G
guest-1787677786
Guest
Nimeangalia document zangu hapa nilizofoji majina ya watu ili nimililoshwe ardhi ikanikumbusha hii kitu.
Tukio hili ni la kweli na lilinitokea mwenyewe miaka ya 2006.
Nikiwa kijana mdogo na Nikiwa nimemaliza chuo kikuu mwaka 2006, nikaajiliwa serikalini nikiwa zonal ya ofisi yetu pale Mbeya Mjini.
Kazi yangu ya kwanza ilikuwa ni kwenda field kufanya kazi ya kupima, kutambua maeneo na kuandaa mpango wa matumizi bora ya ardhi na kupanga "MATUMIZI BORA YA ARDHI" kufuatana na sheria za ardhi.
Kazi hii ilinipeleka hadi Wilaya ya Mpanda sasa mkoa wa Katavi na katika kijiji kimoja kinaitwa "KAPANGA" kipo tarafa ya Mwese au kata ya Mwese kama nitakuwa nimesahau wilaya ya Mpanda sasa Tanganyika mkoa wa Mpanda sasa Katavi.
Tulifanya Kazi kwa uaminifu lakini binafsi niliona fursa ambayo ndio chanzo cha kisa changu cha kunusurika kufa pamoja na baadhi ya matajiri wa pale Mpanda Mjini.
Itaendelea baada ya muda.