Maeneo ya Pugu, wananchi wanaopakana na pori linalodaiwa kuwa ni eneo la Jeshi, tumekuwa tukikabiliwa na vitendo vya kunyanyaswa, ikiwemo kuvunjiwa nyumba na kuzuiwa kutoa maoni au kuzungumza kuhusu suala hili.
Tatizo hili linadaiwa kusababishwa na watu wanaodai kuwa wamiliki wa eneo hilo...
Tunaomba mamlaka husika zifanye uchunguzi kuhusu changamoto zinazowakabili wananchi na watumishi katika Ofisi za Wizara ya Ardhi Mwanza, ili zipatiwe ufumbuzi wa kudumu.
Changamoto ya vyoo vya matumizi ya pamoja
Jengo hilo lina mlango mmoja wa kuingia kwenye eneo la vyoo, ambavyo vinahusisha...
Mimi ni mmoja wa Watanzania wa kawaida ambao tunahangaika usiku na mchana, kwa juhudi na kipato chetu kidogo, ili angalau tuweze kumiliki kipande cha ardhi na kujenga makazi kwa ajili ya familia zetu. Hata hivyo, hali ilivyo sasa mtaani, kumiliki kiwanja kumeanza kuwa ndoto inayozidi kuwa ngumu...
Anonymous
Thread
ardhi
chanzo cha migogoro
janga la kitaifa
viwanja
wizara
wizara ya ardhi
MTWARA
Mkoa wa Mtwara umeanza kushuhudia mabadiliko makubwa katika usimamizi na uhifadhi wa taarifa za ardhi kupitia Mfumo wa e-Ardhi, ambapo masijala za ardhi zilizokuwa zikihifadhiwa kwa kutumia majarida sasa taarifa hizo zinaendelea kuhamishiwa katika mfumo wa kidijiti.
Hatua hiyo ni sehemu...
📱 Huduma za ardhi sasa kiganjani!,Kupitia e-Ardhi, Serikali inaendelea kusogeza huduma karibu zaidi na wananchi, Wataalamu wa sekta ya ardhi wameupokea vyema Mfumo wa kidijiti wa e-Ardhi na kuonesha utayari wa kuutumia katika kutoa huduma kwa wananchi kwa ufanisi, haraka na kwa urahisi zaidi...
TUNDURU
Wajumbe wanne wameapishwa katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, kuwa Wajumbe wapya wa Baraza la Ardhi na Nyumba la Wilaya ya Tunduru, ikiwa ni hatua ya kuimarisha upatikanaji wa haki na utatuzi wa migogoro ya ardhi na nyumba wilayani humo.
Zoezi hilo limefanyika leo, Septemba 18...
Serikali imesema matumizi ya kidijiti ya Mfumo wa e-Ardhi yamelenga kuleta mageuzi makubwa katika utoaji wa huduma za ardhi, ikiwa ni pamoja na kuondoa urasimu.
Kamishna wa Ardhi Msaidizi Mkoa wa Kilimanjaro, Rehema Mdee amesema hayo wakati akizungumza na Radio Kicheko Live kuhusu namna mifumo...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM–TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe, ameitaka Halmashauri ya Manispaa ya Lindi kukamilisha mchakato wa kushughulikia upatikanaji wa hati ya umiliki wa ardhi kwa ajili ya Kampasi ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM)...
DAR ES SALAAM- Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Dkt. Leonard Akwilapo, amewaonya wananchi wanaovamia maeneo kwa nguvu na kuunda vikosi vya ulinzi kwa ajili ya kulinda maeneo hayo, akisema Serikali haitavumilia vitendo hivyo na kwamba hatua kali za kisheria zitachukuliwa...
★Wanawake watakiwa kuachana na dhana potofu kuwa ardhi ni mali ya wanaume
Serikali imewasisitiza wanandoa kumiliki ardhi kwa pamoja ili kuepuka na kupunguza migogoro ya umiliki wa ardhi na mirathi isiyo ya lazima ambayo inaweza kujitokeza baada ya mmoja wa wanandoa kufariki.
Akizungumza kwenye...
★Wizara yaweka lengo la kufikisha mfumo huo katika mikoa yote ifikapo 2027
Serikali imeongeza kasi ya matumizi ya mfumo wa kidijiti wa e-Ardhi ili kurahisisha upatikanaji wa huduma za ardhi na hati miliki, huku ikilenga kuufikisha mfumo huo katika mikoa yote nchini ifikapo mwaka 2027...
RUVUMA
Wananchi nchini sasa wanaweza kupata na kukamilisha baadhi ya huduma za ardhi kwa urahisi zaidi kupitia mfumo wa kidijiti wa e-Ardhi, ikiwemo kusaini hati zao bila kulazimika kusafiri hadi mkoa ambako huduma ilianzishwa.
Akizungumza wakati wa kutoa elimu kwa umma kuhusu matumizi ya...
LINDI
Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi inaendela na mafunzo ya siku nane ya mfumo mpya wa kidijiti wa e-Ardhi mkoani Lindi huku mfumo huo ukielezwa kusaidia watendaji wa sekta ya ardhi katika mkoa huo kutoa huduma kwa haraka pamoja na kupunguza urasimu kwa wananchi.
Akizungumza...
MOSHI, KILIMANJARO
Mkoa wa Kilimanjaro umejiunga na mikoa mingine inayotoa huduma za ardhi kwa wananchi kwa njia ya kidijiti kupitia mfumo wa e-Ardhi ambao unarahisisha na kuharakisha huduma za sekta ya ardhi nchini.
Akizungumza wakati wa mafunzo ya kuwajengea uwezo wataalamu wa sekta hiyo...
Ruvuma
Serikali kupitia Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi imeendelea kuchukua hatua za kisera na kiteknolojia kuboresha huduma za ardhi nchini, ambapo matumizi ya Mfumo wa e-Ardhi yameelezwa kuwa ni hatua muhimu katika kuongeza ufanisi, uwazi na usalama wa taarifa za ardhi...
Wataalamu wa Ardhi Mkoani Singida wameendelea kunolewa katika matumizi ya mfumo wa e-Ardhi, hatua inayolenga kuwawezesha kutoa huduma bora na za kidijitali kwa wananchi.
Matumizi ya mfumo huo yanatarajiwa kurahisisha upatikanaji huduma za ardhi, kupunguza usumbufu kwa wananchi na kuongeza...
NJOMBE
Mfumo wa kidijiti wa e-Ardhi unatarajiwa kuwa suluhisho la changamoto mbalimbali zinazowakabili wananchi katika upatikanaji huduma za ardhi, ikiwemo foleni, gharama na usumbufu wa kufuata huduma hizo katika ofisi za ardhi.
Hayo yameelezwa na wataalamu wa ardhi mkoani Njombe waliopewa...
HUDUMA ZA ARDHI KIGOMA KUNUFAIKA NA TEKNOLOJIA YA MFUMO WA e-ARDHI
KIGOMA
Hatua ya Serikali ya kuendelea kuboresha utoaji huduma za ardhi kwa njia za kidijitali imezidi kuimarika baada ya mfumo wa e-Ardhi kutua mkoani Kigoma, hatua inayolenga kurahisisha upatikanaji wa huduma hizo.
Wataalamu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.