10 Januari 2022
Maelezo ya picha,
Hadithi ya dhahabu, ubani, inahusishwa na Yesu Kristo
Mapambo yanayotengenezwa katika onyesho la Krismasi huonyesha vitu vitatu vikitolewa kama zawadi. Hadithi inaelezea kuwa wanaume wenye busara walikuja na kumpatia mtoto Yesu dhahabu, ubani na manukato...
TBC HABARI 2030: Ndugu Tundu Lissu aapishwa kuwa rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania na kuwa rais wa kwanza kuongoza nchi hii kutoka chama cha Upinzani.
GAZETI LA MWANASPOTI 2054: ujeruman yasema walistahili kutolewa na taifa stars kwenye michuano ya kombe la dunia, kwani Taifa stars...
Hapa Rais Samia Suluhu awaambia Wananchi watalipa elfu 27 kuunganishiwa umeme.
Hapa Rais Samia Suluhu hassan abadilisha kauli yake kuhusu kuunganisha Umeme. Mimi huwa siwaamini Wana siasa karibu wote ni wasanii.
Chipsi ni moja kati ya chakula kinanchopendwa zaidi duniani
KIUKWELI katika vyakula vitamu duniani na vinavyopendwa haswaa na watu duniani usiposema chipsi utakuwa mtu waajabu sana. Chipsi haziliki bongo tu ata ughaibuni chips zinalika sana na zinapendwa haswaa, chipsi zinaenda na vitu vingi...
KUNA makundi matatu makuu ya ugonjwa wa vidonda vya tumbo na leo tutajadili kwa kina aina hizo za magonjwa haya ya tumbo kama ifuatavyo:
1. Gastric Ulcers: Aina hii ya vidonda vya tumbo hutokea kwenye mfuko wa kuhifadhia chakula yaani tumbo.
Vidonda hivi hutokea katika utumbo kwa sababu...
TATIZO la kuvurugika kwa mzunguko wa hedhi huwakumba wanawake wengi waliopo kwenye umri wa kuzaa au wale wanaokaribia kufikia ukomo wa hedhi.
Japokuwa wengine huchukulia tatizo hili kama kitu cha kawaida, kuvurugika kwa hedhi ni dalili kwamba kuna tatizo katika mfumo wako wa uzazi hivyo ni...
Baba kwani mtu akifa anaweza kumnunulia mtu zawadi?? Lilikua ni swali kutoka kwa mwanangu wa miaka 5, nilistuka kidogo kwani alikua anazungumzia mambo ya kufa.
Ndiyo kwanza tulikua tumetoka kuzunguka Mlimani City kwaajili ya kuwanunulia wanangu watatu zawadi na tulikaa kidogo ili kunywa Juice...
BUNDI ni jamii ya ndege anayeishi kwa kutegemea nyama kama chakula chake kikuu. Hutafuta mawindo yake nyakati za usiku na mara nyingi hutumia mchana kupumzika. Ni ndege mwenye uwezo mkubwa wa kusikia mirindimo ya sauti iliyo ndogo kiasi kwamba binadamu hawezi kuisikia. Huwasikia na kuwavamia...
SARATANI ya utumbo mpana ni matokeo ya viotea au uvimbe ambao awali mtu huishi nao kama viotea vya kawaida na hatimaye hubadilika baada ya kukumbana na visababishi hatarishi.
Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Saratani, Hellen Makwani anasema ni saratani ambayo huanzia kwenye utumbo mpana na kazi ya...
Munir Akram Balozi wa Pakistan Kwenye Umoja wa Mataifa Anazungumia Kuhusu Ubaya wa israil kuwauwa Raia wa Kipalestina wasiokuwa na hatia. Kwa kisingizio cha kuwamaliza Hamas.
The map shows the world's most dangerous countries (Image: travelriskmap.com)
Vacationers have been advised not to travel to the world's most dangerous countries, which are highlighted on an interactive map created by International SOS. These nations are where tourists are most likely to...
Waziri wa Mambo ya Ndani wa Uingereza James Cleverly (kushoto) na Waziri wa Mambo ya Nje wa Rwanda Vincent Biruta baada ya kutia saini mkataba mpya huko Kigali Desemba 5, 2023. Picha na Ben Birchall / POOL / AFP.
Migawanyiko imeibuka katika chama cha Conservative juu ya mpango wake wa kisheria...
SIGN OF VITAMIN B12 DIFICIENCY SYMPTOMS
JICHUNGUZE KWENYE ULIMI WAKO UKITOKEA ALAMA KAMA HIZI KIMBIA HARAKA HOSPITALI KAMUONE DAKTARI UTAKUWA UNA UPUNGUFU WA VITAMIN B12 MWILINI MWAKO NI HATARI UKIPUUZA
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.