amavubi gfsonwin

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Je kunywa mkojo kuna faida au madhara kwa afya?

    CHANZO CHA PICHA,ISTOCK/BBC THREE Inawezekana ukafikiria kuwa ni jambo la ajabu kunywa mkojo wako kama 'kipimo cha kuishi' katika dharura kama hiyo lakini watu wengi katika maeneo mbali mbali duniani wanaamini kwamba kunywa mkojo wako kuna manufaa kwa maisha 'ya kiafya'. Lakini Je, kuamka...
  2. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Je uongezaji wa makalio ni hatari inayopuuzwa?

    CHANZO CHA PICHA,SCOTT FRANKS Maelezo ya picha, Leah Cambridge alikumbwa na mshtuko wa moyo mara tatu alipokuwa amedungwa sindano ya ganzi katika kliniki ya Uturuki. Mwanamke wa miaka 23 amefariki baada ya kuripotiwa kuelekea Uturuki kwa aina ya upasuaji kwa jina Brazilian Butt Lift [uongezaji...
  3. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Kifo cha upasuaji wa kuinua makalio chasababisha Uturuki na Uingereza kufanya mkutano

    CHANZO CHA PICHA,NATASHA KERR Maelezo ya picha, NATASHA KERR Serikali ya Uingereza imesema itakutana na maafisa nchini Uturuki kujadili kanuni kuhusu utalii wa kimatibabu na urembo, kufuatia vifo kadhaa. Melissa Kerr, 31, alikufa katika Hospitali ya kibinafsi ya Medicana Haznedar mjini Istanbul...
  4. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Watu wa jinsi mbili: ‘Nimefanyiwa upasuaji mara 39’

    Hakuna kitu kinachokatisha tamaa kama mtu kuteseka kwa jambo ambalo liko nje ya uwezo wake. Nazungumzia jamii ambayo imekuwa nadra sana kuzungumziwa hasa kwa Afrika Mashariki. Watu wa jinsi mbili, ni watu wa kawaida kama wale wengine ila madhila wanayopitia ni ya kuvunja moyo hata ingawa hali...
  5. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Je, Israel iko tayari kwa taifa huru la Palestina?

    Je, Israel iko tayari kwa taifa huru la Palestina? Vita vya kutisha vinaendelea kati ya Israel na Hamas kwa zaidi ya mwezi mmoja sasa. Maelfu ya watu kutoka pande zote mbili wamepoteza maisha. Mwisho wa vita hivi haujuulikani. Vizuizi vya kufikia makubaliano ya kumaliza vita vimekuwepo kwa...
  6. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Waisrael Wamewachukuwa Raia kutoka nchini Malawi ili waje kuwasaidia kupigana Vita na Hamas

  7. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Chakula kinachodaiwa kuwa na sumu chaua watoto 5 wa familia moja

    Watoto watano wa familia moja Kijiji cha Nyakanazi wilaya ya Biharamulo mkoani Kagera wamekufa baada ya kula chakula kinachohofiwa kuwa na sumu huku mmoja akiwa anaendelea kupatiwa matibabu hospitali teule ya Biharamulo. Kamanda wa jeshi la polisi mkoa wa Kagera Brasius Chatanda amesema kuwa...
  8. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Ndugai: TANESCO ni kikwazo kikuu kwa maendeleo ya Watanzania

    Spika aliyeondolewa kwa uonevu ndugu Job Yustus Ndugai amelitupia lawama Shirika la umeme la Tanzania kwa kuwa ndilo hasa linalo kwamisha maendeleo ya Watanzania kwa desturi yake ya kukata umeme hovyo hovyo. ----- Spika wa Bunge Mstaafu Job Ndugai, ameitaka Serikali kuboresha taratibu zake...
  9. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Antonio Guterres: Kwanini Israel imekasirishwa naye?

    CHANZO CHA PICHA,EPA-EFE/REX/SHUTTERSTOCK 26 Oktoba 2023 Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, António Guterres, alielezea wasiwasi wake kuhusu "ukiukwaji wa wazi wa sheria ya kimataifa ya kibinadamu huko Gaza," na kusisitiza kwamba "hakuna upande wowote katika mgogoro wa silaha ulio juu ya sheria...
  10. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Sababu nne kwanini Palestina haijakuwa nchi huru

    Ilikuwa mwaka wa 1948. Tangu wakati huo, vita vya Waarabu na Waisraeli vilianza. Tangu wakati huo, vita vya Palestina havijakoma. Chini ya miaka hamsini iliyopita mnamo 1973, vita vya tatu vya Waarabu na Israeli vilifanyika. Tangu wakati huo Israeli haijapigana moja kwa moja na mataifa ya...
  11. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania 'Ninapiga simu kutoka shirika la ujasusi la Israel. Tunarusha bomu, una saa mbili kuondoka’

    Maelezo kuhusu taarifa Simu ya Mahmoud Shaheen iliita alfajiri. Ilikuwa Alhamisi tarehe 19 Oktoba karibu saa 12:30, wakati Israel ikiendelea kuishambulia Gaza kwa siku 12 mfululizo. Akiwa katika ghorofa ya tatu, kwenye nyumba ya vyumba vitatu vya kulala huko al-Zahra. Ghafla alisikia kelele...
  12. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Ni wakati gani nyeti ya mwanaume huvunjika wakati wa tendo la ndoa na ipi tiba yake?

    Kuvunjika kwa uume ni tatizo la kawaida miongoni mwa wanaume, licha ya kwamba tatizo hili halizungumzwi sana. Kuvunjika kwa uume kuna uwezekano mkubwa wa kutokea pale unapogonga mguu au sehemu ya siri ya mwanamke wakati wa kujamiiana. Ikiwa tatizo hili halitatibiwa kwa wakati, linaweza kuathiri...
  13. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Marekani imepeleka Wanajeshi 10.000 nchini Saud Arabia. Je, wanajiandaa Kupigana vita nani? Iran Au Yemen Au Hezbollah?

    Amerika amepeleke Majeshi 10.000 nchini Saud Arabia . Je anajiandaa Kupigana vita nani? Iran Au Yemen Au Hezbollah? Ninajiuliza Swali mpaka sas sijapata jibu lake hebu nijibu hilo swali kama unaweza kulijibu.
  14. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Biden cheers Israeli decision on pausing Gaza fighting: ‘A step in the right direction’

    US President Joe Biden speaks to United Auto Workers at the Community Building Complex of Boone County, November 9, 2023, in Belvidere, Illinois. (AP Photo/Paul Beaty) US President Joe Biden welcomes the Israeli decision to formalize and broaden humanitarian pauses to its fighting in Gaza...
  15. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa Wa Kudhoofu Kwa Mifupa (Osteoporosis).

    Ugonjwa wa kudhoofu kwa mifupa (Osteoporosis). -Ugonjwa huu hufanya mifupa iwe dhaifu, ipungue ujazo wake na iwe kwenye hatari kubwa ya kuvunjika kirahisi pasipo kuhitaji mgandamizo mkubwa. Dalili muhimu za ugonjwa huu -ni kupatwa na maumivu ya mara kwa mara ya mifupa, hasa sehemu ya mgongo...
  16. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Matatizo Ya Afya Ya Akili Mental Retardation

    MATATIZO YA AFYA YA AKILI. -Shirika la Afya Duniani (WHO) linataja kuwa kabla ya janga la COVID19, takriban mtu 1 Kati ya 8 Duniani kote walikumbwa na matatizo ya kiakili, hata hivyo Msaada sahihi wa miundombinu na kiuchumi kwa ajili yao, ulikosekana -Matatizo ya afya ya akili yapo katika...
  17. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Mzungu awajaribu Wa-Tanzania wanaoishi Amerika

    Mzungu awajaribu Wa-Tanzania wanaoishi Amerika. Mzungu amewaomba wampe chakula wao Wa-Tanzania wamesema chakula hawana. Ila wamempa pesa aende Mzungu kula MC DONALD matokeo yake Mzungu amewapa Dollar 1000 kama zawadi yao kwa nia njema ya kutoa pesa japo kidogo. Mungu anasema toa japo kidogo...
  18. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Maradhi ya kifua kikuuu aka tuberculosis

    Kifua kikuu (kwa Kiingereza tuberculosis, kifupi TB) ni ugonjwa wa kuambukizwa ulio hatari. Ugonjwa huu husababishwa na aina mbalimbali za bakteria ambazo hujulikana kama Mycobacterium tuberculosis.[1] Kifua kikuu kwa kawaida kinaathiri mapafu, lakini pia kinaweza kuathiri sehemu nyingine za...
  19. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania The Royal Visit: King Charles' III speech at the State Banquet at State House, Nairobi

    The Royal Visit: King Charles' III speech at the State Banquet at State House, Nairobi. https://www.youtube.com/watch?v=YSMqoQg6554&ab_channel=CitizenTVKenya
  20. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Nigeria: Mwanamke ajifungua watoto 9 baada ya miaka 25 ya ndoa bila mtoto

    Mwanamke wa Nigeria Obinuju Anthonia Ibeanu, amejifungua watoto 9 baada ya miaka 25 ya ndoa. Ripoti zilizoenea kwenye mitandao ya kijamii zilifichua kuwa mwanamke huyo alikuwa ameolewa kwa zaidi ya miongo miwili lakini hakubahatika kupata mtoto katika kipindi chote hicho. Kwa bahati nzuri...
Back
Top Bottom