Mahakama Kuu ya Tanzania, Masijala Ndogo ya Simiyu inaunga mkono juhudi zinazofanywa na Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kuanzisha Kliniki Maalumu ya Wanawake “Samia Ardhi Kliniki” ambayo ni chachu ya kupunguza migogoro kabla ya kufikishwa Mahakamani.
Jaji wa Mahakama Kuu ya...
Habari ndugu zangu. Kuna ndugu yangu ana nyumba huko Mbezi Msakuzi. Leo wameitwa na mwenyekiti wa mtaa na kuelezwa kuna mtu amekwenda ofisini kwake akamueleza anaomba ampatie barua ya kufufua mipaka ya eneo lake.
Kwa maelezo ya mwenyekiti, mama huyo anadai mumewe alinunua eneo mwaka 1989 na ana...
Katika kipindi cha Oktoba hadi Disemba 2025, Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Temeke imefanikisha kumfikisha mahakamani Askofu Renatus Joseph Nyalali, Askofu kutoka kanisa la Hosanna Assemblies of God Tanzania (HAOGT), kwa tuhuma za kughushi nyaraka na kutoa nyaraka za...
Wapo wazanzibari wanamiliki migodi Geita, Mbeya, Mara, Mererani, Ruvuma, n.k. Mtanzania wa Bara huwezi kugusa mgodi unaomilikiwa na m=Mzanzibari hadi upewe ruhusa yake na hata ukiruhusiwa kuchimba, ukipata madini ni yeye anaamua mgawanyo. wapo waliotajirika na kuwa mabilionea kwa madini ya Bara...
Migogoro ya ardhi imeelezwa kuwa inaweza kupunguzwa kwa kuimarisha mfumo wa kusikiliza na kutatua changamoto za wananchi mapema kabla hazijafikishwa mahakamani. Hayo yameelezwa jana Jumatano Februari 25, 2026 na Mbunge wa Arusha Mjini, ambaye pia ni Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo...
Serikali kupitia Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi imeyapatia ufumbuzi malalamiko ya muda mrefu ya viwanja mbadala kwa wananchi wa jiji la Dodoma.
Suluhisho hilo linafuatia malalamiko ya takriban wananchi 4000 wa jiji la Dodoma wanaodai viwanja na halmashauri ya jiji la Dodoma...
Baraza la Ardhi na Nyumba la Wilaya, Mkoa wa Dodoma limewasikiliza wananchi wa jamii ya Kiiraqw waliofika katika Baraza hilo kuwasilisha hoja na ushahidi wao katika mgogoro wa ardhi, wakidai kumiliki kihalali shamba lenye ukubwa wa ekari nane lililopo Wilaya ya Chamwino, Mkoa wa Dodoma.
Hatua...
Wakazi wa Kata ya Chanzulu, Wilaya ya Kilosa, wamekiomba Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Morogoro kuingilia kati migogoro ya ardhi inayoendelea katika eneo hilo ili kupatikana suluhisho la kudumu.
Ombi hilo limetolewa katika mkutano wa hadhara wa kusikiliza kero za wananchi, ulioandaliwa na...
Habari ndio hio ya mjini fresh kabisa Saud Arabia, Qatar, na inasemekana pia Iran atapiga base iliopo UAE, Oman, Kuwait Warabu wameisha choka na ujinga wa USA wamewapa green light Iran wapige base ya USA kwenye nchi zao kama USA akishambulia Iran.
Safari hi USA kaukalia wacha awe anatafuta...
Ni jambo linalofikirisha kidogo, wakuu salam sitatoa.
Hali ya kutoheshimiana kati ya shirika la umeme Tanzania TANESCO na wateja wake imezidi kushamiri.
Hivi inatokana na suala lisilo la kiungwana la shirika hilo kufunga mita mpya zikiwa na deni la pango la ardhi kwa miezi ya nyuma hata kama...
Leo Januari 27, 2026, katika kuadhimisha siku yake ya kuzaliwa Rais Samia, akiongoza zoezi la upandaji miti katika eneo la Bungi Kilimo na Kizimkazi, Zanzibar, ameagiza mamlaka za upimaji ardhi na upangaji miji nchini kote kuhakikisha kwamba katika upimaji wa maeneo mapya, kunatengwa maeneo ya...
Mkuu wa Wilaya ya Kilosa Shaka Hamdu Shaka amesema wapo baadhi ya Viongozi katika Wilaya hiyo wanatumia vibaya madaraka yao na kujimilikisha ardhi kinyume na utaratibu.
DC Shaka amesema hayo katika muendelezo wa ziara yake kuzungumza na Wananchi na Viongozi ambapo amesema yupo Diwani baada ya...
Naomba niende kwenye mada husika kwa kuwaelekeza kwenye mifano halisi.
Nachukulia mfano Baraza la ardhi wilaya la Arusha ambapo migogoro ya ardhi imetamalaki na haiwezi kwisha kwa sababu migogoro mingi inachagizwa na wenyeviti wa mabaraza..
Majuzi kwenye pita pita zangu, nikitokea zilipo ofisi...
"Kupata hati ya kiwanja iwe kama kutafuta Tanzanite au Dhahabu nchi hi? Yaani mtu ambaye amekuja kuomba hati amefuata taratibu na kutimiza vigezo vyote vinavyotakiwa inakuwaje inamchukua miaka miwili kupata hati yake?" - Naibu Waziri wa Ardhi, Kaspar Mmuya...
Tarehe 7 Juni 2019 aliyekuwa Rais wa awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayatui Magufuli alikutana na wafanyabiashara kutoka Kila Mkoa Ikulu ya jijini Dar es Salaam.
Ref: Ikulu, Dar: Rais Magufuli akutana na Wafanyabiashara Wakubwa kutoka kila Wilaya nchini. Ataja changamoto za...
....wala siasa safi. Tunahitaji uongozi bora pekee.
Fikra za kwamba ili tuendelee tunahitaji watu, ardhi, siasa safi.... hazina mashiko hivi sasa. Kama kitu chochote katika dunia hii, huchakaa na kufa. Tatizo watu kwa hulka yao hupenda kung'ang'ania.
WATU: Hapa hayati Nyerere alikusudia nchi...
Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba ametoa agizo la Mama aliyeporwa eneo lake la ardhi kurejeshewa ndani ya siku saba, ameeleza mama huyo alinunua eneo hilo 2009 na alipofikisha suala hilo la kuporwa ardhi yake Mahakama ilimpa haki lakini mshatakiwa alimpora tena kutokana na uwezo wake mkubwa wa fedha...
Enyi watu weusi kataeni porojo za waarabu na wazungu. Nendeni mkahiji vijijini kwenu huko huko Chididimo, Nanjilinji, Kagongwa nk. Huko ndiko kuna baraka sio kwa waarabu wala wazungu.
Nenda kamsalimie babu yako, bibi, baba na mama yako, usisahau kuwapelekea zawadi za mjini kama una uwezo...
Hali ya ukungu na baridi kiasi ulioitawala June 6 2019 haikuzuia misafara isiyoisha ya magari ya jeshi katika mji wa khartoum. na kila walipopita nyuma waliacha miili ya mamia ya raia imelala katika Kila Kona ya mji huo ikiwa imeondokewa na baraka ya uhai. Hapa wananchi wakaanza kuiona adha ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.