anayejua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. ShukuNundu

    Msaada wa kutatua shida hii Ajiraportal

    Habari, kwa anayejua suluhu ya "application failed" kwenye ajiraportal ilihali upo kwenye category sahihi na ulishawahi ku apply awali but for now inagoma mno. Nani alishapata solution?
  2. Jokajeusi

    Anayejua Bei ya shelf za mbao za Duka la dawa tafadhari

    Msaada tutani! Naomba anayejua Bei ya shelfu za mbao Kwa ajili ya Duka la dawa tafadhali. Natanguliza Shukrani
  3. Xiao qui shui

    Nani anayejua kuhusu hili la kutengeneza Wireless Earphone?

    Za mchana wana tech, Jamani wanajf me ni m1 wa watu ambao hupenda kudadisi sana vitu sasa katika pitapita zangu youtube nikaona video za kutengeneza wireless earphone mwenyewe kwa kutumia kale kataa ka remote(remote sensor) na earphone ya zamani. Sasa naomba kujua kama itafanya kazi, kwa...
  4. Johnny Sins

    Anayejua jinsi ya kulipia bima ya afya NHIF kupitia huduma ya TIGOPESA

    Habarini jamani, Kama kuna mtu anajua jinsi ya kulipia huduma ya NHIF kupitia TIGOPESA naomba maelezo, maana nilisahau kuwalipia madogo, kwenda ofisini kwao uvivu😬
  5. B

    Wanawake mnasema mnapenda mwanaume anayejua kuhonga, ila mkiwapata hao wanaume, mnawaona na kuwafanya maboya

    Case in point, video za instagram na TikTok baadhi ya wadada Especially wa Marekani, wanajigamba kupewa hela nyingi na wanaume ndani ya mda mfupi, huku wakiwaona hao wanaume kuwa ni wajinga. Kwasababu wanatoa hela, sasa sijaelewa which is which, Ina maana kwa mfano nikimpa Tshs. elf 50 mdada...
  6. Mr_Plan

    NATAFUTA KIJANA ANAYEJUA COMPUTER

    Habari Wana JF,hivi karibuni Tumefungua Online Media ambayo bado ni changa...inayojihusisha na mambo ya Burudani hivo Tunaitaji Kijana anayeweza kuendesha Akaunti zetu za Online kama 1.Youtube 2.Website 3.Instagram page 4.facebook page Pia Ajue program za Editing angalau...
  7. Mr_Plan

    Tunatafuta kijana anayejua Computer

    Habari Wana JF,hivi karibuni Tumefungua Online Media ambayo bado ni changa...inayojihusisha na mambo ya Burudani hivo Tunaitaji Kijana anayeweza kuendesha Akaunti zetu za Online kama 1.Youtube 2.Website 3.Instagram page 4.facebook page Pia Ajue program za Editing angalau kidog...Tutafanya...
  8. R

    Anayejua sehemu yoyote penye ujenzi wa barabara kwa sasa anistue. Mimi sijaona tangu awamu ya 6 iingie madarakani

    Wakuu naona kama tumepigwa. Sijui pesa za serikali na mikopo zinaenda wapi. Mimi kama mtanzania wa kawaida najaribu kutupia jicho huku na kule kuona kama kuna chochote cha maana kinaendela hasa miundo mbinu ya barabara na ambayo ina faida kwa wanyonge. Sisi hatupandi ndege kama wao. Barabara...
  9. Manjagata

    Msaada: Kwa Anayejua Kuhusu Hizi Paid Social Media Jobs

    Wadau salama? Naomba kwa mtu anayejua hizi Paid Social Media ajaribu kutoa ufafanuzi hapa maana nimefuatwa na raia ananihamasisha kwamba kuna hizo jobs ambazo unazifanya remotely! Na wewe unaendelea na mambo yako mengine huku unapiga mpunga! Lakini kuna kiingilio kwanza cha kama U$ 30 hivi...
  10. Extrovert

    Mtu anayejua accounting packages anahitajika

    Natafta mtu ambaye anazifahamu accounting packages vizuri na mwenye uzoefu na kuzitumia especially tally naomba tuwasiliane kuna mchongo.
  11. Chukwu emeka

    Naomba Msaada anayejua Bookshop ninayoweza kupata kitabu "Urban Geography ",A Global Perspective, 3rd Edition...kimeandikwa na Michael Pacione

    Habari wanaJF, kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nimepita Bookshops kadhaa hapa Dsm nimekosa hicho kitabu,kama kuna mtu anaweza kunisaidia sehemu nikakipata nitashukuru. Asante kwa msaada wako
  12. CM 1774858

    Anayejua Hayati Dkt John John Joseph Pombe Magufuli alimaanisha nini aliposema haya atusaidie

    Amani iwe nanyi wanaJf, === Nilikuwa napitia hotuba na machapisho mbalimbali ya Rais wetu kipenzi Hayati Dk Johnb John Joseph Pombe Magufuli kunajambo naomba wenye ufahamu watusaidie japo na mimi nitachagiza kidogo kwa uelewa nilionao|| === Kwenye hotuba zake karibu zote Katika kila...
  13. beka jr

    Anayefahamu bei ya dagaa mafuta Mwanza

    Anayefahamu bei ya dagaa mafuta Mwanza. Msaada hapo
  14. Zingzingzing

    Nina sarafu za sh 100, 200 na 500; natafuta wa kubadilisha na fedha za noti, au kwa anayejua utaratibu

    Habari wana JF, kutokana na shughuli nazofanya inanilazimu kupata pesa kama hzo, msaada mwenye kujua wapi naweza badilisha. NIPO SONGEA, 0623 306 403
  15. N

    Gari zuri kati ya Subaru Forester, Toyota rumion, Nissan x-trail

    Wakubwa habari za jioni? Poleni na majukumu pia hongereni kwa kazi. Kubwa zaidi Naomba anayejua anisidie hapa. Nauliza lipi ni gari zuri,bora na imara kati ya Subaru Forester, Toyota rumion, Nissan x-trail,. Upatikanaji wa spare, nakadhalika kwa matumizi binafsi Kama vile kwenda kazini. Pia...
  16. M

    Msaada kwa anayejua hii mahakama ya usuluhishi;

    ndugu wa na jukwaa mimi nilikuwa mtumishi wa kampuni ya bia tanzania tbl miaka ya nyuma tulikuwa na madai yetu tukafungua kesi mahakama kuu ya Tanzania. kampuni ikaweka pingamizi kuwa kabla ya kwenda mahakamani tuanzia kwa msuluhishi tukapelekwa mahakama ya usuluhishi tukapewa jaji mstaafu...
  17. JAMBONIA LTD

    Kwa anayejua range ya mshahara wa matechnician wa Universities

    Habari wa kuu nilikua naulizia kwa mwenye kujua wale matechnician wanaosaidia wanafunzi during practicals huwa range za mishahara yao ipoje kuanzia kwenye bachelor, master na hata PhD. Karibuni wadau
  18. Lameckjr

    Naomba anayejua hii mitaa ,ottawa Street

    Habari zenu wadau, Naomba mtu anayeishi Abbeyhill ,ottawa Street nchini Canada, nina shida moja hapa Natambua humu kuna watu mbalimbali na maeneo mbalimbali
  19. L

    Kuna anayejua Marekani imefanya nini nchini Afghanistan?

    Hivi karibuni dunia imeshangazwa baada ya kusikia Rais Ashraf Ghan wa Afghanistan amekimbia mji mkuu wa nchi hiyo Kabul, baada ya mji huo kuzingirwa na wapiganaji wa kundi la Taliban. Kukimbia Kabul kwa Rais Ghani kuna maana kuwa ni wazi kuwa kundi la Taliban sasa limetwaa madaraka ya uongozi wa...
  20. N

    Kwa anayejua tunapataje kadi za chanjo ya COVID-19 tujuzane

    Tuna zaidi ya wiki sasa tangu tuchanjwe chanjo ya COVID19 kwa mbwembwe sana huku makao makuu ya nchi lakini mpaka sasa hakuna taarifa ya uhakika juu ya lini na kwa njia gani tutapata hizo kadi za chanjo. Nikiuliza pale Benjamini Mkapa Hosp naambiwa mara tunasubiri za online mara tunasubiri...
Back
Top Bottom