anayejua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    Anayejua dawa ya kuua hawa wadudu anisaidie

    Salaam. Kuna wadudu wako kama funza wakubwa wanaishi kwenye mbao, kwa Kizungu wanaitwa Powderpost beetles, wakila kama ni kochi au kiti utaona tu unga mlaini kama powder imedondoka chini na pia kuna wakati unasikia sauti yao jinsi wanavyotafuna kitu cha mbao. Hawa wadudu wananitia wazimu, nina...
  2. Venture783

    MSAADA: Anayejua kuhusu ALSTZ anisaidie

    ALSTZ ni kinani? Wamenitumia sms hii hapa "This is to inform you that your order is confirmed, Code is 848837. We are delighted to have you as our customer" na sijajiunga na huduma yoyote! Anayewajua tafadhali msaada isije kuwa mtego.
  3. tecknologia23

    Wajemeni natafuta shekhe anayejua kutoa majini

    Mimi nipo Moshi natafuta shekhe anayejua kutoa majini sifa yake awe mtu mzima makamu anayejiheshimu kabisa na anayejua kazi yake. Naombeni msaada ni waharaka
  4. Inkotanyi 94

    Anayejua base speaker nzuri asisaidie

    Habar za humu watu wa Mungu. Aulizae hapotei! Nahitaji taarifa za kiteknolojia kuhusu speaker kubwa ya bass kuunga nguvu na vifaa vingine nikivyonavyo kwa mziki wa ukumbi. Mziki mkubwa. Nimeshauriwa fed ex bila maelezo ya kiulinganifu. Nitashukuru kwa wataalam na wajuvi wa hili kama ambavyo...
  5. William Mshumbusi

    Anayejua masharti yote ya Mkataba wa Feitoto na Yanga kufatwa ni Feitoto mwenyewe na Engineer tu. Tusiwasemee ukweli utajulikana

    Naombeni washabiki wa Yanga tuwe na subira. Kupitia kesi ya Feitoto tutajua tu ukweli Kama Yanga inalipa keshi au inawakopa wachezaji. Kwanini saidoo akiondoka na Dikson ambundo kidogo afungiwe. Wachezaji Wana Siri nzito Sana.
  6. Kelela

    Anayejua Kubadili Plate number ya pikipiki

    Habari wakuu, Nimenunua pikipiki ina plate number nyeupe, Sasa mimi matumizi yangu ni binafsi nataka niweke plate number ya njano, je naanzia wapi kubadili na gharama zake zikoje? Card ya pikipiki ipo. Naomba msaada kwa mwenye uelewa .
  7. R

    Anayejua Viwanda vilivyojengwa na Hayati Rais Dkt. John Magufuli anioneshe vilipo

    Habari ndugu zanguni. Kutokana na hali ngumu ya kimaisha ambayo Watanzania wanapitia kwa sasa( ofcourse tulitabiri hili) ni muda sasa vijana wa kitanzania wakawa Absorbed kwenye ajira za viwanda. Ni viwanda vile tulivyoimbiwa nyimbo na mapambio na wanaccm kwamba vinajenga na kila siku vilikuwa...
  8. G

    Anayejua mishahara ya TCRA na BOT

    Habari WanaJF Naomba anayejua mishahara ya hizo taasisi za TCRA na BOT anijuze maana nimesikia ndio Taasisi zinazoongoza kwa mishahara.
  9. Carlos The Jackal

    Ni chama gani cha Upinzani kitakachoweza kuendesha vema nchi hii?

    Kama itakuja Kutokea, sio Kwa sababu Kuna Upinzani wenye wanasiasa Bora, La hashaaa!!. Itakua ni sababu Watanzania kutaka tu kuona Upinzani wataongozaje na kwa mantiki hiyo, DOLA, hautokaa kuliruhusu hili. (Upinzani wa Kusubiri vijitukio vidogodogo ndo usikike, Sahizi wanamjadili KIJANA...
  10. Determinantor

    Tusifurahie kufungwa kwa Mwana CCM, hakuna anayejua atayefuatia....

    Kada wa CCM amehukumiwa miaka saba jela na faini ya mamilioni kwa kile kinachosemekana ni kutoa maoni Yake kuhusu Utendaji wa Mwenyekiti wake ambaye pia ni Raisi. Wapo wanashangilia jambo hili ila ukweli ni kwamba, kama Watu wanazuiwa kutoa "maoni" basi hakuna aliyesalama na ni suala la muda tu...
  11. MR LINKO

    Anayejua kuhusu biashara ya michezo ya bonanza

    Habari wakuu, kuna wazo moja nimepata la kuweka haya madude ya wachina kwenye moja ya frame nilionayo, nataka kuanzisha haya ma bonanza kidogo walau paweze kuchangamka maana pamedorora kweli. Kwa anayejua faida yake na hasara zake, na kama kuna changamoto tofauti na wateja pia naomba kujua...
  12. M

    Msaada anayejua tiba ya flatulence/ tumbo kujaa gesi

    Jamani anayejua tiba ya tumbo kujaa gesi naomba anisaidie
  13. R

    Anayejua swift code ya NMB Bank naomba msaada.

    Habari wakuu Nahitaji swift code ya benki ya NMB .Inasomeka NMIBTZTZ. Hiyo character ya tatu ni namba 1 au ni herufi I ? Napiga namba zao za customer care hakuna option ya kuongea na mhudumu!
  14. M

    Wale mliomponda Habib Kiyombo kuwa hajui na Simba SC imechemka Kumsajili mmeona leo anayejua Mpira Kocha Paulsen amemuita Taifa Stars?

    Nami nawaambieni hapa hapa kuwa huyu Habib Kiyombo akituliza tu Akili na Kuacha Kucheza kwa Presha na Kujiamini atakuja kuwa Bonge la Mshambuliaji tena hata kuliko tuliokuwa na tulionao kwa sasa. Ukitaka kujua vyema Shughuli yake Uwanjani watafute Mabeki akina Yanick Bangala na Dickson Job...
  15. K

    Kwa anayejua utaratibu wa Dispora kupata vitambulisho vya taifa

    Nasikia hata Tanzania utaratibu wa vitambulisho vya taifa haueleweki kwa sasa kuna watu wanapewa namba lakini card hazitoki. Kwa dispora hatujui utaratibu ukoje ! Najiuliza kwanini balozi waweze kufanya passport lakini washidwe vitambulisho vya taifa? Kama kuna mtu anajua utaratibu naomba...
  16. Wanama

    Mtindo huu wa nywele unaitwaje?

    Je, mtindo huu wa kuweka nywele hivi (kwenye picha) unaitwaje ama unawekwaje na kama kuna mafuta ama dawa naombeni jina (majina) yake.
  17. R

    Msaada: Anayejua darasa zuri la Kichina jijini Arusha

    Habari wakuu, Naomba msaada kwa anayejua lilipo darasa la lugha ya Kichina Arusha na mawasiliano ya simu ikiwezekana. Nataka nimpeleke mdogo wangu kwa miezi michache wakati anasubiri matokeo ya kidato cha sita. Natanguliza shukrani.
  18. sky soldier

    Hapa ndio utajua anayejua baba wa mtoto ni mama, ndio maana tunasema "Nani kama mama"

    Hapa ndio utajua anayejua baba wa mtoto ni mama na ndio maana tukasema nani km mama maana mama hazingiziwi mimba wala mtoto ila baba wengi wanalea watoto sio wao. Mgawanyo wa majukumu huo, Mmoja yupo kwajili ya pesa mwengine yupo kwajili ya mapenzi na shoo. Ukitaka uujue uchawi weka mashine ya...
  19. Mtu Asiyejulikana

    Hii Button (Kitufe) kwenye hii gari hakuna anayejua kazi yake nini na wote wanaogopa ibonyeza

    Jamaa yangu alinipitia tuende somewhere kusherehekea sikukuu yetu ya Muunganisho wa Tanganyika na Tangapwani. Alikuja na gari yake mpya Toyota Rumion mwaka 2008 engine ya 1.8 actually hizi gari huwa naziona tu sikuwahi panda au dhania zingekuwa nzuri. Ndani mambo si mengi saaaana. Ila imetulia...
  20. highland

    Anayejua namna ya kupata membership number ya ATEC 2

    wakuu habari na Poleni na majukumu Kuna ndugu yangu amemaliza accounting technician level 2 inayotolewa na NBAA anaulizia namna ya kupata membership namba msaada wenu wakuu
Back
Top Bottom