ardhi

  1. Ushirombomoya

    JamiiForums Tanzania Urasimu wa ofisi ya ardhi Dodoma Jiji na mikoa mingine.

    Binafsi ni mdau wa makazi yaliyopangwa na kupewa matumizi kulingana na mpango wa eneo husika. Kifupi uwa ninahisi kero kupita sehemu ambazo zina ujenzi holela, kwa mantiki hiyo nimekuwa nashawishika kununua maeneo yaliyopimwa. Nilifanikiwa kununua eneo Dodoma (mtumba) na kufanya malipo...
  2. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Shinyanga: Kuna Wafanyakazi wa Idara ya Ardhi wanatengeneza mazingira ya rushwa waziwazi

    Wafanyakazi wa Idara ya Ardhi Mkoa wa Shinyanga na wale wa Manispaa ya Shinyanga wanafanya kazi zao kwa mazoea sana huku wakitengeneza mazingira ya kupokea rushwa kutoka kwa wananchi. Kama week mbili zilizopita kulikuwa na zoezi la urasimishaji wa ardhi katika kata ya Kizumbi, kijiji cha...
  3. PMWAKA

    JamiiForums Tanzania WANASHERIA WA MASUALA YA ARDHI NA NYUMBA NAOMBA MAWAZO YENU YA SUALA HII KESI.

    Wakuu habari zenu. Kuna jambo ningetamani kupata muongozo na ikiwezekana nijipange tupate mwanasheria mzuri wa kesi za kuzurumiwa nyumba, tena aliefanya hichi kitendo ni hakimu mstaafu,na ndio sababu hata hakimu alieamua kesi akafanya maamuzi ya kujuana na kupindisha sheria nyumba akapewa...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Hubiri la 1: Mishale ni michache, vita vinaendelea. Piga wakati ardhi bado inalia.

    Andiko kuu: 2 Wafalme 13 : 14 - 19 Hubiri langu la kufafanua andiko kuu. Chukua upinde, lenga mbali, usiogope mishale mingi. Mshale wa ushindi hausafiri pekee huongozwa na mkono wa utii. Ardhi ipigwe mpaka isiseme tena. Mara tatu ni kuanza; mara sita ni ushindi. Usitegemee nguvu ya mkono...
  5. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Mikataba ya mangungo katika jina la Uwekezaji

    Je, hoja ya Martin Maranja Masese ina ukweli kiasi gani? Je, kama ina ukweli ina madhara au faida kwa kiwango gani? Je, ni nani mchochezi hapa? Je, ni Masese? Ni hao 'waliouza' mali au rasilimali za Watanzania au askofu aliyeposti andiko hili la Masese? Je, nini kimekushangaza? Je, nini maoni...
  6. 1Africa54

    JamiiForums Tanzania Unapo taka kununua ARDHI hua unaepuka makosa gani?

    Miaka ya sasa ardhi imekua ni yenye kupanda thamani kutokana na miji kutanuka/kukua na kuongezeka shughuli za uzalishaji na makazi na kupelekea migogoro ya ardhi, utapeli na uharibifu wa mazingira JE Unapo taka kununua ARDHI hua unaepuka makosa gani👇👇👇?
  7. Kitchener

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Ardhi, Mtandao Dodoma ni tatizo kweli au urasimu?

    Ni wiki sasa nimeweka kambi Dodoma kufuatilia hati za viwanja vyangu pale kwa maafisa ardhi jiji, urasimu ni mwingi, wanataka pesa, nikiwa DSM kuna mtu nilisema afuatilia baada ya mimi kufanya application mtandaoni manake siku hizi kuna e-ardhi kila kitu unaupload mtandani, lakini nikaambiwa...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Video: Madaktari Wakiendelea na Upasuaji wakati wa Tetemeko Kubwa la ardhi Urusi

    Video ya kushangaza kutoka Petropavlovsk-Kamchatsky, Urusi, imeonyesha madaktari wakiendelea na upasuaji wa mgonjwa wakati tetemeko kubwa la ardhi lenye ukubwa wa 8.8 likitokea leo Julai 30, 2025 katika pwani ya mashariki mwa nchi hiyo Licha ya mtikisiko mkubwa uliosababisha tahadhari ya...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Tetemeko Kuu lapiga Mashariki mwa Urusi, Tahadhari ya Tsunami yatolewa Japan, Hawaii na Visiwa vya Pasifiki

    Mapema Julai 30, 2025, imeripotiwa tetemeko kubwa la ardhi lenye ukubwa wa 8.8 Magnitude lilikumba bahari ya Pasifiki karibu na pwani ya mashariki ya Urusi, likiathiri zaidi eneo la Kamchatka na Visiwa vya Kuril. Kwa mujibu wa wanasayansi wa Chuo cha Sayansi cha Urusi, hili ni tetemeko kubwa...
  10. D

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa mabadiliko ya matumizi ya ardhi (Variation)

    Mabadiliko ya matumizi yanatokea pale ambapo mmiliki anapobadilisha masharti ya umiliki tofauti na yale aliyopangiwa awali. Mabadiliko haya ni kwa mujibu wa kifungu cha 35 cha Sheria ya Ardhi Na. 4 ya mwaka 1999. Kwa upande mwingine, mabadiliko ya matumizi yanaweza kutokea pale ambapo kuna...
  11. 650

    JamiiForums Tanzania Ardhi sio uwekezaji kwa mtu anayejitafuta

    Habari zenyu wana JF Kwa mtazamo wangu naona ardhi sio kitu cha kukimbilia kununua kwa kijana anayejitafuta kwani ni kama kuzika hela ambayo kama ukiwekeza kwenye kitu kingine ingekuwa na tija zaidi. Huo ni mtazamo wangu , wewe waonaje ?
  12. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Kumbe KIKATIBA , baadhi ya Kazi za JWTZ ni Kulinda Katiba, Kulinda Ardhi na Maliasili za Nchi yetu, Kulinda Watu wa Tanzania!!

    Hapa Nina Maswali !! Ni katika wakati gani ,JWTZ itafanya kazi yake hii ya kulinda Katiba, Ardhi, Maliasili, na Kulinda Watu?. Tafasiri ya Kulinda Watu kwao ni ipi? Ikiwa tunashuhudia watu Wanatekwa, wanauliwa .?? Kulinda Maliasili, ikiwa tunashuhudia Waarabu na Wachina wanapewa Mali zetu...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Swali: Kwanini Ardhi ilaaniwe kwa kupokea damu ya Abili, iliyomwagwa na Kaini nduguye?

    Salaam, Shalom! Njooni tujadili, Nikiongea Mimi sana, labda nakuzuia pia kufikiri in deep. Ni hivi, KITABU CHA( Genesis 3:17, 4:10-11) Kaini anafanya suiside, anamuua nduguye Habil, damu inamwagika ardhini. Sasa inapotoka adhabu, hakuadhibiwa Cain pekeake, ardhi pia inapewa laana. Laana...
  14. CHAGOSI GERALD

    JamiiForums Tanzania "Wamisionari walileta Biblia na kutuambia tufumbe macho tuombe. Tulipoyafumbua tena, tayari walikuwa wamechukua ardhi yetu."

    Kwa kweli, muunganiko wa viongozi wa kisiasa na wa kidini mara nyingi si wa bahati mbaya—ni wa kimkakati. Unalenga kudhibiti fikra, hisia, na nguvu ya watu kwa pamoja. Tukiitazama kwa jicho la kifalsafa, hapa ndipo tunakutana na kile wanazuoni wanakiita: “Ushirikiano kati ya upanga na...
  15. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Wananchi waridhishwa na huduma za wizara ya ardhi sabasaba

    Baadhi ya wananchi waliotembelea Banda la Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi katika Maonesho ya Kimataifa ya Biashara (Sabasaba) wameonesha kuridhishwa na huduma zinazotolewa na wizara hiyo. Wakizungumza katika banda la Wizara ya Ardhi tarehe 4 Julai 2025 katika maonesho hayo...
  16. Ibn Unuq

    JamiiForums Tanzania Mungu aliyesubiri wanasayansi wagundue meli ndipo tumjue

    Walisema sisi ni washamba. Tukaacha ngozi zetu, tukavaa suti. Tukaacha ngoma, tukavaa saxophone. Tukaacha majina yetu, tukaitwa Yohana wa Pili. Ajabu leo Wamasai, Wahamer, na BaTwa waliobaki washamba ndiyo kivutio cha dunia. Mungu mmoja alitoka Asia, akapita Ulaya, akaruka Mediteranea, akaruka...
  17. LOVE U JF

    JamiiForums Tanzania Hivi siku hizi wako wapi wale waliosema Iran haiwezi kurusha hata jiwe ndani ya ardhi ya Israel?

    Ndugu kulikua na mtifuano humu jf baina ya waisrael wa buza na wa Iran wa yombo ila sioni fact za kutetea Israel kwa vita ya rising lion ya siku 12 nimemaliza uzi kwa kuuliza wako wapi waliosema Iran haiwezi rusha hata jiwe ?
  18. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Wadau wajadili uhuishaji mitaala ya chuo cha Ardhi Tabora

    Chuo cha Ardhi Tabora (ARITA) kinaendelea kuhuisha mitaala yake ili kukidhi mabadiliko ya uhitaji wa soko kwa kuandaa wataalam wa sekta ya Ardhi kwa maendeleo ya chuo na taifa kwa ujumla. Mitaala inayohuishwa katika chuo hicho inahusisha masomo ya Urasimu Ramani; Usimamizi wa Ardhi, Uthamini...
  19. BigTall

    JamiiForums Tanzania Familia ya Mzee aliyesaidiwa kupata Viwanja na Hayati Magufuli yadai imeporwa eneo hilo na Kamishna wa Ardhi Dar

    Flavian Methew Nyandikuu Mzee Flavian Methew Nyandikuu (85) Mkazi wa Mwenge Mlalakuwa, Mtaa wa Nyendikuu Jijini Dar es Salaam amelia na Ofisi ya Kamishina wa Ardhi Mkoa wa Dar kwa kushindwa kumilikisha ardhi yake kwa zaidi ya Miaka 40 sasa ambapo kila akienda katika ofisi hizo kudai haki yake...
  20. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Ufisadi wa Ardhi Arusha: Viongozi Idara ya Ardhi wanajimilikisha viwanja kwa kisingizio cha kutoendelezwa

    Viongozi wa Halmashauri ya jiji la Arusha na Commissioner wa ardhi wanapora viwanja vya watu kwa kisingizio kuwa havijaendelezwa muda mrefu. Hayo yametokea kwa Commissioner aliehamishiwa Dodoma kwa sasa (jina: Mwamsojo) alijimilikisha viwanja 2 na afisa ardhi wake anayejulikana kwa jina la Alex...
Back
Top Bottom