kuna wahuni wa kila aina na wengine wajiweka tofauti na kujiita wadudu. Wadudu wamepata nguvu kubwa kwa RC Makonda ila tokea kupata nguvu yani ukifungua mtandao wa youtube mara wameiba jeneza, mara wamefanya hivi yaani vituko na maajabu. Kumbuka ulitoka Dar, Mfano Dar unapowapa...
  11. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Arusha; Baba aokolewa akitaka kujinyonga baada ya mtoto kubebwa na mafuriko

    Kijana mmoja ajulikanae Kwa jina la jimmy au almaarufu Baba Adriana, mwenye umri wa miaka 30 mkazi wa Lemara ameokolewa akitaka kujinyonga baada ya mtoto wake wa kike mwenye umri wa miaka 6 aliyekuwa nae kwenye pikipiki yake kusombwa na maji wakati wakivuka mto. Tukio Hilo limetokea njiro...
  12. Jembe Jembe

    JamiiForums Tanzania Mfanyabiashara Arusha amchoma mfanyakazi wake na pasi

    MFANYABIASHARA Maarufu anayemiliki vituo vya mafuta jijini Arusha, Maganga Lago anatuhumiwa kumfanyia ukatili wa kutisha mfanyakazi wake wa ndani aliyetajwa kwa jina Moja la Teleza raia wa nchi Jirani kwa kumpiga na kisha kumchoma na pasi ya moto akimtaka kimapenzi. Tukio hilo ambalo...
  13. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makonda: Ukishindwa Ubunge nenda mtaani kwa roho safi

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda amewataka viongozi wa kisiasa hususan wabunge kutojisikia vibaya pindi watu wengine watakapoingia kwenye nafasi zao, kwani ni jambo la kawaida.
  14. Msela Lowkey

    JamiiForums Tanzania Naombeni kazi kwa mwenye connection yoyote ya kazi nipo arusha

    Habarini wana JF, mimi ni kijana wakiume nina umri wa miaka 26, elimu yangu nina diploma ya IT na degree ya multimedia ninauzoefu wakufany graphics designing, photographer and videographer pia nina ujuz kweny maintananc,networking naombeni kazi yoyote halali nitaifanya kwa ufanisi mkubwa Ahsanteni
  15. Waziri2025

    JamiiForums Tanzania Mahakama yamwamuru kuachia ofisi ya mfanyabiashara maarufu jijini Arusha Saleh Alarmy kwa kushindwa kesi

    Licha ya Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, Divisheni ya Biashara, kuamuru kufutwa kwa hisa asilimia 18 zilizokabidhiwa kwa Daudi Ibrahim Lumala kinyume na utaratibu, pamoja na kufutwa kwa nafasi yake kama Mkurugenzi wa Kampuni ya Sunset Tarangire Limited, Lumala bado ameendelea kuwepo ndani...
  16. Joannah

    JamiiForums Tanzania Kufananisha Dar es Salaam na Arusha

    Kwema jamani Jana na leo niko viunga vya jiji la Arusha,Yule aliyeubatiza huu mji Geneva of Africa atafutwe,akamatwe,achapwe bakora 13,ANYONGWE!....THE CITY IS OVERLY HYPED samahani washkaji zangu wooote wa A- town mkiongozwa na big Glenn . Wakatabahu Jo.
  17. Just Pray

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Meya jiji la Arusha: Siyo kwamba Gambo anaonewa ukweli ni hahudhurii vikao, na akihudhuria anakuwa wa mwisho kuingia na wa kwanza kutoka

    Katika kipindi cha Medani za Siasa kinachofanywa na Edwin Odemba (Chief Odemba) na kurushwa na Star TV, Meya wa jiji la Arusha aliulizwa kuhusu malalamiko kwamba Mbunge Gambo haudhurii vikao na haya yalikuwa Majibu ya Meya. “Siyo kwamba Gambo anaonewa, ukweli ni kwamba Gambo hahudhurii vikao...
  18. TheMaster

    JamiiForums Tanzania Makonda awe makini na mji wa Arusha

    Arusha ni mji wa wafanyabiashara huwenda kuliko miji yote Tanzania Arusha kila mtu ni mfanyabiashara Arusha wahuni ni wengi saana Juzi nipo na wazee na viongozi baadhi waandamizi wa CCM mkoa wa Arusha, wengi wanaonesha kukerwa sana na Anayoyafanya Makonda kwa Gambo. Wazee hawamkubali kabisa...
  19. JamiiForums

    JamiiForums Tanzania Siku ya 1: Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani (World Press Freedom Day 2025), Aprili 28, 2025

    Baadhi ya wageni Msanii Vitalisi Maembe akitoa burudani Leo Aprili 28, 2025 ni siku ya pili ya Maadhimisho ya Siku ya Vyombo vya Habari Duniani (World Press Freedom Day 2025) ambapo shughuli zinafanyika kwenye Hoteli ya Gran Melia - Arusha, ambapo maadhimisho hayo yatarajiwa kufanyika kwa kwa...
  20. JamiiForums

    JamiiForums Tanzania Kuelekea Maadhimisho Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari: Matukio katika picha ya washiriki mbalimbali wa mbio (Fun Run)

    Picha zikionesha matukio tofauti ya Washiriki mbalimbali wa mbio (Fun Run) za Kilometa Tano zilizofanyika leo Aprili 27, 2025 ikiwa ni kuelekea Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari ambayo yanafanyika kwa siku tatu Jijini Arusha Mbio hizo zilizoshirikisha Wadau mbalimbali...
Back
Top Bottom