anayejua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. C

    Anayejua nafasi special zinazotolewa na jeshi je, Ni kwel zipo na kama zipo zinatolewa kwa mfumo gani?

    Msaada tafadhali kwa anayejua zaidi kuhusu nafasi special zinazotolewa na jeshi je? Ni kweli zipo na kama zipo zinatolewa kwa mfumo gani?
  2. Chachasteven

    Msaada: Naomba anayejua jina la huu wimbo anisaidie na jina la msanii!

    Kwa anayejua jina la huu wimbo anisaidie ni muhimu sana. https://www.instagram.com/reel/Czn5se0IMrm/?igshid=MTdlMjRlYjZlMQ==
  3. Inkotanyi 94

    Wireless earphones zenye bass: anayejua zilipo dar.

    Jf tech huwa napata suluhisho. Watu wanajua. Kwa dar naomba kujua napata wap wireless earphones zenye bass na mchujo mzuri kama au zaidi ya wired earphones. Najua maduka yamejaa hizo lakin tatizo ni bass kuipata vyema. pia napenda brands kubwa kama sony, bose, beats etc. Muundo huo
  4. Ester505

    Naomba kujua kilo moja ya mwani (seaweed) ni bei gani

    Naomba kujua kwa sasa kilo moja ya mwani ni shilingi ngapi? Gharama za kusafirisha mwani kutoka Tanzania hadi UAE ni shilingi ngapi? Nawasubiri kwenye komenti zenu. Asanteni.
  5. DELETED ACCOUNT

    Nje ya Tanzania hakuna anayejua matokeo ya Simba vs Yanga

    Niliwahi kuhoji taarifa za mchongo kuwa eti ligi ya NBC ni ya 5 kwa ubora na wengine wamekuwa wanajitangazia tu eti derby ya Kariakoo ni moja ya derby 3 kwa ubora na ukubwa Africa, watu wakanibishia. Kuna kaclip kanasambaa kakionyesha Rais wa Yanga akiwa South Africa akisambaza umbea kwa Rais...
  6. Hismastersvoice

    Anayejua kwanini Polisi jijini Mbeya jana Jumamosi 04/11 waliandamana atujuze

    Jana Jumamosi 04/11 wakati ninaangalia taarifa ya habari usiku, niliona picha ikionesha kikosi cha jeshi la polisi jijini Mbeya kikiwa kimebeba silaha nzito wakiandamana. Jambo lililonivutia ni mama mmoja namkadiria umri wa miaka 80 na zaidi alipowauliza waandamanaji kunani? Mbona mtaani kwetu...
  7. GENTAMYCINE

    Mnaomfananisha Mbahatishaji Chama na Anayejua Aziz K mna Akili sawa sawa Kweli?

    Ukiona mpaka GENTAMYCINE (mwana Simba SC tukuka na lia lia ) navutiwa Kumtizama Mfalme wa Kipaji cha Mpira kutoka nchini Burkinafaso Stephane Aziz K ( pamoja na kwamba siipendi Yanga SC ) jua ya kwamba huyo Mtu anajua hasa kwani Kiasili huwa sipendi Vibovu Vibovu. Kuanzia leo hii GENTAMYCINE...
  8. GENTAMYCINE

    Ili Jambo langu la Ijumaa likamilike naomba anayejua vinapopatikana Vifuatavyo aniambie upesi

    1. Njiwa Weusi tu wanaotamia 2. Kucha za Fisi Jike 3. Mkojo wa Mamba 4. Jasho la Chatu 5. Bendera ya Taifa lolote la nchi za Kiarabu ila ikipatikana hasa ya Egypt ( Misri ) Itapendeza zaidi 6. Mate ya Kifaru Dume na yachukuliwe akiwa anakuangalia kipindi ana Njaa sana 7. Ulimi wa Mjusi...
  9. GENTAMYCINE

    Kweli Dunia haiko Fair yaani Mwenzako anayejua anacheza AFL na asiyejua anacheza NBC Maporini Mbagala

    Inauma sana Kiukweli yaani Wenzako wakiwa Wanaongozwa na Ving'ora kwenda Estadio Du Lupaso Wengine wanakatiza tu Mitaani, Majarubani huku Wakikanyaga Nyanya za Watu, wakigonga Makopo ya Mkaa na kupigia Kelele Wakazi wakiitafuta Mbande Mbagala Kucheza na Waliofeli Wenzao. ANGALIZO Ukijijua tu...
  10. Mto Songwe

    Anayejua historia yote ya mwafrika(mtu mweusi) aje hapa aielezee

    Members kwa yeyote yule anayeipata vyema historia ya mwafrika(mtu mweusi) aje hapa aielezee kitalaamu tupate kuelimika. Kwa namna tulivyo hakika kuna kitu kabisa hakipo sawa katika historia maana hii hali tuliyo nayo sio ya kawaida huwezi kuipata bara lengine zaidi ya Afrika na kwa...
  11. Kimbesa11

    Huu mfumo wa ESS upoje? Tunaomba ufafanuzi kidogo kwa anayejua

    Husika na kichwa Cha habari hapo juu chajieleza tunaomba ufafanuzi kwa anayejua juu ya matumizi na faida ya mfumo wa kiutumishi unaoitwa ESS. Asanteni
  12. D

    Ruti ya DODOMA TO MWANZA - Msaada wa anayejua Kampuni nzuri ya Bus

    Wana familia ya Jf, Naomba kujuzwa kampuni yenye mabasi mazuri yanayosafiri kuanzia Dodoma mjini kuelekea Mwanza mjini anifahamishe. Sijawahi kufika Mwanza, ndio mara yangu ya kwanza na safari naanzia hapa Dom mjini. Natanguliza shukrani zangu za dhati kwenu mtakao nipa taarifa njema, na pia...
  13. Daniel Aloyce Daniel

    Anayejua godown za pipi za jumla na agenti wa usambazaji kwa maduka ya jumla naomba kujuzwa

    Ninaomba kwa anayejua eneo lililopo godown la pipi za jumla au wasambazaji wakubwa wa pipi za jumla Arusha, ambao wanahusika na kuwasambazia watu wa maduka ya jumla naomba anipe connection.
  14. Elon J

    Anayejua ratiba za minada ya kila wiki ndani ya mikoa kati Dodoma, Morogoro na Tanga

    Kama nilivoandika hapo juu anayeajua ratiba za hii MINADA inayokuwepo ndani ya hii MIKOA naomba anisaidie na maeneo inayo patikana na siku gan ndan ya wiki. Hasa Dodoma 🙏🙏🙏🙏
  15. The Father of All

    Anayejua hii lugha ya Tanganyika na Zanzibar itatufikia wapi anisaidie

    Siku haipiti bila kusikia malalamiko juu ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar ulioanzishwa kwa shinikizo la Marekani na tamaa ya madaraka ya Abedi Amani Karume na genge lake la mapinduzi. Je huu mnyukano ulioibuliwa na kutaka kuwekezwa kwenye bandari zetu utatufikia wapi kama taifa? Je muungano...
  16. Mama Edina

    Anayejua mchakato wa nyongeza ya mshahara 2023/2024 kwa kuwa kima cha chini kimetajwa kutoka 300,000/- Hadi 370,000/-

    Naomba wale wataalam wa kimahesabu watuchakatie tujue makisio ya ongezeko la mshahara mwaka 2023/2024 Tukiwa kwenye majukwaa kama hivi si mbaya kujua Kwa sababu iliishatangazwa kianzio kutoka 300k-370k TSH. Rejea hotuba ya waziri wa fedha bungeni. Sasa tujie hizi Naomba kuwasilisha
  17. TODAYS

    Sijawahi Kuona Hii Kitu kwa Mfiwa, Anayejua Ina Maana Gani?

    Mkuu pole kwa misiba hii iliyofutana. Kuna hili la mfiwa kuzungushiwa utepe mwekundu akiwa kakaa mwenyewe, ni nini maana yake katika jamii iliyostaarabika?
  18. Mohammed wa 5

    Wanaume wengi tunapenda mwanamke anaejua kupika sio anayejua mapenzi kitandani

    Habari zenu wakuu, ukweri ndo huo. Mwanamke ata ajue mapenzi vipi au awe mtamu kitandani Kama sio fundi wa kupika jikoni, talaka itamuhusu aende kwao akajifunze kupika. Wanaume tunatafuta hela kwa shida tukirudi nyumbani tunahitaji tukute msosi Bomba na mapenzi motomoto, kila day mwanamke...
  19. Jicholamwewe

    Msaada kwa anayejua college au vyuo vya ufundi nje ya Tanzania kama vile Marekani, Canada n.k

    Habali wakuu? Poleni kwa mishemishe za hapna na pale.Mimi natafuta college za nje ili niweze kuapply sabab binafisi natamani sana kwenda nje hii ni ndoto kubwa ktk maisha yangu ambyo nilijiwekea. Nimejalibu njia nyingi lkn bado sijafanikiwa nikaona ngoja nijalibu kwa upande wa elimu. Mimi...
  20. M

    Anayejua hacks au tricks za kuwin aviator games na balloon game za parimatch msaada tafathali

    Naombeni kujua hacks or any tricks za kushinda angalau kidogo zile casino games za parimatch. Hasa aviator na Ile balloon game na football game. Any tricks kwa anaejua. Niplay vipi ili lile balloon lisipasuke lifike odds za juu au wale wa kwenye football game wasianguke waplay odds za juu...
Back
Top Bottom