Ndugu zangu,
Hakuna taifa kubwa duniani lililojengwa kwa kutegemea huruma ya mataifa mengine. Hakuna taifa lililotukuka kwa kuamini kuwa uchumi wake unaweza kuendeshwa na wachache wanaotafuta faida binafsi. Taifa hujengwa na watu wake, kwa jasho, kwa maarifa, na kwa nidhamu ya uzalendo.
Hapa...
Kwanza kabisa ndugu mpendwa ni vyema ukatambua kuwa, damu imebeba uhai wa mtu. Maana Biblia inasema " Linda sana moyo wako maana humo ndimo zitokamo chemchemi za uzima". Lakini Biblia inaendelea kusema, "kuleni wanyama lakini msile damu zao, maana damu zimebeba uhai wao".
Kisa cha Henoko na...
Mambo yakikaa fresh miezi michache ijayo namimi nitakua miongoni mwa wanajf wachache wanaoishi ulaya, kwa hakika nina furaha sana.
Mambo yakitiki sidhani kama nitarudi kwenye hii ardhi iliyolaaniwa inayonuka damu! Nitakua natoa tuu pole nikiwa huko ughaibuni nawaangalia tu mnavyopimwa shaba.
Ukweli wa Ardhi House: ‘Mtandao unasumbua’ ni kificho — Nilijaribu kuingia kwenye mfumo, na mchezo ulianza!”
UZI:
Nimekuwa nikitoka HADI hapa na nikakutana na kitu ambacho siwezi kuziba mol. Huyu ni story ya jinsi ‘mtandao’ unavyotumika kama kificho ili watu wafanye ujanja katika ofisi za umma...
Alichokifunga Mungu mwanadamu hawezi kukifungua. Huyu keshapigwa pin mazima, hawezi kufanya lolote hadi apishe hiyo ofisi.
Baada ya Kaini kumwua ndugu yake Abeli, Biblia (katika Mwanzo 4:8–16) inaeleza mambo yafuatayo:
Mungu alimlaani Kaini – Mungu alimwambia kwamba damu ya Abeli ilikuwa...
BIHARAMULO REAL ESTATE / INVESTMENT
Biharamulo ndio Eneo lenye mvua za kutosha zaidi katika mkoa wa kagera ,ardhi yenye rutuba, miundombinu imara, idadi kubwa ya watu kwa sensa ya kitaifa 2022, na muunganiko wa nchi za burundi Rwanda, Uganda na Mkoa wa Kigoma hadi DRC
📞 +255 763 773 192...
"Awali hatukufanya haki kwenye kugawana ardhi, kiwanja kimoja kinamilikishwa watu watatu watatu hasa hapa Dar Es Salaam, Migogoro ya ardhi unakuta shamba la mtu huyu anapewa hati mtu mwingine, lakini haya yote sasa yameondoka, ardhi yetu tumeipima, tunaendelea kuipima na kama mmesikia nilisema...
Kupitia Ukurasa wake wa X (Twitter), Fortunatus Buyobe ameitag taarifa ya SwahiliTimes kuhusu Mjane kurejeshewa umiliki wa nyumba aliyoilalamikia hivi karibuni, kisha Buyobe akaandika:
Kamishna wa ardhi mkoa wa Dar es Salaam hakutakiwa kubaki ofisini baada ya hili. Huyo aliyekuwa anamtoa...
Habari wakuu wote nawasalimu
Kumekua na changamoto kwenye swala upatikanaji wa hati miliki kutoka wizarani, Kwa utaratibu uliopo ni hivi
Mtu anapotaka kumilikishwa ardhi inabidi awe na
1) Mkataba wa mauziano + Mkataba wa asili
Hii mfano kama umenunua kiwanja kutoka kwa kampuni ama mtu...
Ghana is setting its sights on becoming the largest chicken producer in Africa within the next three years.
Local farmers will be supported with day-old chicks, affordable feed, and modern processing facilities to scale up production nationwide.
The goal is to drastically reduce reliance on...
Kuna watu ni naive, wanadhani injustice ikifanyiwa watu fulani basi hilo haliwahusu. Na pia huwa kuna kasumba ya watu kuabudu Mwenye nguvu. Kwa watu wa aina hii makosa yote huwa ni ya asiye na nguvu. Kwao Mwenye nguvu akimtemea mate asiye na nguvu hilo siyo tatizo, ila asiye na nguvu naye...
Mwalimu Nyerere alipokuwa analeta Ujamaa kwa watanzania, aliponda sana masuala ya kuchukua fedha za nje, na moja ye hotuba yake aliwaponda sana wanaotaka mishahara mikubwa kwamba hela tunapata wapi.
Na hapa sisemi kwamba nakubaliana na falsafa ya Ujamaa, najaribu kuzungumzia masuala ya fedha...
Hili la Kipunguni kutolipwa fidia ya ardhi zaidi ya miaka 20 linafikirisha sana. Wananchi wanalipwa kwa awamu na kimakundi kidogo kidogo sana.Kulikoni! Uchaguzi ungekuwa wa huru na haki CCM ingepata shida sana Kipunguni. Hili serikali limalizeni.
Wakuu,
Maporomoko mabaya ya ardhi katika eneo la Darfur nchini Sudan yamefuta kijiji kizima, yakiua zaidi ya watu 1,000 na kumuacha mtu mmoja pekee hai, kwa mujibu wa Harakati ya Ukombozi wa Sudan/Jeshi (SLM/A).
Tukio hilo lilitokea tarehe 31 Agosti baada ya mvua kubwa kunyesha kwa siku kadhaa...
Nimeangalia document zangu hapa nilizofoji majina ya watu ili nimililoshwe ardhi ikanikumbusha hii kitu.
Tukio hili ni la kweli na lilinitokea mwenyewe miaka ya 2006.
Nikiwa kijana mdogo na Nikiwa nimemaliza chuo kikuu mwaka 2006, nikaajiliwa serikalini nikiwa zonal ya ofisi yetu pale Mbeya...
guest-1787677786
Thread
ardhi
baada
katavi
kupora
kupora ardhi
kuuawa
kwenda
maskini
Kwa mujibu wa taarifa zilizotelewa na vyombo vya habari Al Jazeera na Reuters kumetokea tetemeko la ardhi Afghanistan usiku wa kuamkia September 1, 2025 lenye ukubwa wa Ritcher 6.0 na kusababisha idadi ya vifo takribani 800 na majeruhi zaidi ya 2,800. Idadi hiyo imekuwa ikiongezeka zaidi ya...
Karibuni viwanja vizuri kwa makazi na biashara, Mbande mipeko C, viwanja vipo zaidi ya 100, bei kuanzia 1.3M hadi 3.5M, size futi 40x40, 50x40. Huduma zote za kijamii zinapatikana.
Unaweza kulipa kwa awamu.
Karibuni sana
Habari za wakati huu wapendwa katika Bwana,
Nichukue nafasi hii kutoa pongezi kwa hii mifumo miwili ambayo imerahisisha sana ununuzi wa Ardhi na kuwasilisha maombi ya Hati bila usumbufu.
Nilinunua kiwanja TAUSI portal ambapo taratibu zake ni rahisi na rafiki sana, na baada ya kumaliza kulipia...
Habari wanajf kwa ujumla. Naomba niende kwenye mada moja kwa moja kwa kuanza kutoa maelezo mafupi.
Mashamba ya familia yangu yapo kijiji jirani na mashamba hayo tuliyapata wakati huo tukiwa kijiji kimoja ila baada ya kujigawa ikawa mashamba yetu yapo kijiji kingine.
Kuna viashiria vya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.