Naomba kujua kilo moja ya mwani (seaweed) ni bei gani

Ester505

JF-Expert Member
Jul 14, 2020
794
1,030
Naomba kujua kwa sasa kilo moja ya mwani ni shilingi ngapi?

Gharama za kusafirisha mwani kutoka Tanzania hadi UAE ni shilingi ngapi?

Nawasubiri kwenye komenti zenu. Asanteni.
 
Mkuu watu wa. TANTRADE wana majibu yote.

Ingia web yao utapata contacts zao
 
Back
Top Bottom